East Africa Community

East Africa Community

Nyati

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2009
Posts
2,521
Reaction score
1,906
Wakuu,

kuna jamaa yangu ameitwa kwenye round ya pili ya interview EAC sasa wamempa fomu ajaze pamoja na mambo mengine Mshahara anaohitaji. Anaomba ushauri wa range kwa mtu mwenye Masters Degree, nafasi ni ya officer na Masters degree ni moja ya vigezo. Kama kuna mwana JF huko basi atujuze.

Natanguliza shukrani za dhati

Nyati
 
Back
Top Bottom