wacheni nimtetee mleta mada kidogo...pia, hii ndio sababu yangu ya kusema kuwa viongozi wa Afrika ni pumbavuu wote...
1.
Teodoro Obiang Nguema Mbasogo (rais wa equatorial Guinea)
Rais huyu ametawala nchi hiyo toka 1979.
mwana wake Teodorin anaendesha magari ya kifahari na ni mmiliki wa yacht. tazama gari na mali anazomiliki huyu jamaa hapa chini...Igunduliwe kuwa 70% ya wananchi wa EG ni maskini...kichekesho kikubwa ni kuwa mwana wa rais ndiye makamu wake pia.
2.Robert Mugabe (rais wa Zimbabwe)
Huyu jamaa sidhani kama kuna mtu asiyemjua. Ndiye rais mzee kabisa duniani na ametawala nchi yake toka 1987. watoto wake wamezoea kutumia pesa za nchi vibaya mpaka hawakubaliwi kule Zimbabwe. Instead wanaishi maisha ya kifahari Sandton South Africa. magari wanazo miliki watoto wa Mugabe ni Rolls Royce, Mercedes S class n.k..Wazimbabwe wengi wanaishi ktk maisha ya umaskini.
3.Kagame (rais wa Rwanda)
4. Museveni
5. Kabila
6. Bashir
7. Kiir
kwa mtazamo wangu, naona hata afadhali Rais Magu...jamaa anajaribu kuipigania nchi yake dhidi ya ufisadi na umaskini...tukija Kenya, Odinga na Kenyatta wanafanya mambo kana kwamba nchi ni yao..watu wanakufa, biashara zinapoteza pesa eti kwa sababu ya hawa jamaa. African presidents are all idiots with the exception of a few..