East Africa capital cities: Dodoma vs Nairobi

Mji sio majengo ya serekali
Watu ni hohehahe,wenye tuhela kidogo walibahatisha enzi za Jk kwa sasa karibu wote ni nyumbu ndio maana huwezi ona vitu vya maana kwa ground vinafanywa na mtu binafsi coz huku kuna Kim mkubwa ameshika hatamu
 
Mi nashangaa wanaita sehemu kisa pamerundikwa majengo ya wizara na ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…