Ila kile cha mchana kinachoongozwa na GOZA CHUMA Dah pale Hakuna kitu mwamba anachojua yeye n simba na yanga tu mm binafsi namuona Kama mpiga kelele aliyebahatka kuongoza kipindi
Kwa kipindi cha Usiku Kwel Wapo vizuri ila kuna mambo madogo ya kurekebisha wao ndio pekee hawacopy kutoka radio nyingne n wanautofaut na wengine
Ukisikiliza e FM kipindi chao n Kama wasafi tu
Ila wanaojua kuchambua mpira kwa sasa hapa bongo ni
George ambangile
Jeff lea
Ibrahimu masoud maestro
Tigana lukinja
Yahya njenge
Sent using
Jamii Forums mobile app