Wewe kichwa yako iko na wadudu, ni watu katika dunia hii ambapo anayekopa ndio anapanga terms za kukopa?, mwenye pesa ndiye anayeweka masharti ya kutimizwa kabla hajatoa pesa yake, lengo ni kujihakikishia usalama wa pesa yake na kupata faida kwa wakati, eti nchi ndiyo inajipangia ceiling ya kiwango inachokitaka, kwa akili hizi zako Kenya itasubiri sana uchumi wake kufanya vizuri.
Kuhusu ceiling ya kukopesheka, tumia akili kidogo, hivi Chris Kirubi akihitaji mkopo, na mtu toka Kibera akihitaji mkopo toka Bank, nani atakayekopeshwa?, hata Kama Kirubi ameshakopeshwa na Bank hiyohiyo, no rahisi kwa Kirubi kukopeshwa tena kuliko wewe wa Kibera, kwa sababu wewe unajulikana Kama high risk customer.
Japan General Government Gross Debt to GDP | 1980-2018 | Data | Chart
Hapa inaonyesha Japan ilishakopa hadi kufikia 250%, onyesha ni nchi gani masikini iliyovuka 70%. Acha kupingana na ukweli, Kenya mpo na hali mbaya sana, msipokua makini mtaomba bail out soon.