Camp Lehigh
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 335
- 612
Ukisikia tamu chungu au sikio la kufa halisikii dawa ndio huku sasa. Toka mwezi July sikio la upande wa kulia linauma. Kichwa kinauma muda mwingi ajili ya kuvaa earphones kila wakati ila sikomi.
Nahisi kansa ya ubongo ndio inaninyemelea kutokana na maumivu nayopata upande wa kisogoni. Lakini yote na yote, nimeshindwa kuacha kuvaa earphones na kusikiliza muziki katika sauti ya juu zaidi.
Naomba msaada wenu waheshimiwa.