Ofcourse we will use kenyan shillings
Good news for Uganda Tanzania Rwanda South Sudan and Burundi๐๐๐Hatuwezi tumia pesa za madafu hio sahau.....
Nguvu na uwezo kivipi?? Umetumia kipimo gani??Haya mahesbu yanafanywa vipi maana shilingi yetu ndio inatawala kote kote kwa nguvu na uwezo, mambo ya muungano yana gharama kwa kweli, inabidi kuburuzwa nyuma na wazembe.
Hakuna kutumia pesa ya pamoja, kuna nchi zinapika data na kuongeza thamani ya pesa ya nchi yao matokeo yake nchi inakua na mzigo wa madeni yasiyolipika.Nguv
Nguvu na uwezo kivipi?? Umetumia kipimo gani??
Swala la deni halipo hapo. Kila mtu anapambana na hari yake.๐๐๐๐Hakuna kutumia pesa ya pamoja, kuna nchi zinapika data na kuongeza thamani ya pesa ya nchi yao matokeo yake nchi inakua na mzigo wa madeni yasiyolipika.
Hakuna Muungano wa kiuchumi kati ya nchi inayodaiwa $56B na nchi inayodaiwa $2B, hayo madeni mtagawanaje?. Au tukubaliane kwamba madeni yasiingie kila mtu abaki na deni lake, Kama tulivyofanya katika ardhi, haiwezikani wengine wakope bila kutumia akili, then kutaka kusambaza kwa wengine waliobana matumizi.
hatutaki hizi stori, shillingi yetu iko vizuri tubaki nayo tuu
mbona anaongea kiswahili chenye lafudhi ya kiingerezaVery soon we will start the use of one currency๐๐๐๐
Uwezo wa wakenya katika kupanga mipango ni mdogo sana, wanapenda sifa na kujionyesha zaidi.ina maana hawajajifunza kutokana na kilichoikumba euro
mipango yao mingi wanaipanga eiza wakiwa wanakunywa au wamekunywa changaa na kutafuna mirungi na nasikia soon wataligalize marijuanaUwezo wa wakenya katika kupanga mipango ni mdogo sana, wanapenda sifa na kujionyesha zaidi.
Wacha wa legalize weed, its pros outweigh its cons. Kila kitu kina faida na hasara kwanza.mipango yao mingi wanaipanga eiza wakiwa wanakunywa au wamekunywa changaa na kutafuna mirungi na nasikia soon wataligalize marijuana
Hakuna kutumia pesa ya pamoja, kuna nchi zinapika data na kuongeza thamani ya pesa ya nchi yao matokeo yake nchi inakua na mzigo wa madeni yasiyolipika.
Hakuna Muungano wa kiuchumi kati ya nchi inayodaiwa $56B na nchi inayodaiwa $2B, hayo madeni mtagawanaje?. Au tukubaliane kwamba madeni yasiingie kila mtu abaki na deni lake, Kama tulivyofanya katika ardhi, haiwezikani wengine wakope bila kutumia akili, then kutaka kusambaza kwa wengine waliobana matumizi.
Hahahahahahahahaha, Kama kawaida yenu kupika data. OK ni sawa Tanzania inadaiwa kuliko Kenya, hatutaki kuwasambazia madeni yetu, kila mtu abaki kwake na pesa yake na madeni yake, tuone nani atakaye fungishwa ndoa na mchina.Tanzania external debt = $ 21 billion = 37.5% of GDP.
Tanzania Total External Debt Stock | 2018 | Data | Chart | Calendar
Kenya external debt = $26 billion = 29.5% of GDP.
Kenya Central Government External Debt | 2018 | Data | Chart | Calendar
Anayefaa kulalamika hapa ni Mkenya.