Mpumbavu wewe, Kenya external debt ni $26B, na Tanzania ni $21B, nani mwenye deni kubwa?, angalia mlivyo na hali mbaya ya uchumi hapa
Kenya Central Government External Debt | 2018 | Data | Chart | Calendar
Niliposema jirani nilimaanisha mtu wa ndani. Kwa taarifa yako, internal debts ndiyo yenye athari kubwa katika uchumi wa nchi kuliko external debts
1)Deni la ndani lazima lilipwe ndani ya muda mfupi
2) Usipolipa madeni ya ndani, mzunguko wa pesa unapungua na ukuaji wa uchumi unapungua
3)Isipowalipa suppliers wanashindwa kuendelea kutoa Huduma
4)Contractors au wakulima wasipolipwa hawawezi kuendelea kuzalisha
5) External debts unaweza kuomba muda zaidi wa kulipa deni, huwezi kusogeza muda wa kulipa internal debts kwasababu wengi hawana capital ya kuendelea na kazi
Jambo la kupaswa kujua ni kwamba, tukisema nchi ina madeni mengi,ni jumla ya deni la ndani na la nje, wewe ujinga wako unadhani ukidaiwa na mkulima wa mahindi hapo Kenya is not serious, wewe unaogopa mchina kwasababu anataka kuchukua KRA, mjinga kabisa wewe.