Mekatilili
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 1,613
- 1,383
mkuu hao kwenye underline/red and bold umeelewa unachomaanisha au mimi ndiye sijaelewa!???
Size of middle class in total population in EAST AFRICA /2010
Kenya - 44.9%
Uganda - 18.7%
Tanzania - 12.1%
Rwanda - 7.7%
Burundi - 5.3%
Proportion of people living under $1.25 per day in East Africa in 2010
Tanzania - 82.4%
Burundi - 81.32%
Rwanda - 74.43%
Uganda - 51.53%
Kenya - 19.72%
Hapo kwenye red si kweli aheri masikini wa Tanzania kuliko wa Kenya,na Kenya watu wa chini ambao ndio wengi ni maskini zaidi kuliko wa Tanzania,hata ukiangalia ajira zaidi ipo Nairobi na Naivasha kwenye mashamba ya mauwa zaidi ya hapo hakuna kitu,na hawana njia zaidi za kuwapatia kipato
Naamini tunao Watanzania wenye uwezo wa kuongoza nchii hii na kuongeza hii 12.1% ya middle class na kufikia angalau 30%, tuache kungangania watu wanaoleta umasikini badala ya usitawi wa jamii yetu.
tuwapuuze wa-Kenya na 'kujitutumuwa' kwao kwani hawajui lolote juu ya maana ya 'middle -class status kama wajomba zao wa-Uingereza
Size of middle class in total population in EAST AFRICA /2010
Kenya - 44.9%
Uganda - 18.7%
Tanzania - 12.1%
Rwanda - 7.7%
Burundi - 5.3%
Proportion of people living under $1.25 per day in East Africa in 2010
Tanzania - 82.4%
Burundi - 81.32%
Rwanda - 74.43%
Uganda - 51.53%
Kenya - 19.72%
Hapo kwenye red si kweli aheri masikini wa Tanzania kuliko wa Kenya,na Kenya watu wa chini ambao ndio wengi ni maskini zaidi kuliko wa Tanzania,hata ukiangalia ajira zaidi ipo Nairobi na Naivasha kwenye mashamba ya mauwa zaidi ya hapo hakuna kitu,na hawana njia zaidi za kuwapatia kipato
Umeulizwa kama unaijua Kenya weye au unasikia redioni na TV tu!
Hizo takwimu zinahusu sana na zinaelezea mengi katka uchumi.
Tanzania tuna hali ngumu sana kimaisha.
Jiulize kwanini hakuna franchise inadumu Tanzania. Kuanzia akina Chick-king, Steers, na sasa haya maduka ya Truworth, 4u2 etc. Yote yanategemea middle class.Ukiangalia Kenya, kila kukicha ni ma malls ya kufa mtu yanajengwa. Kuanzia yale ya zamani kama Sarit Centre, Ya ya Centre, Village Market hadi sasa kubwa lao Wesgate.Hapo hujazungumzia ma supermarket makubwa kama Uchumi, Nakumatt etc.Tanzania kuna vidukawalla vya wahindi na wapemba na wachagga,wasafwa etc, supermarket zinaanzishwa na kufa kila siku. Mnakumbuka Shoprite along Nyerere Rd? Ya Mayfair ishajifia siku nyingi. Kwa kifupi middle class ndio roho ya kukua na ku survive haya ma franchise na maduka makubwa.Maskini anapitapita kufaidi aircondition humo ndani na kushangashangaa tu.
HAYA, habari ndio hii kutoka kwa African Development Bank...
Size of middle class in total population in EAST AFRICA /2010
Kenya - 44.9%
Uganda - 18.7%
Tanzania - 12.1%
Rwanda - 7.7%
Burundi - 5.3%
Proportion of people living under $1.25 per day in East Africa in 2010
Tanzania - 82.4%
Burundi - 81.32%
Rwanda - 74.43%
Uganda - 51.53%
Kenya - 19.72%
Graphs na links hizi hapa,
http://www.afdb.org/fileadmin/upload...%20Pyramid.pdf
View attachment 47560View attachment 47561
Tz hakuna accurate
data
hizi data si zenyewe
Pia wewe hujui maana ya dhana 'middle- class' ktk global village view , yaani watu wanao kwenda kununua posho ya sembe, nguo , mobile phone , urembo n.k ktk ma-shopping mall ndio middle class?
Mtu Afrika akitengeneza $2 - $20 kwa siku tunamwita middle- class ''The ADBG notes that the middle class in Africa – those who make $2 to $20 per day - represents about 34% of the overall population, or about 313 million people. This compares with around 196 million middle class individuals a decade ago'' Money Watch Africa: Wall Street Journal Highlights Africa's Growing Middle Class.
Hiki ni kitu cha kujisikitikia na siyo kujisifia hata kidogo juu ya uwepo wa 'middle -class ' Afrika na ndiyo maana makampuni makubwa ya kimataifa yanatunyonya sana kwa kusifia kumlipa mtu kuanzia $2 mpaka $ 20 kwa siku Afrika.
HAYA, habari ndio hii kutoka kwa African Development Bank...
Size of middle class in total population in EAST AFRICA /2010
Kenya - 44.9%
Uganda - 18.7%
Tanzania - 12.1%
Rwanda - 7.7%
Burundi - 5.3%
Proportion of people living under $1.25 per day in East Africa in 2010
Tanzania - 82.4%
Burundi - 81.32%
Rwanda - 74.43%
Uganda - 51.53%
Kenya - 19.72%
Graphs na links hizi hapa,
http://www.afdb.org/fileadmin/upload...%20Pyramid.pdf
View attachment 47560View attachment 47561
2.1 The middle class can be defined in
relative or absolute terms. In relative terms,
the middle class is defined as individuals or
households that fall between the 20th and
80th percentile of the consumption
distribution or between 0.75 and 1.25 times
median per capita income, respectively
2
.
Using the absolute approach, the middle
class is usually defined as individuals with
annual income exceeding $3,900 in
purchasing power parity (PPP) terms
3
or with
daily per capita expenditure between $2 to $4
and those with daily per capita expenditures
between $6 and $10
4
.
2.2 The middle class is widely
acknowledged to be Africa's future, the group
that is crucial to the continent's economic and
political development. But it is difficult to define
exactly who falls into this key group and even
harder still to establish how many middle class
people there are in Africa. Recent estimates
put the size of the middle class in the region in
the neighborhood of 300 to 500 million
people, representing the population that is
between Africa's vast poor and the continent's
few elite. Africa's emerging middle class
comprises roughly the size of the middle class
in India or China.
We can choose to call them whatever we want but that does not take aware from the fact that 19.72% of Kenyans live on less than $1.25 per day and these people make up the most impoverished segment of our society without the access to most basic amenities the figure is worse in the rest of the other East African countries.
On the other hand, the upward mobility has realized the upswing in the numbers living on over $1.25 a day. These are the FACTS we can argue semantics but can not deny the FACTS! There are many that will seek to discredit the reports but the sooner we accept the reality the better and we can learn from this and make our countries much better.