East Africa redio mrudisheni shule huyu mtangazaji February Omary maana huu ni upuuzi

Angesema mtu wa kawaida ningeona kawaida ila kwa sababu kasema mtu anayesikilizwa na umma namshangaa na kumwona mtu asyejielewa hata tone.
 
Acha kusikiliza hao watangazaji wavaa Modo na vinjunga....watangazaji wengi wa vipindi vya burudani now utoto mwingi
 
Hawa watangazaji wengi bongo ni makanjanja tu shule hamna. Huwa nakasirika sana nikisikia mtangazaji anatamka mfano Morogoro anatamka "Mologolo".

Kuna lijamaa nilisikia sikumbuki redio gani habari za michezo asew hayo majina ya wachezaji yanavyotajwa unatamani ukamtie makofi kabisa maana hata kufanya research kidogo kujua jinsi ya kutamka majina ya watu hawawezi.
 
Hiyo ya dogo kuambiwa kuhusu kabila lake kula vitu vichafu vichafu ndiyo imepelekea wewe kulia sana au kuna kitu kingine zaidi ya hicho?
Kama unaona neno hilo ni sahihi kuwakashifu wenzako, wewe ni mtu wa hovyo, tunakula vyakula si kwa uamuzi wetu bali tulivyolishwa tulipozaliwa.
 
Fimbo zirudishwe kwenye baadhi ya tasnia.
 
Defending the right to offend others in the name of free speech??

Why playing Politics??..
 
ila ka msomi utaona yupo sawa tu

kwa wale wanaoijua jamii ya Wahdzabe ndo wanasifa kama hizo
 
Defending the right to offend others in the name of free speech??

Why playing Politics??..
How is it offending others ? Wewe kama unachokula unaona ni kisafi why do you care mtu akisema ni kichafu ?

Wewe unavyoambiwa usiponawa mikono kabla ya kula ni uchafu unakuwa offended ? Kwahio its a fact kwa utamaduni / maisha ya mtu wa kawaida wa sasa chakula wanachokula hao au ancestors wao (hunters and gatherers) ni uchafu, ingawa haimaanishi hao wanaokula wenyewe wanaona ni uchafu, nor should they care what someone else thinks...

One Persons Meat is another one's Poison..., no one should care about how others think about them..., so long as wenyewe wanaona wapo sawa....; Na huyu kama anaona anapata Kero kwa hao wanaosema wanalolisema awe kama mimi hapa ambaye siangalii na sio kuwaziba midomo...
 
Kama unaona neno hilo ni sahihi kuwakashifu wenzako, wewe ni mtu wa hovyo, tunakula vyakula si kwa uamuzi wetu bali tulivyolishwa tulipozaliwa.
Acha kauli za kukera ili uonekane kwamba wewe una huruma sana. Sijasema kuwa kauli ya mtangazaji ni sahihi lakini nimeshangaa niliyem-quote alipodai kwamba "alilia sana" kwa sababu naamini kuna mengi yanayoweza kumfanya mtu "akalia sana" lakini si kauli hiyo pekee yake. Bora hata angesema alitoa machozi lakini "kulia sana" kunahitaji uwepo wa stress au sababu nyingine zinazoweza kupelekea huo uliaji wa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…