secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Hahahaha 🤣Jana wamemtoa machozi Wema Sepetu kwa kumuuliza atazaa lini,
Kuna kipindi walitakiwa kuvaa vitambulisho vya Machinga wakalalamika sana ilikua sahihi.
Hiyo ya dogo kuambiwa kuhusu kabila lake kula vitu vichafu vichafu ndiyo imepelekea wewe kulia sana au kuna kitu kingine zaidi ya hicho?Nimelia sana jama!
Khaaaa watangazaji wetu ni balaaa sanaaaa....hawajui wanachofanyaaNiko hapa nasikiliza Planet bongo ya East Africa radio ambayo inaruka kutoka Tumaini university.
Huyu mtangazaji aitwaye February amefanya kitu cha ovyo kabisa leo, wakati anamhoji amemuuliza dogo mmoja jina dogo akamwambia mimi ni mhadzabe February akasena "wale wanaokula vitu vichafu vichafu...".
Nimemshangaa Sana huyu binti mpaka macho yamenitoka kama mjusi aliyanwa na mlango.
realMamy toa neno lako.
Labda yeye ndo mtangazi aliyefanya huo utumbo.Hiyo ya dogo kuambiwa kuhusu kabila lake kula vitu vichafu vichafu ndiyo imepelekea wewe kulia sana au kuna kitu kingine zaidi ya hicho?
Yaani anadhani akishakuwa na big nyash amemaliza maisha.Khaaaa watangazaji wetu ni balaaa sanaaaa....hawajui wanachofanyaa
Tutaonana wabaya....NJaa kali sana bila mada za umbea na uchawa sisi media tutapata wapi ugali wananchi wetu mnawajua
Tukiwaletea mada za ujenzi wa taifa hampendi /hatupati views. Ila connection na umbea ndo tunapata attetion yenuTutaonana wabaya....
Akiwa wa kike kigezo namba moja nahisi ni big nyash, akiwa wa kiume konekshesh.Hivi utangazaji hausomewi tena?
Ila kweliTukiwaletea mada za ujenzi wa taifa hampendi /hatupati views. Ila connection na umbea ndo tunapata attetion yenu
Ule ni utoto.Infact, Hajali hisia za watu.
Inasikitisha sana😥.Jana wamemtoa machozi Wema Sepetu kwa kumuuliza atazaa lini,
Kuna kipindi walitakiwa kuvaa vitambulisho vya Machinga wakalalamika sana ilikua sahihi.