East Africa head of States Minute meeting and Agenda

Wetu hayupo kajificha. Hatujaambiwa sababu kwanini hakuhudhuria????????
 
Wetu hayupo kajificha. Hatujaambiwa sababu kwanini hakuhudhuria????????


Wewe mtoto huna adhabu na heshima, hiyo ndiyo shida ya watoto wa dot. Com.

How can you expose your prezdwa in such a way??!!
 
Hakuna impact yoyote toka kwa hao viherehere tulishawazoea
Lockdown,kufunga mipaka waliamua wenyewe,sasa mambo.magumu wanataka vikao
Wao si ndiyo wametufungia siyo sisi, kwa taarifa yako kwa kukusaidia tu sisi ndiyo tunakataliwa kila mahali....Kumbe hujaelewa. Magufuli amefanya nchi yetu imekuwa ya hovyo...Anatuma ndege kufuata mitishamba ambayo inapatikana hapa Tanzania, rais mwamini uchawi. VIpi kujifukiza haifai tena??
 
Ulienda wapi ukakataliwa?
Kijijini kwenu hamjifukizi?
Aliekwambia miti shamba ni uchawi ni nani?
Nitajie sehemu.kwenye jamhuri hii ambako hawatumii mitishamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…