Safi sana. Naona unajituma sanaKile kinywaji nilichokuwa nimewaonyesha label ya Rest. Kuna wataalamu wamenisaidia kufanya branding kiufanisi. Je itapokelewa vizuri kwenye soko la EA community.? Je ipo atractive? Nipeni maoni. Jina inaitwa Rosell Alcoholic Drink sio Rest tena. Nipeni maoni. Naje price yake ichezee wapi.100% natural ingredients and manufactured in Tanzania.
Pia kama kuna Mkenya angependa kuwa agent wa hiki kinywaji ani inbox. Tuifanye EA iwe ya viwanda kwa kushirikiana.View attachment 570817 View attachment 570818View attachment 570817
Maisha nikupambana. Nipe maoni ya bei.Safi sana. Naona unajituma sana
Not wine. Though we use Roselle juice and Lemon juice to process.
330ml like Heineken bottle size.2 USD naona iko juu sana. Nilitaka I we at 1 USD.Nice.
litre ngapi?
Price ichezee approximately 2USD
Fanya buku jero Au buku 2 kamili330ml like Heineken bottle size.2 USD naona iko juu sana. Nilitaka I we at 1 USD.
Nimekupata
Yes4% only? [emoji15]
Yes or No
Ita penya hadi uko.1.5 USD si mbaya..leta Nakuru tumalize yote
haha.... bei ya mwisho iwe 1.5USD.330ml like Heineken bottle size.2 USD naona iko juu sana. Nilitaka I we at 1 USD.
$1 utapata profit ya kutosha kweli? Lakini wewe ndio unajua expenses zako zimekaa aje. Kumbuka kuna custom tax kwa border ya Kenya unless uingishe kimagendo. Hapo T.Z pia utalipa tax kwa T.R.A unless unapanga kuuza bila serikali kufahamu. Kama una wafanyakazi lazima uzingatie mishahara yao itaongeza bei pia na kadhalika. Kama $1 inatosha ni sawa. Lakini kama mmoja wetu alivyosema $1.5 ndio nzuri zaidi. Lakini wewe ndio utaamua.330ml like Heineken bottle size.2 USD naona iko juu sana. Nilitaka I we at 1 USD.
Sioni jina lake liko vizuri.Mbona jina la kizungu tu kwanini tusijivunie jina la kiAfrika?Maisha nikupambana. Nipe maoni ya bei.