East africa inaenda kuweka rekodi mpya, tukaze

East africa inaenda kuweka rekodi mpya, tukaze

tatizo timu yetu ni pasua kichwa jaman,yani kweli tukishindwa kufuzu mbele ya hawa vibonde Lesotho na cape Verde bas tusahau kufuzu tena afcon
 
Ushindi wa Uganda umewajenga Sana taifa Star kesho ushindi uko asilimia zote
 
Taifa stars si ajabu ikapigwa na Lesotho wale jamaa walitukazia sana pale chamazi kwa sababu ya upuuzi wa TFF
walikwepa gharama ile mechi ingeplekwa zenji,arusha au mwanza
 
huwa nawahurumia watanzania namna wanavyojipa hope isiyokuwepo poleni wabongo level yetu ni kagame cup
 
Back
Top Bottom