mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Miaka 10 iliyopita Tofauti ya GDP Kati ya hizi N hi mbili ilikuwa $10b....Miaka 10 baadaye gap imepanuka hadi$40b...bado mnatufikia 🤣🤣🤣😉mshamba sana wewe, kenya ilifurukuta kuupita uchumi wa TANZANIA, mwanzoni mwa mwaka wa 1986 na kama siyo vita ya ukombozi wa kusini mwa afrika, vita ya kagera, vita ya BAFRA kunyaland siyo wa kujifananisha na TZ, NA SASA HHATUNA VITA TUNAENDELEA KUWAPITA KAMA MMESIMAMA, NYANGAU NYIE