INAUZWA Earphone na charger-Original Samsung products

Islam005

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,354
Reaction score
3,623
Nauza Earphones original za Samsung nimetoa kwenye simu(baada ya simu ya kwanza kupotea) bei yake ni elf 8 tu(hazijatumika hata siku moja-brand new), pia kuna charger ya Samsung nyeupe na ina flash light kuonyesha chaji inaingia au imeshajaa,bei elf 8 tu.
Nipo dar mitaa ya posta, kama mtu anachukua leo nampunguzia bei.
karibuni
earphone.jpg
 
karibuniView attachment 782491
Naitaka hiyo charger. Earphone za aina hiyo zinaniumizaga masikio. Nipo mlimani city
 
Mimi niuzie earphone mkuu, tufunge uzi maana wa chaja keshapatikana.
 
Vipi CHAJA NA IAFONI JUMLA NI SHILINGI ELUFU NANE? KAMA vipo Tufanye biashara unitumie Arusha.
 
Vyote ni orginal na bei ya jumla vyote ni 15,000. inapungua kwa aliye dar, kimoja ni elf 8 japo inapungua pia
 
Back
Top Bottom