Jana katika kipindi cha jioni alikuwepo mtu mmoja aliyejitambulisha kama Bantu. Alikuwa ameanza kuzungumzia jinsi alivyouona uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopita.
Alikuwa anaongea maneno ya kweli na adimu sana kuyasikia kwenye media zetu. Muda mfupi nilitoka nje ya gari kidogo, kurudi nikakuta ameshaondolewa na kuwekwa chawa mmoja hivi!
Najiuliza mamlaka ziliwapiga simu mkatishe mahojiano na yule mzee mzalendo na nabii aliyekuwa akitabiri yatakayotokea mbeleni?