East African Federation (EAF) public Views

East African Federation (EAF) public Views

Raia EAC ruksa kuajiriwa Tanzania
Imeandikwa na Stella Nyemenohi; Tarehe: 30th June 2010 @ 23:59
Habari Leo

TANZANIA imefungua milango ya ajira mbalimbali zikiwamo za ualimu na uuguzi kwa ajili ya raia wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) chini ya Soko la Pamoja linaloanza kutekelezwa rasmi leo.

Nchi nyingine wanachama ni Uganda, Kenya, Rwanda, na Burundi ambazo pia zimeainisha ajira ambazo hazitakuwa na vikwazo kwa raia wa nchi mwanachama kuzipata katika nchi husika.

“Raia wa nchi wanachama wataruhusiwa kutafuta ajira katika maeneo yaliyofunguliwa katika nchi mwanachama yeyote na kutobaguliwa kwa misingi ya utaifa, katika masuala ya ajira na maslahi na haki nyingine za mfanyakazi,” amesema Katibu Mkuu, Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Stergomena Tax.

Ajira zilizofunguliwa na Tanzania kwenye sekta binafsi kwa nchi wanachama bila kubanwa na sheria ya kazi inayokataza kuajiri wageni kwenye maeneo ambayo watanzania wanamudu, ni pamoja na ualimu wa shule za msingi, sekondari na vyuo vikuu, maofisa ugani, wauguzi na wakunga, waongoza ndege, wahandisi wa fani mbalimbali na upimaji ramani.

Akifafanua jana maeneo ya msingi yaliyoondolewa vikwazo chini ya itifaki ya Soko la Pamoja, Tax alisema walimu wa vyuo vikuu wanaoruhusiwa kuanzia sasa kufanya kazi nchini ni wenye Shahada za Uzamivu.

Walimu wa sekondari walioruhusiwa ni wenye Shahada katika masomo ya Sayansi, Hisabati na lugha za kigeni na utekelezaji wake umepangwa kuanza mwaka 2015.

Kwa upande wa shule za msingi, kuanzia mwaka huu wanaruhusiwa walimu wa kutoka nchi wanachama wenye shahada za kwanza na wengine wanaoruhusiwa kuingia nchini kuanzia mwaka huu ni wa kilimo, ufundi stadi na utamaduni.

Ajira nyingine zilizoruhusiwa wageni kutoka nchi wanachama kuzipata na mwaka wa utekelezaji kwenye mabano ni maofisa ugani (2015), wauguzi na wakunga (2010), waongoza ndege (2012) na upimaji ramani (2015).

Kwa upande wa Kenya, miongoni mwa ajira zilizofunguliwa ni za utawala na uongozi, utaalamu katika masuala ya Sayansi, Hisabati, kompyuta, takwimu, Uhandisi na elimu maalumu.

Ajira nyingine ni kwa walimu wa shule za msingi na elimu ya juu, waongoza ndege, mawakili na maofisa wa sheria, wandishi wa habari, wafamasia, wauguzi, wasanii wa katuni, uchoraji na sanaa ya muziki.

Nchini Uganda, chini ya Soko hilo, raia wa nchi yoyote mwanachama, hana kikwazo cha kwenda kufanya kazi za uandishi wa habari, umakamu mkuu wa chuo kikuu, usanii, uanamuziki na uongozaji ndege.

Burundi imeweka wazi ajira za walimu wa vyuo vikuu, wauguzi na wakunga na wanataaluma wa Fizikia, Hisabati na Sayansi ya uhandisi kwa wageni kutoka nchi wanachama wa EAC.

Miongoni mwa ajira zilizofunguliwa Rwanda kwa ajili ya wageni ni za wataalamu wa Sayansi ya Jamii, Uhandisi, Upima ardhi, Utawala na Ualimu.

Akizungumzia uhuru wa raia wa Afrika Mashariki kuingia katika nchi yoyote ndani ya Jumuiya, Tax alisema raia atawajibika kuwa na hati halali ya kusafiria na kupita katika vituo rasmi mipakani, ambako baada ya kukamilisha taratibu za Uhamiaji, atapewa hati ya kuingia na kukaa nchini kwa miezi sita.

Hata hivyo habari kutoka Rwanda zilisema nchi zote za EAC isipokuwa Tanzania, zimeruhusu matumizi ya vitambulisho vya kitaifa kama hati halali za kusafiria. Tanzania iko katika maandalizi ya kuchapisha vitambulisho hivyo.

Kwa upande wa matumizi ya ardhi na majengo, Ibara ya 15 ya Itifaki, inasema suala hilo litasimamiwa ndani ya nchi mwanachama na sheria za nchi husika.

“Hili la ardhi ni miongoni mwa masuala yaliyoibua hisia, watu wakadhani wageni wangekuja kuchukua ardhi. Lakini tumelinda maslahi ya Tanzania, wakija wageni watawezeshwa kupata maeneo ya biashara ila wataongozwa na sheria zetu za uwekezaji na ardhi,” alisema Tax.

Majadiliano ya Itifaki ya kuanzisha Soko la Pamoja yalikamilika Oktoba mwaka jana na kufuatiwa na marais wa nchi wanachama, kuisaini Novemba 20 mwaka jana mjini Arusha.
 
..Tanzania haijaruhusu free movement of labour, na free access to land and settlement. in my opinion those two issues should be off the table. Tanzania should not compromise on that.

..pamoja na hayo serikali ya Tanzania has specified that professionals[ science teachers,...] frm EAC partners are welcome to come and work in our country.

..wa-Tanzania hawaogopi ushindani na hatupingi ushirikiano, lakini tunachokataa ni wezi, vibaka, majambazi, wafanya biashara haramu, wenye ukabila, na watu wasiokuwa na faida kwa nchi hii kujazana huku kwetu kutumia upenyo wa EAC.

NB:

..majuzi Tanzania imetoa uraia kwa wakimbizi wa Kirundi na Kisomali, but that was on our own terms. kwa hiyo, Wakenya na Wanyarwanda wanaotaka kuhamia huku Tanzania should be willing to do so on our terms.

Nakubaliana na wewe hapo mkuu!

TZ imekuwa mstari wa mbele kuwapatia uraia wageni wengi kutoka nchi zinazotuzunguka (kmf. Warundi wengi tu, Wanyarwanda, Wasomali, n.k). TZ pia tumekuwa na hata viongozi serikalini ambao ni raia wa kigeni.(kmf. tumeshakuwa na naibu gavana wa benki kuu ambaye alikuwa ni mgeni toka Rwanda!).

Kama ni Wakenya mbona wako TZ toka siku nyingi tuu! na tatizo lao la ardhi tunalijua toka siku nyingi tuu!. Tatizo ninaloliona hapa asilimia kubwa ya watoa hoja hawaifahamu vizuri historia baina ya nchi hizi mbili; hivi mnakumbuka/fahamu kuwa miaka ya sabini Mzee JK alimwomba Mwalimu JK kuwaleta raia wa Kenya wengi tu ili kupunguza tatizo la ardhi?. Mwalimu alikubali na ilikuwa jamaa wapelekwe maeneo ya Mpanda mkoani Rukwa, kilichotokea ni kwamba kuna mtu aliwashtua jamaa kuwa kule Mpanda kuna ugonjwa wa tick ikabidi wagome kwenda ila kuna waliotangulia sasa hivi ni raia waTZ!!!:twitch: zaidi maeneo hayo ndio pia tuliwahifadhi wakimbizi toka Burundi na Rwanda kwa miaka mingi tu bila ya matatizo!

Hofu kubwa kwa watanzania sio ushindani bali ni hisia zilizojengeka kuanzia miaka ya mwishoni 70 baada yakuvunjika jumuiya ya kwanza ya EA na hali mbaya za kisiasa kwa majirani zetu haswa baada ya maujai ya kimbari ya Rwanda na hali ya kisiasa isiyotabirika ya huko Kenya.

Kumbukeni pia upinzani mnaoupata hapa JF kkt suala hili ndio huo huo mtakaoupata kwa maofisa wa serikalini (wengine ni member na wachangiaji hapa!), kwa hiyo hili suala sio rahisi kama wengi humu wanavyodhania i.e., sheria imepita basi nitaondoka leo na kwenda bongo na kuanza kazi maramoja..etc..

Kwa wale wenye moyo wa kwenda bongo kufanya kazi msikate tamaa mnakaribishwa tu, ila msisahau kujiuliza kwani hii EAC yenyewe imeshaleta kazi mpya kiasi gani???. Kwa wale wenye ndoto za kutaka kumiliki ardhi wasahu, kwa wale wanaotaka kufanya biashara za kweli watafurahi na kwa wale wabangaizaji (wapiga ngeta) ndio kabisa wasijaribu maana hisia iliyojengeka juu ya wahalifu toka nchi za jirani itachukua mda kuondoka.
 
Bantugbro,

..tatizo ninaloliona ni kama vile viongozi wetu na haswa wanasiasa wamenawa mikono, and they tend to think that their work is done.

..kusema tu kwamba tunaruhusu waalimu, madaktari etc haisaidii. the goverment needs to put in place conditions were it will be more attractive for Kenyan science teachers, doctors, nurses, etc to work in Tanzania than any EA country.
 
Nadhani hapa watu wapo delusional zaidi na kutengeneza theoretical scenarios rather than practicality ya kitu chenyewe. Tz hatuna utamaduni wa udhibiti. Hivo hiyo ya kusema wanaruhusu tu walimu etc, its technically kusema wanaruhusu every Tom & Dick kuja Tz kwa kisingizio cha ajira. Kwa kifupi hiyo ni blank cheque. Kama wachina walienda kule Mbeya wakaanza kuchimba dhahabu or whatever it was, bila maelezo, kibali au chochote kile, utaeza vipi kudhibiti movement ya watu wasio na fixed address wenye ngozi nyeusi kama wewe na mimi? Tusidanganyane hapa, hii imeanza kula kwetu kuanzia leo.

Shamba la bibi at best.
 
Bantugbro,

..tatizo ninaloliona ni kama vile viongozi wetu na haswa wanasiasa wamenawa mikono, and they tend to think that their work is done.

..kusema tu kwamba tunaruhusu waalimu, madaktari etc haisaidii. the goverment needs to put in place conditions were it will be more attractive for Kenyan science teachers, doctors, nurses, etc to work in Tanzania than any EA country.

Iwapo hata hawa walimu waliopo kila siku wanagoma! je hao wageni wataweza kweli kwa mshahara wa bongo? ama wao watakuwa na special rates!!:twitch:

Joka, nimesoma posti yako moja kule JLS umezungumzia suala la kuwekeza kwenye miundo mbinu ili tuwe more competitive than our neighbors. Ni kweli bila ya kuweka mazingira mazuri wale best professionals hawataaacha kazi zao huko waliko eti waje bongo, sana sana tutaambulia wabangaizaji ambao hata huko kwao hawawezi kupata ajira!!!! na matokeo yake watakwenda bongo wakiwa na matarajio makubwa watashindwa kupata kazi kutokana na ushindani na mwishowe wataishia kufanya uhalifu..(si unajua tena ni aibu kwenda bongo na kushindwa kupata kazi ya maana!).

Kwakweli tukiwa mikakati na mazingira mazuri tutanufaika sana na wataalam toka nchi za jirani mda wa marekebisho bado upo kazi ndio kwanza imeanza...
 
Bantugbro,

..tatizo ninaloliona ni kama vile viongozi wetu na haswa wanasiasa wamenawa mikono, and they tend to think that their work is done.

..kusema tu kwamba tunaruhusu waalimu, madaktari etc haisaidii. the goverment needs to put in place conditions were it will be more attractive for Kenyan science teachers, doctors, nurses, etc to work in Tanzania than any EA country.

Mkuu hivi unajua kilichotokea UDOM walipotangaza nafasi za kazi ya kufundisha?? DO we really need these people in our manpower market? Labda marubani, lakini ndege zenyewe za kurusha ziko wapi?lol
 
I repeat again and again, there are no Kenyan companies in Tanzania but Western companies that are incorporated in Kenya that are now either diversifying or divest in Kenya and invest in Tanzania so the Lame Kibaki should corrrect his statements NO KENYAN OWNED COMPANIES that invested in Tanzania, keep dreaming to be second investor in Tanzania!

Keep fantasizing!


there are 270 KENYAN companies in tanzania. that is a FACT recognised by experts. wewe ni expert wa nini???
 
Nadhani hapa watu wapo delusional zaidi na kutengeneza theoretical scenarios rather than practicality ya kitu chenyewe. Tz hatuna utamaduni wa udhibiti. Hivo hiyo ya kusema wanaruhusu tu walimu etc, its technically kusema wanaruhusu every Tom & Dick kuja Tz kwa kisingizio cha ajira. Kwa kifupi hiyo ni blank cheque. Kama wachina walienda kule Mbeya wakaanza kuchimba dhahabu or whatever it was, bila maelezo, kibali au chochote kile, utaeza vipi kudhibiti movement ya watu wasio na fixed address wenye ngozi nyeusi kama wewe na mimi? Tusidanganyane hapa, hii imeanza kula kwetu kuanzia leo.

Shamba la bibi at best.

Naunga mkono yote uliyoyaandika. Kwa ufuatiliaji finyu au usiokuwepo ndani ya nchi yetu hii ni kuhusu ajira kwa kila mrundi, mkenya, mganda, na mnyarwanda na hatari sana kwa ajira za Watanzania. Nani atakuwa anahakikisha hivyo vyeti vyao vya kielimu ni vyeti halali?
 
Naunga mkono yote uliyaandika. Kwa ufuatiliaji finyu au usiokuwepo ndani ya nchi yetu hii ni kuhusu ajira kwa kila mrundi, mkenya, mganda, na mnyarwanda na hatari sana kwa ajira za Watanzania. Nani atakuwa anahakikisha hivyo vyeti vyao vya kielimu ni vyeti halali?
Kwanza nadhani tunafanana kimfumo na elimu ya Uganda (sina hakika kuhusu Burundi na Rwanda).

Kujitwisha mizigo hii ya ajira mie sioni sababu yake kwa kweli..sisi tunaongozwa na watu wenye akili finyu sana. Kenya wanashangilia hili kwa sababu kwao unemployment inakwenda kwenye 40% na investments nyingi hivi sasa zinailenga Tz kwa maana huku kuna potential zaidi, ila based on our stupidity we can't see what is coming.
 
Kibaki urges EAC states to waive permit fees

launch.jpg

President Kibaki addresses guests during a dinner hosted by the East African Community Ministry at KICC June 30 2010 after the launch of the East African Common Market Protocol. He urged EAC member states to emulate Kenya and waive work permit fees for the region's citizens.
By LUCAS BARASA
Posted Thursday, July 1 2010 at 12:41



President Kibaki has urged East African Community member states to emulate Kenya and waive work permit fees for the region's citizens.

On Wednesday, the President waived work permit fees for all East Africans coming to Kenya.

Speaking at a dinner organised to mark the start of the Common Market, the President said: "I will do it (waive work permits fees) and our partners should also do the same."

"There's no need for anybody to be charged anything for working in their own home. We want Kenya to be the freest of all," President Kibaki told participants at the launch whose theme was One People ,One Destiny.

The Head of State also ordered Attorney General Amos Wako to harmonise laws that were in conflict with other EAC states for smooth implementation of the protocol.

He also cut a 10-kg orange cake to welcome the birth of the long awaited single market that would result to free movement of people, trade, capital, labour and services in the 126 million populous region.

Happy Birthday tunes

A police band played Happy Birthday tunes to also welcome the historic event.

President Kibaki said that the protocol will enable Kenyans access greater employment opportunities and "capital mobilisation to boost investments.

Regretting that many Kenyans were unaware of benefits of integration, the Head of State urged leaders to create more awareness of the what its means.

President Kibaki expressed optimism hat those charged with the realisation of the process will facilitate it so that Kenyans can reap its benefits.


"It is my expectation that public servants charged with executing the Common Market especially those responsible for immigration, labour, customs and education, will facilitate the process rather than adopt a control attitude."

Civil servants should further play greater role in EAC integration, he instructed.

The expanded market, he added, will increase opportunities for trade in goods and services.

Original idea

Terming the launch as bold move, President Kibaki further saluted the country's forefathers for establishing EAC.

"Today we celebrate the expansion of the original idea of the community. This is a great region with vast potential for business and social networking for our people," he said.

He said the revival of EAC had led to increased trade among partner states.

According to the Uganda Investment Authority, Kenya is among the top 10 sources of foreign direct investment to Uganda with 27 licensed investment projects worth US $158 million, the President said.

In Tanzania, Kenya is the second biggest investor with 270 companies operating there providing jobs for more than 100,000 people.

Daily Nation: - News |Kibaki urges EAC states to waive permit fees
 
Kwanza nadhani tunafanana kimfumo na elimu ya Uganda (sina hakika kuhusu Burundi na Rwanda).

Kujitwisha mizigo hii ya ajira mie sioni sababu yake kwa kweli..sisi tunaongozwa na watu wenye akili finyu sana. Kenya wanashangilia hili kwa sababu kwao unemployment inakwenda kwenye 40% na investments nyingi hivi sasa zinailenga Tz kwa maana huku kuna potential zaidi, ila based on our stupidity we can't see what is coming.

Hivi humu ndani kuna mtu mwenye hiyo protocol aibandike jamvini ili wote tuisome..
 
Abdulhalim,

..najua walikuja wajanja-wajanja wakajaribu kuingia pale UDOM. labda nilichokosea ni kutosisitiza suala la UDHIBITI na UHAKIKI. tunahitaji kuwa more serious in those areas.

..vilevile suala la trade imbalance in industrial products btn Tz and Kenya need to be addressed.

..najua kwa hali ilivyo sasa hivi hii kitu imeshakula kwetu. sasa suala ni kuiandama serikali itekeleze wajibu wake na kuhakikisha kwamba wa-Tanzania wanafaidika. it will be tough, but we can not run away frm the fight.

Bantugbro,

..I like the questions you have raised. maadamu serikali imesema inakaribisha waalimu, na wataalam, toka kwa majirani zetu, basi tunapaswa kuwauliza how are they going to pay them.

..vilevile kwasababu kuna shortage ya waalimu hapa nyumbani, basi tunapaswa kuihimiza serikali yetu kuhakikisha kwamba inaweka mazingira mazuri zaidi kwa waalimu na wataalamu wengine wazalendo.

..wa-Tanzania tungekuwa makini zaidi ktk kufuatilia ahadi tamu-tamu tunazopewa na viongozi wetu tungekuwa mbali sana.
 
It is emerging that suspiciously large numbers of Kenyans with faked degrees have been applying for university jobs in Tanzania.

Intelligence officials in Nairobi and Dar es Salaam have started investigations into what they suspect is an organised regional racket targeting Tanzanian universities to take advantage of the shortage of lecturers at the country's institutions of higher learning.

The tip-off came when the prestigious University of Dodoma discovered that no less than 200 Kenyans who had applied for jobs as lecturers and professors had faked degrees; upon being confronted at interviews conducted in Nairobi, they admitted to fabricating the certificates.

Unable to take any direct action in a foreign country, the university had a quiet word with Tanzanian authorities, leading to the launch of an investigation by security organs from the two countries involving police, intelligence officials and eminent academics - whom the Tanzania government declined to name - who will co-operate to trace the 200, who have since disappeared into thin air.

A senior intelligence official told The EastAfrican last week that the investigation is a confidential process designed to fully gather all the facts related to the case.

"It will be done very carefully and very thoroughly between the two countries and it will take a bit of time," said the official, adding that the faked certificates would be made available to Kenyan authorities to enable them to track down the fraudulent applicants as well as the suppliers of the false qualifications.

The saga started late last year when the University of Dodoma- the largest in the country, with more than 5,000 students - advertised vacancies for teaching staff and invited both local and foreign candidates to apply.

The university has been on a drive to employ more staff to meet the demand arising from its plan to enrol more than 40,000 students once its expansion programme is completed in the near future.

Prof Idriss Kikula, Vice-Chancellor of the University of Dodoma, told The EastAfrican that the university invited both locals and foreigners to apply for different positions at the university and received a lot of applications from neighbouring Kenya.

Prof Kikula said that when university officials travelled to conduct interviews in Kenya, it was discovered that more than 200 people who had applied for positions that required them to have a professorship with a record of academic publications, presented fake certificates.

According to Prof Kikula, some of the candidates had credentials from Ireland when they had never been to that country, while others had professorships obtained in as short a period as six months.

"Most of the 200 failed to meet even the minimum publications needed for them to teach at the University," he said, adding that they had banked on the notion that the university would accept them without undertaking a thorough verification exercise, since most schools, colleges and other institutes of higher learning in Tanzania are clamouring for personnel from Kenya.

"As you will recall, for 10 years, the Tanzania government froze employment of lecturers, compounding the problem," said Prof Kikula.

Our sources said the bogus degree problem at Dodoma is likely to be widespread, mainly because the government has no uniform procedures to check whether employees' alma maters are "diploma mills" that require little, if any, academic work.

The Deputy Vice Chancellor (Academics), Prof Makenya Maboko said there were more staff at the university discovered to have gained entry unlawfully by using forged documents.

The discovery comes some two months after the University of Dar es Salaam withdrew a degree it had conferred 20 years ago on one of its own staff after discovering that he had forged the certificates that got him into the university in the first place.

The University is now undertaking a verification exercise on documents tendered by newly recruited general staff, including drivers, some of whom are suspected to have forged credentials to work at Dodoma.

The proliferation of institutions with questionable reputation offering higher education is contributing to the problems facing genuine universities and other institutions of learning, he said.

Most Tanzania universities are running short of teaching staff, as there is no succession process to replace ageing lecturers, prompting many former academics who had gone on to become politicians and Members of Parliament to make a U-turn and return to academia.

One of the most prominent of these is the former Zanzibar chief minister, Dr Ghalib Bilal, a nuclear physicist. Another politician who has returned to teaching is former deputy finance minister Dr Festus Limbu, an economist.

The university is also in the process of creating a programme for short courses in conjunction with UNDP and the Tanzania Public Service Commission.

The University of Dodoma is now scouting for lecturers and other senior staff from Cuba, Russia and India as a short-term measure.

Dr Clinton Galabawa from the University of Dar es Salaam told The East African there was a system failure somewhere that needed to be addressed. Dr Galabawa said that tougher measures need to be taken immediately such things happen "or people will start thinking that if so-and-so did it and got away with it, then I can also do it."

The University of Dodoma is designed to train and produce human capital in the major professions for economic development.

Its strengths will be mainly in information and communication technology and science-based programmes funded by the Bill Gate Foundation that will offer training in specialised areas such as molecular biology, genomics, nuclear sciences, medicine and engineering.

The Chancellor of the University is the former president of Tanzania, Benjamin Mkapa


http://www.theeastafrican.co.ke/news...z/-/index.html
 
Realy i have flambagast how comes we dare to do so in my opinion us tanzania we are not ready to join thbecause first all those nation they have more of tribalism so when we dare to go in the country they will apply there tribalism to us tanzanian
 
We should be proud of this East Africans

<a href="http://allafrica.com/stories/201007010085.html"http://allafrica.com/stories/201007010085.html</a>
 
OMG you are such a douche bag ? Thats the dumbest comment ive ever read, think ive lost some brain cells trying to decipher that crap you've posted, its obvious you are not the brightest bulb in the chandelier, but you should know better than try and use that divide and conquer statement on us, we are all Kenyans you tard, and if you have problems with us say it, dont bring that crap of some of them are good but this tribe is bad,thinking you sound intelligent and might get support from some of us, take that crap somewhere else you tool.
at times we might fight against each other, but we'll burn this b*tch down if you get us pissed-
tupac shakur

Kisaikolojia ukitaka kujua jinsi ulivyomgusa mtu katika point au vile alivyo, basi angalia reaction yake.

Sasa nilikuwa nikiwatoeni wasi wasi Watanzania huku nikijua udhaifu wa hawa jamaa. Someni vizuri ile hoja yangu ndio utawaelewa kwa kiasi fulani hawa jirani zetu. Hawana lolote ila kinga waliopewa na Serikali ya Kenya.

Mlishawahi kusikia neno MUNGIKI! bASI FANYENI UTAFITI ZAIDI NA MUELEWE JINSI KIKUNDI HICHO KILIVYOPEWA KINGA NA SERIKALI JAPO YA KUTIMIZA MAUJI KADHAA KWA NIABA YA WAKIKUYU.

Sasa ujumbe kwa SMATTA au Smart ni mfupi: KARIBU TANZANIA UKIACHA UKIKUYU KENYA. KARIBU KAMA MKENYA.

Hapa upendeleo hamtapata, na mkitaka kuiendeleza nchi yenu kwa umoja toeni kinga za ukikuyu.. NIMEMALIZA, UKITAKA KUJIUA JIUE, UKITAKA KUJINYONGA JINYONGE lakini Tanzania au take it or leave it!
 
'Do not sell land to foreigners'

By Daily News Reporter in Dodoma, 1st July 2010 @ 12:05,

PRIME Minister Mr Mizengo Pinda has urged Tanzanians not to feel threatened by the Common Market in the East African Community (EAC) which took off on Thursday. He said that national interests would be safeguarded firmly.

The premier said during a weekly impromptu question and answer session with MPs that agreements reached and identification of areas of cooperation by the five EAC member states considered the laws of respective countries.

He was answering Mr Khalifa Suleiman Khalifa (Gando - CUF) who was worried that the common market might see people selling their land haphazardly to foreigners.

Mr Pinda said that it was true that the Common Market opened doors in many areas but a number of issues including land would be governed by the country's laws. He said that according to law it was illegal to sell land to foreigners without following procedures.

''There are also conditions that govern the sale of land to foreigners. This land should be aimed for investment purposes,'' said Mr Pinda warning that any illegal sales would be revoked.

The premier also said that the employment window would not be opened at random and that locals would be given priority in most job opportunities that come up.

Answering a supplementary question from Mr Khalifa, Mr Pinda called on employers to ensure they utilised Tanzanian labour force before looking for staff from other EAC countries.

''We have a lot of experts here who should be given priority in any recruitment. We should look for foreigners only where it is absolutely necessary...where there is no Tanzanian with the required knowledge and skill,'' he said.

He was answering the legislator who said in a supplementary question that the Common Market might be used by employers to harass local jobseekers and employees.
 
Hivi kama kuna Mtanzania anauza shamba lake au nyumba yake. Katika wanunuzi tuseme watatu walionyesha interest ya kutaka kununua shamba hilo au nyumba hiyo aliyetayari kutoa bei ya juu zaidi ni Mkenya. Je, kuna utaratibu wowote katika vyombo husika kuhakikisha nyumba au shamba hilo havinunuliwi na Mkenya? Mbona kuna wageni wengi tu ambao si Watanzania na wana nyumba na mashamba nchini hawa huwa wanaomba kibali maalum cha kumiliki mali hizo au ndiyo wanatumia udhibiti mbovu uliopo nchini katika sheria zetu? Tukumbuke ya wale wa China walioingia hadi kule Chunya na kuanza kuvuna dhahabu yetu bila kulipa kodi kwa mamlaka yoyote husika.

Wachina wajizolea dhahabu ya Chunya watakavyo
 
By ZEPHANIA UBWANI in Arusha
Posted Thursday, July 1 2010 at 22:30

Tanzanians must shape up to benefit from the fruits of the common market, analysts say. The southern neighbours have been most unenthusiastic about regional integration.

During negotiations for the agreement, for instance, East Africa’s second largest economy fought hard to ensure that land was omitted from the protocol. This was due to fears that landless people in partner States would invade Tanzania and grab its land.

During negotiations

Indeed, during the 18 months of negotiations, the matter boiled to a point where Dar’s commitment to regional integration was questioned by partner States as the talks rotated from one capital to another. With the land issue finally settled, Tanzania came on board paving the way for the signing of the document by the five heads of State in Arusha last November.

But Tanzanians’ fear of regional unity is fuelled by more than just the land factor. The main concern of the people of Tanzania, arguably the richest in land and natural resources, is the fear that they will lose out to more qualified workers, including professionals, from sister countries especially Kenya and more enterprising traders from her neighbours.

This fear has been fuelled by a campaign by leaders and politicians, often fanned by a section of the media to the extent of causing some xenophobia-like situations against entrepreneurs from outside the country. Given the circumstances on the ground, analysts have been quick to point out that for some Tanzanians the Common Market may have come at a time they are least prepared for it.

But Mr Isidore Shirima, the regional commissioner for Arusha, an area with a big share of professionals and traders from the EAC sister states, says Tanzanians must be ready for competition or they will lose out. He says it is true that Kenyans and nationals from other EAC States have secured lucrative jobs and set up thriving businesses in Arusha, which also serves as the Community headquarters.

Under-the-table

However, he adds that such jobs or businesses did not go to non-Tanzanians through “under-the-table” deals. Those who got them had the required skills. Instead of Tanzanians complaining of being outsmarted by Kenyans, he argues, they should work hard and exploit the vast natural resources the country is endowed with.

He said it was unfortunate that Tanzanians, especially in the northern regions bordering Kenya, continued to attribute their economic woes to Kenyans. These include the tourism and hotel sectors, whose hub is Arusha. The operations of most hotels and lodges in the area have been in the hands of Kenyans for years — from managers to chefs.

Ms Jacquiline Mkindi, the executive director of the Tanzania Horticultural Association (Taha) insists that Tanzanians must grasp the necessary business skills to enable them compete effectively with their neighbours. She feels that compared to their counterparts in, say Kenya or Rwanda, the private sector people in Tanzania have not been aggressive enough.

Due to this, there was a likelihood of Tanzania or rather its business people being outsmarted by Kenyans, Rwandans and Ugandans in trade and business deals, she added. The Taha boss’ fears have been attributed to a number of factors, chief among them little exposure of Tanzanian entrepreneurs to the outside world in the past.

And this is not by coincidence. For many years before the economic liberalisation that saw the country embracing market economy, many Tanzanians were dependent on government support for their day to day undertakings. This dependency syndrome is still evident in most parts of the country.

Tanzanians changed

“It is now high time Tanzanians changed their mindsets and stopped thinking the government can do everything for them,” she said when addressing a gathering of youth leaders in Arusha. Ms Mkindi said at times Tanzanian produced goods could not compete with those of other countries for failure to comply with the set international standards.

However, she noted that not all woes facing the country’s private sector could be blamed on the business people. The government was also to blame. These include lack of credit facilities. For many years, the business community has pressed for the setting up land and agricultural banks to extend credit to the sector.

A leading advocate, Ms Joaquine de Mello, who recently served as the president of Tanganyika Law Society (TLS), shared the same view. “It is too late for Tanzanians to start arguing about the benefits and dangers of EA integration now that the deal has been ratified by all countries,” she told reporters in Arusha recently.

She urged Tanzanians to stop such worries because they were operating in an increasingly competitive and globalised world. Dr Flora Musonda, EAC director of trade, implored Tanzanian professionals and entrepreneurs to wake up and compete for jobs or markets available in the five partner states.

She said under the EAC Common Market, there would be freedom of labour, goods, services, capital and right of establishment within the region, among other things. With the Common Market setting in, Tanzanians should not only expect people from neighbouring countries to come and set up business and acquire jobs in their country, “you should also venture out into those countries to seek business opportunities or jobs. You should also take advantage of self-employment,” she argued.

However, Dr Musonda, a Tanzanian, cautioned that for the opportunities to be real, Tanzanians needed to acquire appropriate skills, expertise and education. Mr Claud Gwandu, a veteran journalist based in Arusha, cautioned that media practitioners would not be spared by stiff competition expected once the free labour movement commences in the region.




Link hapa
 
Watu wamekazana sana kuwaaambia waTZ wacompete kwene ajira sijui biashara, what they fail to understand is, kwani wenyewe sisi kwa sisi tulikuwa hatu-compete?? Hizi dhana nyingine ni za kijinga sana aisee..
 
Back
Top Bottom