Naitaka hiyo charger. Earphone za aina hiyo zinaniumizaga masikio. Nipo mlimani cityNauza Earphones original za Samsung nimetoa kwenye simu(baada ya simu ya kwanza kupotea) bei yake ni elf 8 tu(hazijatumika hata siku moja-brand new), pia kuna charger ya Samsung nyeupe na ina flash light kuonyesha chaji inaingia au imeshajaa,bei elf 8 tu.
Nipo dar mitaa ya posta, kama mtu anachukua leo nampunguzia bei.
karibuniView attachment 782491
nipo posta ofisini mkuu, kuchomoka hapa inakuwa ngumuNaitaka hiyo charger. Earphone za aina hiyo zinaniumizaga masikio. Nipo mlimani city
Hata mimi nipo ofisini. Sijui tunafanyaje. Kwani unatoka saa ngapi na unaelekea pande zipi?nipo posta ofisini mkuu, kuchomoka hapa inakuwa ngumu
nimekuPM maelezo zaidi nduguHata mimi nipo ofisini. Sijui tunafanyaje. Kwani unatoka saa ngapi na unaelekea pande zipi?
unazingua, percel mkoani ni kukutumia ni earphone nyinginenipo mkoani nitazipata vip
hahhaha si ndio hapo? bei elf 8 halafu kutuma elf 10. 🙂😵unazingua, percel mkoani ni kukutumia ni earphone nyingine
check PMnielekeze ofisi ilipo nizifate.. au niandikie namba nikuchek sasa hv niko town
Vyote ni orginal na bei ya jumla vyote ni 15,000. inapungua kwa aliye dar, kimoja ni elf 8 japo inapungua piaVipi CHAJA NA IAFONI JUMLA NI SHILINGI ELUFU NANE? KAMA vipo Tufanye biashara unitumie Arusha.
mkuu hyo charger ni orginal kvp,toa maelezo niichukue fastamzigo upo