Earphones zinaniua taratibu

Earphones zinaniua taratibu

Tumia zile oreginal achana na hizo feki mkuu, rahisi ni ~a ghali!?
 
dah just imagine bass ya Nowhere fast (instrumental kwa ujumla)ukiwa unatumia headphones za beats og dah ni kwere

Au Sick boy by chainsmockers ila ndo hivyo natamani ...ndo nmekuwa restricted kutumia ila mara moja moja naibia 😂😂
NB :NINAELEKEA KUPONA NINA KIDONDA KISICHOPONA KWA SIKIO KAMA CHUNUSI FLAN HV nimemaliza sindano juzi soon Narudi kula mangoma
 
Clark Kent, Tatixo ni head phone unatumia za sh 2000,3000/,5000,
Jaribu kutumia head phone za iphone japo ni gharama ila zina usalama mkubwa ,zina chujio za electromagnet.

Ni mkasi kidogo km sh 40,000 ila hautajutia hata uongezee sauti vipi haziumizi ngozi ya sikio
IMG_20191201_112433.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Clark Kent,
Nenda hospital ukapigwe bomba, kila utakapokuwa unataka kuweka earphones unakuwa unahisi unawekewa bomba. Lazima uache.
 
Unalosema ni kweli mimi mara chache kuvaa earphone
Ukisikia tamu chungu au sikio la kufa halisikii dawa ndio huku sasa. Toka mwezi july sikio la upande wa kulia linauma. Kichwa kinauma muda mwingi ajili ya kuvaa earphones kila wakati ila sikomii.

Nahisi kansa ya ubongo ndio inaninyemelea kutokana na maumivu nayopata upande wa kisogoni. Lakini yote na yote nimeshindwa kuacha kuvaa earphones na kusikiliza muziki katika sauti ya juu zaidi.
Naomba msaada wenu waheshimiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kansa
Hili neno nikilisikia huwa nanyong'onyea ghafla,na kuwa katika msongo mkubwa wa mawazo
 
Clark Kent,

Sidhani kama msaada unahitajika zaidi ya wewe kufanya uamuzi wa mstakabali wako, nimewahi kujionea kijana akinyimwa kazi kwani masikio yake hayana usikivu mzuri
 
kila mtu na udhaifu wa viungo vyake,nimeanza kutumia earphone miaka 8 iliyopita,kutumia hasaa sio kusikilizia taarifa ya habari na mpira NO,ni mziki trouble.

aina za earphone pia ni tatizo,kuna phone in ear za kuingia sikioni,hizi mara nyingi huwa sio salama,maana haziruhusu sauti kuingia sikioni na kitoka,hata ukizivaa bila kuwasha mziki utagundua,hewa haiingii masikioni.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kondom mkiambiwa vua,kabla sentensi haijaisha mshazitupilia mbalii.....anyway wewe ndio wa kuamua,kama kweli hutaki kulala usingizi wa milele mapema basi utaacha tuu..
 
1. Tafuta kazi za kufanya. Ziwe kazi za kukufikirisha/ zinazohitaji concentration.

Au,

2. Tafuta alternative hobby ya kucover muda ambao utakuwa unajizuia kuvaa hiyo mi-earphone.

It takes 3 weeks to get over/develop new habits. So do yourself a favor and stop fvcking around exposing your weaknesses to people man.

Sent using Jamii Forums mobile app
very good advice.
 
Back
Top Bottom