Hatuna media tena mkuu ni aibu tupuJana katika kipindi cha jioni alikuwepo mtu mmoja aliyejitambulisha kama Bantu. Alikuwa ameanza kuzungumzia jinsi alivyouona uchaguzi waitaa uliopita.
Alikuwa anaongea manene ya kweli na adimu sana kuyasikia kwenye media zetu. Mda mfupi nilitoka nje ya gari kidogo, kurudi nikakuta ameshaondolewa na kuwekwa chawa mmoja hivi!
Najiuliza mamlaka ziliwapiga simu mkatishe mahojiano na yule mzee mzalendo na nabii aliyekuwa alitabiri yatakayotokea mbeleni?
Jamaa wameishindwa JF pekeeHofu na uchawa umewatawala kichwani.Ukiwaona walivyo utadhani wanatumia akili zinazojitegemea kumbe ni karunguyeye watupu!
Fake id bonge moja la shieldJamaa wameishindwa JF pekee
Wamewatisha mpk wamechokaFake id bonge moja la shield
Hata U FM walikatiza kipindi cha DW Kiswahili jana walioanza kuzungumzia mada ya utekaji na uuaji Tanzania.Jana katika kipindi cha jioni alikuwepo mtu mmoja aliyejitambulisha kama Bantu. Alikuwa ameanza kuzungumzia jinsi alivyouona uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopita.
Alikuwa anaongea maneno ya kweli na adimu sana kuyasikia kwenye media zetu. Muda mfupi nilitoka nje ya gari kidogo, kurudi nikakuta ameshaondolewa na kuwekwa chawa mmoja hivi!
Najiuliza mamlaka ziliwapiga simu mkatishe mahojiano na yule mzee mzalendo na nabii aliyekuwa akitabiri yatakayotokea mbeleni?