East Africa community mpo tiyali kupokea hii bidhaa.?

East Africa community mpo tiyali kupokea hii bidhaa.?

Vizuri sana. Ila comment yangu ni kwenye design. Labda ungeweka color tofauti kwenye jina "Roselle"
Hiyo pink inakuwa kali kidogo. Tafuta namna color tofauti itakayoonekana classic.
 
haha.... bei ya mwisho iwe 1.5USD.
pombe sampuli hiyo prices zake hapa ziko hivi:
Redds @ $1.5
Guarana @ $1.5
Snapp @ $1.8
Smirnoff Ice @ 1.8

naongelea kuhusu prices za Kenya lakini. kumbuka we are a middle income economy... halafu kila mwaka, alcoholic drinks huongezwa tax kubwa sana. Kenyans drink more alcohol than tea
Dah. Hii information imenisaidia
 
Vizuri sana. Ila comment yangu ni kwenye design. Labda ungeweka color tofauti kwenye jina "Roselle"
Hiyo pink inakuwa kali kidogo. Tafuta namna color tofauti itakayoonekana classic.
. Lakini tulishauliana tuchukue rangi ya Roselle yenyewe. But ushauri wako nitaufanyia kazi. Mpango wetu nikuzalisha aina tofauti za hiki kinywaji. Kuna cha 4% alcohol na 12% alcohol.
 
nzuri hili mulisaa..kumbe huwa unatumia akili mda mwingine...weka 1.5 USD hii tutamaliza...tutafagia yote..leta Nairobi tafadhali...yaani ifike Nairobi
 
Kile kinywaji nilichokuwa nimewaonyesha label ya Rest. Kuna wataalamu wamenisaidia kufanya branding kiufanisi. Je itapokelewa vizuri kwenye soko la EA community.? Je ipo atractive? Nipeni maoni. Jina inaitwa Rosell Alcoholic Drink sio Rest tena. Nipeni maoni. Naje price yake ichezee wapi.100% natural ingredients and manufactured in Tanzania.

Pia kama kuna Mkenya angependa kuwa agent wa hiki kinywaji ani inbox. Tuifanye EA iwe ya viwanda kwa kushirikiana.View attachment 570817 View attachment 570818View attachment 570817

nipo tayari kujaribu wala sio tiyali. haya sampling maeneo gani kenya kaka!!!
 
Back
Top Bottom