Originally Posted by
Waberoya
Thanks my brother, I am well, nalijenga taifa porini sana where internet is not available,but thanks God jamvi linaenda vizuri.
Nacheka sana ninapoona watz wengi wana copy na ku paste yaliyotokea Ulaya ndiyo tuyafanye huku, sijui tumerogwa?
Kabla ya Ulaya kuungana kila nchi ilikuwa na maendeleo kiasi gani?
I am always joking the very same joke that will make someone realise that we are living the copied life, is not ours
Tunasoma katika historia inayojulikana na kila mtu kuwa , wazungu walikuja Afrika kutafuta malighafi-hiyo ilikuwa karne ya 18! baada ya mapinduzi ya viwanda! Je sisi hiyo hali tumeifikia? have we ever experienced industrial revolution? then which century are we?
Je hawa wazungu leo hii wanapata malighafi kutoka wapi? au Mungu amewaumbia tena madini?
Lini tutaaanza kufikiri nje ya box?, kuwa, kwanza hatuishi karne ya 21, pili maisha haya ya 'Science and Technology' tumetupiwa siyo yetu na hata kama tunaishi humo, tuyaweke katika mazingira ya kumkomboa na kumfanya mwafrika kuwa valuable person mwenye idea za tofauti kabisa za kimaendeleo, na kisingizio kisiwe mbona Ulaya waliungana!!
Economics ideas are dynamic and unpredictable, wakati nchi za West africa ziligawanywa ili eti zikiwa ndogo watapata maendeleo ya haraka! nchi kama China zilitegemewa zitakuwa maskini!! leo hii situation is different, kitu gani kimetokea mwaka juzi na jana kuhusu uchumi kuyumba wa dunia hii?
Lini waafrika tutakuwa na kanuni zetu za uchumi kulingana na hali halisi ya nchi zetu na sio kusoma tu akina Monte carlo! hatujafikia kiwango hata cha kuiga ya hawa wenzetu, maana mpaka sasa kila tufanyacho hatufikirii kwa undani tuna copy na kupaste!
mbaya zaidi ni pale watawala wanajua wana uwezo(capital) elimu nzuri wao na watoto wao, wamewatayarisha watoto wao katika global stage, inapofikia kuona kuna wasomi wanatoa solution rahisi za uchumi kwa kulibatiza shirikisho , si ndio uthibitisho wenyewe kuwa we have nothing new!
na ya kuwa bado tunatawaliwa na idea zote za wenzetu wameendelea vipi, lakini kama hata una copy mtu mwenye busara ngau ni yule huwa anawaza hali yetu zaidi na sio kufananisha ulaya na Tz! what a shame!
Ndio aibu kwani siri? kwani vijana wetu wanaosoma special schools za Mzumbe, Ilboru,Kibaha na Tabora sio ndio wengi wao wanaosoma computer science, electrical engineering na electronics vyuo vikuu? je kuna computer tuna-manufacture humu nchini?, umeme wetu ukoje? kabla ya kutibu magonjwa kama haya ambao ni upele wa usoni! tukikumbatiana wote wenye upele tutapona??
Nauliza lini msomi wa Tz, atawaza tofauti kabisa , bila kusema mbona Europe ilikuwa hivi na Asia ilikuwa vile? kwa nini tunajidhalilisha, kwa kufikiria tumeendelea sana, hata kufuata njia za wazungu , wakati tuna tamaduni, na backgrounds tofauti? IMEANDIKWA NA Waberoye post 1295 under Thread East African Federation.
.............................................................................................................................................................................
RealDull, read this post #1295! It wil help u to catch me in my previous post on theory and practical. Tafadhali soma hii post,
A MUST READ POST!!!!!!!!
Uliyoyaandika ndio matatizo makuu yanayotufanya turudi nyuma. Watu wanashindwa kuelewa kuwa
Economics ideas are dynamic and unpredictable. IDEA za 1990 zinaweza zikawa zimepitwa na wakati mwaku huu. Wakati ambao tunawasomi wetu (maprofesa zaidi ya ujerumani na uingereza ktk karne ya 18) ni wakati wa kufanya utafiti EAF na kutumia nadharia zetu zinazoendana na hali halisi under ground.
Tatizo hili kubwa mno KENYA, na ni ndogo sana Tanzania. N husababishwa na kasumba na ukoloni mambo leo ambao uko mkubwa sana nchini KENYA. Homa hii imeambukizwa kwa miaka kadhaa nchini KENYA na imerithiwa toka kwa akina NJONJO. Akieleza kuhusu kazi ambazo mtu mweusi hawezi kufanya, mwaka 1974, alitaja udaktari na upilot, kitu ambacho leo kuna madaktari na mapilot kibao weusi.
Mtihani mkubwa tulio nao ni kuwasaidia ndugu zetu wAKENYA( akina
RealDull) wafike hapa tulip