Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habarini nyote,
Kwakweli inashangaza sana tasnia ya muziki wetu na wasanii wetu pale unapokuja kufananisha na nchi za wenzetu hapa Africa kama pale Nigeria,Ghana na South Africa ambao ushindani wa
wasanii ni mkubwa zaidi na vilevile wasanii wengi wameweza kuvuka mipaka mbalimbali ya sauti zao lakin huku kwetu wasanii katika ushindani ni zero sijui tatizo ni chuki baina yao nakushindwa kushirikisha wapi warekebishe na wapi watengeneze.
Kwahiyo mpaka sasa nisema kua wasanii wengine wameshindwa ushindani, YAANI HAKUNA KABISA WAKUFANYA MAPINDUZI YA MUZIKI ZAIDI YA WCB CREW (na wengine wachache) au ndio wasanii wengine mnaendelea jaribu kama ilivyo sasa.
kwa wengi hilo huja baada ya kushindwa ushindaniKila mtu ana malengo yake,huez kulazimisha mtu afike mahali unapopata wewe wakati yeye hajawai hatakufikiria
Hao wasanii kila mtu analengo lake na ndoto zake
pengine wanataka hela ya kuwawezesha kuishi tu nakujulikana