Habarini nyote,
Kwakweli inashangaza sana tasnia ya muziki wetu na wasanii wetu pale unapokuja kufananisha na nchi za wenzetu hapa Africa kama pale Nigeria,Ghana na South Africa ambao ushindani wa
wasanii ni mkubwa zaidi na vilevile wasanii wengi wameweza kuvuka mipaka mbalimbali ya sauti zao lakin huku kwetu wasanii katika ushindani ni zero sijui tatizo ni chuki baina yao nakushindwa kushirikisha wapi warekebishe na wapi watengeneze.
Kwahiyo mpaka sasa nisema kua wasanii wengine wameshindwa ushindani, YAANI HAKUNA KABISA WAKUFANYA MAPINDUZI YA MUZIKI ZAIDI YA WCB CREW (na wengine wachache) au ndio wasanii wengine mnaendelea jaribu kama ilivyo sasa.