East Africa to use 1 currency by 2020.

Hahahahahahahahaha, Kama kawaida yenu kupika data. OK ni sawa Tanzania inadaiwa kuliko Kenya, hatutaki kuwasambazia madeni yetu, kila mtu abaki kwake na pesa yake na madeni yake, tuone nani atakaye fungishwa ndoa na mchina.
Mkionyeshwa ukweli mnasema data imepikwa. Is Trending Economics a Kenyan website? You would rather live in a bliss of ignorance than face the truth. Just because there's freedom of speech in Kenya and people are allowed to speak about our debts freely doesn't mean you're better. You're actually worse. Prove me wrong if you can.
 
Kenya’s public debt load hits Sh5trn
Ninyi wakenya mnamatatizo sana, hivi inataka tubishane katika hili?, wenzako wote wanakushangaa. Inawezekana ukiambia Africans are black, pia unaweza kubisha.

Hii taarifa sio ya up to date, lakini inaonyesha ni 54.7% deni la Kenya, taarifa za hivi majuzi tayari limevuka 60%, stay tuned.
 
I'm talking if external debt, you're talking of total debt. Mbona Unapenda kufikiria kwa matako? Kwani huna akili?

From your article, external debt ni 25.6 trillion Kenya shillings which is $25.6. Nimesema hapo juu external debt ya Kenya ni $26 billion. Wacha kupingana juu ya chuki. Understand the facts.
 
Mjinga wewe, hivi ukidaiwa na jirani yako hilo sio deni?, deni la Taifa ni jumla ya internal na external, kwasababu yote ni lazima yalipwe. Acha ukichaa wako wewe.
 
H
Mjinga wewe, hivi ukidaiwa na jirani yako hilo sio deni?, deni la Taifa ni jumla ya internal na external, kwasababu yote ni lazima yalipwe. Acha ukichaa wako wewe.
Hajui internal debt ina effect kiuchumi kuliko external debt. Serikali inakopa pesa zake yenyewe.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Banks zinafanya biashara na Serikali. Engineer wa breaksπŸ˜‚πŸ˜‚
 
hatutaki hizi stori, shillingi yetu iko vizuri tubaki nayo tuu
tokeni na Jumuiyani kabisa na shilingi yenu, the euro is performing well because of the European Union, we shouldn't allow retards to stagnate us. Move on with your shilling, we have Uganda and the other 3.
 
Mjinga wewe, hivi ukidaiwa na jirani yako hilo sio deni?, deni la Taifa ni jumla ya internal na external, kwasababu yote ni lazima yalipwe. Acha ukichaa wako wewe.
Una akili kweli? Deni unalodaiwa na jirani yako ni external, sio internal. Internal debt ni lile tunalodai kampuni za Kenya na Wakenya binafsi. Wewe mwehu nini? Furthermore, Haruna jirani hata mmoja aliye na uwezo wa kutukopesha. Mjinga wewe. No wonder external debt yenu ni $21 billion (external pekee) na unasema ni $2 billion.
 
Mpumbavu wewe, Kenya external debt ni $26B, na Tanzania ni $21B, nani mwenye deni kubwa?, angalia mlivyo na hali mbaya ya uchumi hapa
Kenya Central Government External Debt | 2018 | Data | Chart | Calendar

Niliposema jirani nilimaanisha mtu wa ndani. Kwa taarifa yako, internal debts ndiyo yenye athari kubwa katika uchumi wa nchi kuliko external debts
1)Deni la ndani lazima lilipwe ndani ya muda mfupi
2) Usipolipa madeni ya ndani, mzunguko wa pesa unapungua na ukuaji wa uchumi unapungua
3)Isipowalipa suppliers wanashindwa kuendelea kutoa Huduma
4)Contractors au wakulima wasipolipwa hawawezi kuendelea kuzalisha
5) External debts unaweza kuomba muda zaidi wa kulipa deni, huwezi kusogeza muda wa kulipa internal debts kwasababu wengi hawana capital ya kuendelea na kazi

Jambo la kupaswa kujua ni kwamba, tukisema nchi ina madeni mengi,ni jumla ya deni la ndani na la nje, wewe ujinga wako unadhani ukidaiwa na mkulima wa mahindi hapo Kenya is not serious, wewe unaogopa mchina kwasababu anataka kuchukua KRA, mjinga kabisa wewe.
 
Ninyi hamjiini sana, very insecure, sijataja Tanzania kwamba external debts ni $2B. Nililinganisha nchi yenye deni kubwa la Taifa ambapo $56B na nchi yenye deni dogo kabisa ndani ya EAC ni $2B, itawezekanaje hizi nchi zenye tofauti kubwa ya madeni kuunganisha uchumi.

Wewe kwa kutapatapa kwako ukaamua kuja na habari ya external debts.Mimi nimezungzia Deni la Taifa(internal + External).
 
Hahahahahahahahaha, Kama kawaida yenu kupika data. OK ni sawa Tanzania inadaiwa kuliko Kenya, hatutaki kuwasambazia madeni yetu, kila mtu abaki kwake na pesa yake na madeni yake, tuone nani atakaye fungishwa ndoa na mchina.
Mchina amewakmata pazuri sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani anachezea makende yao kama vile mtoto anavochezea gololi😁😁😁😁
 
Debt is a debt hakuna cha foreign au internal kwan wapo wachina wanamashirika yao kenya na wamewakopesha serekali na wanahesabika kama internal debt ndio maana IMF hua wanatoa total figure of debt to GDP ratioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…

Ambayo mpaka sasa debt to GDP ratio in kenya is 63%😁😁😁😁 kilichobakia lazima muuze KPA
 
Mjinga wewe, hivi ukidaiwa na jirani yako hilo sio deni?, deni la Taifa ni jumla ya internal na external, kwasababu yote ni lazima yalipwe. Acha ukichaa wako wewe.
Hahaha yeye anafkiri internal debt labda inakua ni ya wakenya pekee kasahau pia kuna investors kutoka nje wapo kenya na wameikopa serekali ndio maana IMF wakitoa data wanatoa total debt figure sasa yeye anafkiri kua internal hawatalipaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
H
Hajui internal debt ina effect kiuchumi kuliko external debt. Serikali inakopa pesa zake yenyewe.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Banks zinafanya biashara na Serikali. Engineer wa breaksπŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ engineer wa majengo huyo siku aliyosema airbus A380 haiwez kutua JNIA ndio siku hio hio ilitua 😁😁😁
 
Mchina yuko mbioni kununua KPA washatangaza wanauzaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mpumbavu wewe, Kenya external debt ni $26B, na Tanzania ni $21B, nani mwenye deni kubwa?, angalia mlivyo na hali mbaya ya uchumi hapa
Mie ndie niliyekueleza kuwa external debt ya Kenya ni $26B na Tz Ni $21B ukabisha, sahii hii unanieleza hayo hayo ukiniita mpumbavu. Hivi mimi na wewe nani mpumbavu?

Kisha nikakueleza our debt to GDP ratio is much lower than Tanzania's. Huwa hatuangalii deni tu bali pia uwezo wa kulilipa. Acha upumbavu.

Hayo yote unayosema ni upumba bila kuzingatia deni la ndani la Tz pia. Unabeza Kenya wakati hujui Tz iko vipi and judging from your prior knowledge you have no idea considering you thought the total debt of Tz is $2 billion kabla nikuelimisha. Read. Don't just argue over nothing.
 
Like the German Euro Which rules the bigger part of Europe
 
Onyesha wapi nimesema deni la Tanzania ni $2, wewe unaweweseka kwa kuigopa Tanzania.
 
Onyesha wapi nimesema deni la Tanzania ni $2, wewe unaweweseka kwa kuigopa Tanzania.
You're very stupid Joto. Yani utamkana hadi mamako mzazi. Very useless.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…