Camp Lehigh
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 335
- 612
Unajua madhara ya uhuni/kua na michepuko na pombe? Mbona huachi? Au kwakua nimekosa nahitaji ushauri ndio unaongea ilimradi uongee.
Shida sio kufa. Shida ni mateso kabla ya kufa. Hasa kwa wale wanaonizunguka, nitawasumbua na kuwasononesha mno.Endelea kusikiliza tu, haya maisha tu ukitangulia wewe kufa Haina noma na sisi tunakuja very soon.
Sent using Jamii Forums mobile app
How about your drinking habit..?Madness is doing the same thing over and over again hoping to get different results.
Unahisi cancer inakunyemelea lakini bado umeshindwa kuacha? It is about choices you make in life na wala ushauri wa mtu hauwezi kukusaidia
Yaan unafananisha pombe na mambo ya kijinga?Unajua madhara ya uhuni/kua na michepuko na pombe? Mbona huachi? Au kwakua nimekosa nahitaji ushauri ndio unaongea ilimradi uongee.
Ujanja wako ni ujinga kwa wengine
kabisa aiseeTatizo music ni mtamu na raha ya muziki uusikie pasipo bughuza