East Africa community mpo tiyali kupokea hii bidhaa.?

East Africa community mpo tiyali kupokea hii bidhaa.?

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Kile kinywaji nilichokuwa nimewaonyesha label ya Rest. Kuna wataalamu wamenisaidia kufanya branding kiufanisi. Je itapokelewa vizuri kwenye soko la EA community.? Je ipo atractive? Nipeni maoni. Jina inaitwa Rosell Alcoholic Drink sio Rest tena. Nipeni maoni. Naje price yake ichezee wapi.100% natural ingredients and manufactured in Tanzania.

Pia kama kuna Mkenya angependa kuwa agent wa hiki kinywaji ani inbox. Tuifanye EA iwe ya viwanda kwa kushirikiana.
IMG-20170819-WA0007.jpg
IMG-20170819-WA0006.jpg
IMG-20170819-WA0007.jpg
 
Kile kinywaji nilichokuwa nimewaonyesha label ya Rest. Kuna wataalamu wamenisaidia kufanya branding kiufanisi. Je itapokelewa vizuri kwenye soko la EA community.? Je ipo atractive? Nipeni maoni. Jina inaitwa Rosell Alcoholic Drink sio Rest tena. Nipeni maoni. Naje price yake ichezee wapi.100% natural ingredients and manufactured in Tanzania.

Pia kama kuna Mkenya angependa kuwa agent wa hiki kinywaji ani inbox. Tuifanye EA iwe ya viwanda kwa kushirikiana.View attachment 570817 View attachment 570818View attachment 570817
Safi sana. Naona unajituma sana
 
330ml like Heineken bottle size.2 USD naona iko juu sana. Nilitaka I we at 1 USD.
haha.... bei ya mwisho iwe 1.5USD.
pombe sampuli hiyo prices zake hapa ziko hivi:
Redds @ $1.5
Guarana @ $1.5
Snapp @ $1.8
Smirnoff Ice @ 1.8

naongelea kuhusu prices za Kenya lakini. kumbuka we are a middle income economy... halafu kila mwaka, alcoholic drinks huongezwa tax kubwa sana. Kenyans drink more alcohol than tea
 
330ml like Heineken bottle size.2 USD naona iko juu sana. Nilitaka I we at 1 USD.
$1 utapata profit ya kutosha kweli? Lakini wewe ndio unajua expenses zako zimekaa aje. Kumbuka kuna custom tax kwa border ya Kenya unless uingishe kimagendo. Hapo T.Z pia utalipa tax kwa T.R.A unless unapanga kuuza bila serikali kufahamu. Kama una wafanyakazi lazima uzingatie mishahara yao itaongeza bei pia na kadhalika. Kama $1 inatosha ni sawa. Lakini kama mmoja wetu alivyosema $1.5 ndio nzuri zaidi. Lakini wewe ndio utaamua.
 
Alcoholic percent yake ni ngapi, hii ingenikuta siku nilikua Mr. Konyagi
Anyway good work, the design is awesome.
 
Naona wanywaji pombe wanaongelea hii kitu ni kama mwanamke vile! Eti aah Rosellaah, safi sana! Fanya jero, fanya buku mbili! Hehe😀 Ingekuwa ni juisi au hata chai tu, ningetoa maoni yangu pia. 😉
 
Back
Top Bottom