East Africa to use 1 currency by 2020.

East Africa to use 1 currency by 2020.

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Very soon we will start the use of one currency👏👏👏👏
 
Haya mahesbu yanafanywa vipi maana shilingi yetu ndio inatawala kote kote kwa nguvu na uwezo, mambo ya muungano yana gharama kwa kweli, inabidi kuburuzwa nyuma na wazembe.
 
Nguv

Nguvu na uwezo kivipi?? Umetumia kipimo gani??
 
Hakuna kutumia pesa ya pamoja, kuna nchi zinapika data na kuongeza thamani ya pesa ya nchi yao matokeo yake nchi inakua na mzigo wa madeni yasiyolipika.

Hakuna Muungano wa kiuchumi kati ya nchi inayodaiwa $56B na nchi inayodaiwa $2B, hayo madeni mtagawanaje?. Au tukubaliane kwamba madeni yasiingie kila mtu abaki na deni lake, Kama tulivyofanya katika ardhi, haiwezikani wengine wakope bila kutumia akili, then kutaka kusambaza kwa wengine waliobana matumizi.
 
Swala la deni halipo hapo. Kila mtu anapambana na hari yake.😂😂😂😂
 
mipango yao mingi wanaipanga eiza wakiwa wanakunywa au wamekunywa changaa na kutafuna mirungi na nasikia soon wataligalize marijuana
Wacha wa legalize weed, its pros outweigh its cons. Kila kitu kina faida na hasara kwanza.
 
Hakuna kutumia pesa ya pamoja, kuna nchi zinapika data na kuongeza thamani ya pesa ya nchi yao matokeo yake nchi inakua na mzigo wa madeni yasiyolipika.

Hakuna Muungano wa kiuchumi kati ya nchi inayodaiwa $56B na nchi inayodaiwa $2B, hayo madeni mtagawanaje?. Au tukubaliane kwamba madeni yasiingie kila mtu abaki na deni lake, Kama tulivyofanya katika ardhi, haiwezikani wengine wakope bila kutumia akili, then kutaka kusambaza kwa wengine waliobana matumizi.

Tanzania external debt = $ 21 billion = 37.5% of GDP.
Tanzania Total External Debt Stock | 2018 | Data | Chart | Calendar

Kenya external debt = $26 billion = 29.5% of GDP.

Kenya Central Government External Debt | 2018 | Data | Chart | Calendar

Anayefaa kulalamika hapa ni Mkenya.
 
Hahahahahahahahaha, Kama kawaida yenu kupika data. OK ni sawa Tanzania inadaiwa kuliko Kenya, hatutaki kuwasambazia madeni yetu, kila mtu abaki kwake na pesa yake na madeni yake, tuone nani atakaye fungishwa ndoa na mchina.
 
Back
Top Bottom