East African Federation (EAF) public Views

Ndugu yetu Koba, naomba unifahamishe kidogo, kwani nyie wanyarwanda kila mtu ana ID? Hata hivyo uelewa wangu nchi yenu na idadi yenu ni ndogo kama mkoa mmoja tu wa Tanzania!?

....i m not Rwandese na i don't mind to be one if you want too,and im very much pro Kagame maana the guy is doin the right thing to his countrymen/women na viongozi wa Africa need to learn from this guy,i always defend the guy from all the the lies,noises & BS especially from babukijana(hutu extremist running around) and his uninformed ****** in JF,Tanzania tungekuwa na Kagame tusingekuwa na mafisadi and will be better place for everybody.
 
Ndugu yetu Koba, naomba unifahamishe kidogo, kwani nyie wanyarwanda kila mtu ana ID? Hata hivyo uelewa wangu nchi yenu na idadi yenu ni ndogo kama mkoa mmoja tu wa Tanzania!?

...na hapo bado wanachinjana!!
 

Labda U-Tanzania wangu unanifanya nisi-Fahamu Kizungu : Hapo RED/BOLD sijaelewa hiyo takwimu!

Naona Wakimbizi [smatta and Co.] wana-HAHA na EAC-Common-Market! Hampati kitu hapa
 

Vizuri! Sasa umenipata, tunaweza tukajadili vizuri kuliko huko mwanzo. Na nilitaka ufike hapa.

Kuhusu mawazo yangu juu ya EAF: Wajua nimeanza kuingia katika huu mjadala wakati tayari post 1000 zimeshatumwa. Na nikatulia kwa siku moja na kuzisoma zote kwanza. Na nikagundua kuwa, kuna wengi wameandika tayari mawazo ambayo yanalingana na yale yangu. Sikuona sababu ya kukaa na kuandika habari ndefu za marudio, kwani kufanya hivyo ni sawa na kusema eti umegundua pythagoras theorem leo, ambayo ilikuwepo tayari miaka mingi. Au kuandika kitabu ukirudia point hizo hizo ambazo mwenzako ameziandika, na kuonekana kama kopy. Katika JF hatupotezi wakati namna hiyo, pengine hayo mnafanya katika blog za Kenya.

Na kwamaana hiyo ndio maana naandika Chanzo au muanzilishi wa post hiyo. Unajua JF sio mahala pa kubishana au kuonyesha kuwa wajua zaidi, bali hapa ni pahala pa kuelimishana au ukipenda ni shule iliyojitosheleza. Kama unashiriki kwa nia ya kubishana basi nakushauri utafute Blog nyingine.

Karibu katika mjadala endelevu na educative.
 
Steve..majibu ya Koba hapo juu yanajieleza wazi na kuonesha wengi wao ni watu wa namna gani...hivyo kuchinjana ni jadi yao!

Not surprised by these this kind of personal attack from i-diot like you who cant make any reasonable arguments ..you d better if u STFU!
 

Umenipata, well done, ujumbe umefika!

Sikiliza, ni zaidi ya post 1000 zimetumwa pale nilipoingia ulinmgoni katika thread hizi mbili za EAF. Sioni haja ya kurudia yaliyokwisha semwa. Najua waliowengi hata hawasomi yaliyokwishaandikwa na kukimbilia kurudia point hizo hizo. Ukweli ni kwamba katika post 1000, ilibidi kuwe na post 200 tu. Karibu post 800 ni marudio ya point hizo hizo, kazi kama hiyo siifanyi.

Eti unaniita mkomunist katika moja ya post zako, well kama summary yako katika -A MUST READ POST' ndio hiyo basi nakupa pole. Kwa maneno mengine unakubaliana na NJONJO kwani nafikiri hapo ndipo palipo kugeuza 180 degree. Na kufikiri kuwa yote aliyoandika Waberoye ni mision imposible.

Karibu katika chemsha Bongo na starehe, uwanja wa majadiliano uilio wazi.
 

hahahaaa... as useless as i expected, anything else you wanna tell me, guess no. I know you are also one of those struck with the EAF phobia too and i let you flow with it. We gon run the business just like we do it, whether u scared or not. No need for even trying to persuade you further that you'll benefit, you will if you want. I just realized that there ain't need to capitalize communist minds, just as you won't get anything.
Hope that heals your sobs, you just cry too bad i feel sorry for you.
 

RealDull, nilijua toka day 1 katika mjadala huu kuwa katika mind yako unachofikiri ni kwamba watanzania wanahitaji kukumbatuia Ukomunist na wanaogopa ubepari. Hapo umekosea kabisa kwani Watanzania wengi wameshaukumbatia ubepari na huwarudishi nyuma.

Kinchojadiliwa ni Ubepari utaomfaidia mwananchi, nza hapa ndipo ambapo wewe unashindwa kuelewa. Hata hivyo hatutachoka kukuelimisha, kwani kila aliyekuja JF akiwa RealDull baada ya miezi miwili anakuwa RealMind au UKIPENDA RealDeal.

Karibu darasani!!!!!!!!
 

Thanks, but it's not necessary. I suggest you take your classes to your fellas in dar-in-the-slum, they badly need your type of schooling.
 

wewe mbona wahepa bwana. ushaurizwa kutoa maoni, kweli mimi naona huna lolote ni kupayuka tu!
 
Hapana wasiungane kuwa nchi moja bali wasubiri kwanza wakomae ki-demokrasia😛ound:
 
Smatta, badala ya generalisation kwa kuwaita wabongo vilaza, ingelikuwa jambo la busara sana kwako wewe uliye mwelevu kama ungeelezea sababu zako kwa kuchanganua habari iliyowekwa hapo juu.
Hawa mungiki Abuu anawalea, walitakiwa wawe banned from the forum long time ago.
 

Sijui kama ni hatua ya kupongezana,

Pengine kwene suala la kutumika kwa ID, nadhani security level nayo inaweza ikawa imechangia kwamba ID pengine ni rahisi kufojiwa na hivo ni sahihi kukataa matumizi ya ID kuruhusu movement of people.
 
Realdeal: Hivi unaweza kuwadadavulia wana jamvi maana halisi ya 'flying toilet' please do the needful.
 

Mzee,
Kujibu hoja yako ni rahisi tu, wazungu bado wanavuna malighafi kutokana kwa nchi maskini. Na sasa pengine wapo kwene stage mbaya zaidi ya pia kudhibiti bei yake, masoko, nguvukazi na hata maendeleo ya kitaalamu. Nilishasema hii EAC ni mpango wenye picha kubwa ya kuhakikisha wanachukua dhima nzima ya kumiliki njia za uchumi. Huhitaji darubini kuona wageni wawekezaji wanavyoabudiwa pamoja na kwamba faida yake haionekani. Masoko ndio hivyo tena, wanataka tupunguze kodi au kuiondoa kwene bidhaa zinazozalishwa ndani ya EAC huku wakijua fika nani atafaidika kwa sababu wamiliki wanajulikana kuwa si wazawa.

Ushauri wangu kwa serikali ya Tz ni rahisi tu, tuanze sasa kuwa wabinafsi. Tujiangalie kama taifa kwanza na tuweke maslahi yetu mbele na tuache hii madness ya kutaka kushirikiana au kushare-share hovyohovyo, ambako at the end of the day benefits ni ndogo au sufuri. Hii ndio njia pekee ya kufikia maendeleo. Ni njia ngumu na inayohitaji originality ya fikra na sio copy & paste kama ulivosema.

We need to establish our own forces and structures of labor, training, machinery,manufacturing, energy, technology. Tuko na kila kitu cha msingi cha kufanikisha haya, tuko na maji, fossils deposit kwa ajili fuels, ardhi ya kutosha, na soko la watu zaidi ya 40ml. It is unimaginable a country with this potential eti inaagiza hadi chopsticks na furniture, juisi kutoka arabuni hadi dawa za meno. etc etc etc.inaghadhabisha sana.
 

kwa nini mna mchecheto sana wa kutaka kukimbilia kwa jirani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…