East African Presidents turning states into Political chaos!

Let me start by saying this; Shame on African Presidents trying to make their states which belongs to Wananchi as their family homes. Look at M-7(Uganda), look at Uhuru Kenyata(Kenya); look at John Pombe Magufuli(Tanzania); look at Kagame(Rwanda) and look at Kurunzinza(Burundi). All of them are now planning to remain in Power for the rest of their lives.
  • In Uganda, Museveni(M-7) is now doing all means possible to change Uganda Constitution to extent the Age Limit to above 75 years of age.(Now at 35-75 years)
  • In Rwanda, Kagame have already changed the Constitution to extent the terms from 2 consecutive terms of 7 years to unlimited terms!!! He is now harassing opposition Madame Diane Rwigara and Family simply because she tried to run against Kagame in the last General Election this 2017. Kagame won with 99 percent of the votes. Having essentially run the country since he returned from exile after the 1994 Rwanda genocide, he could now, under the current Constitution, potentially remain in power until 2034!.
  • In Kenya, Uhuru Kenyatta now in a process to sign the Bill in order to amend the constitution of Kenya on election terms and conditions so that come the 26 October re-election Jubilee wins with a landslide victory as a free and fair election!!Uhuru and Ruto are just playing with the IEBC, Jubilee and The constitution of Kenya to remain in power.
  • In Tanzania, John Pombe Magufuli a.k.a Bulldozer, there's every sign through the back door,using his party MPs trying to move a motion of extending the term from 5 to 7 years or remain in Power for the next 30 years !!Reason? He is a Bulldozer, bulldozing the opposition side by shooting anybody trying to criticize his holy government!!!
  • In Burundi, the story keeps repeating! Pierre Kurunzinza have already endorsed the constitutional for him to remain in Power for 3 terms consecutively instead of 2 which was supposed to be expired in 2015.He is now in Power until 2020 and he'll continue to cling on Power may for life!!
It looks like all East African Presidents are cowards and cursed to the core by their ancestors who died many years ago and no body will come for their rescue day but only The God Almighty. God bless East Africa and her good and humble people forever. Amen.
Perfect.
 
joto la jiwe,

A lot of words to which 99.99% are self contradictions! How can someone be 15% a Dictator and 85% a good Leader? How can a President violate the Nation Constitution by 15% and call him a good President? You can't be in two places at a time..! You're either a DICTATOR or you're NOT...!!!

Magufuli aliapa kuilinda Katiba ya JMT kwa 100% na si vinginevo. Kitendo cha kuvunja Katiba hata kwa kifungu kimoja inatosha kumwondolea mbali. Usifikiri Marais wanaojiuzulu au kupigiwa kura za kutokuwa na imani nao huwa wamekiuka Katiba kwa 100%...!! Huwezi kusema unapambana na Rushwa wakti huohuo kuna Viongozi uliowateua wanatoa Rushwa kununua WAPINZANI wahamie CCM......!!!Huu ni usanii ulioptiliza. Period!
Kifupi ndugu Joto la Jiwe huna hoja. Jaribu kufikirisha ubongo wako kidogo ili nikuelewe. Vinginevo ninacho kiona na kusoma between the lines, to me you're just pro-magufuli..!!!
Hakuna hata rais mmoja hapa duniani ambaye hajawahi kukiuka kipengele hata kimoja cha katiba, hata Adam na Hawa walikiuka maagizo ya Mungu, ndiyo sababu tukaweka sheria za kumpeleka mahakamani rais pale anapokiuka katiba, kwani maada ya dikteta ni kukiuka kipengele kimoja cha katiba?, kama ni hivyo basi marais wote duniani ni madikteta, Trump kila uchao anajaribu kuzuia wageni wasiingie US kinyume na katiba, lakini anapingwa mahakamani na anashindwa, kamwe haitwi dikteta kwa sababu tu amekiuka baadhi ya vipengele

Nitajie sifa za mtu kuwa dikteta ili tuone kama Magufuli anafit au hapana, mimi ninaona kama rais anafuata katiba kea zaidi ya 75% haifai kuitwa dikteta, na kama wewe unaona yeyote anayevunja katiba hata kipengele kimoja ni dikteta, basi marais wote duniani ni dictators
 
  • Thanks
Reactions: Oii
wacheni nimtetee mleta mada kidogo...pia, hii ndio sababu yangu ya kusema kuwa viongozi wa Afrika ni pumbavuu wote...
1. Teodoro Obiang Nguema Mbasogo (rais wa equatorial Guinea)
Rais huyu ametawala nchi hiyo toka 1979.
mwana wake Teodorin anaendesha magari ya kifahari na ni mmiliki wa yacht. tazama gari na mali anazomiliki huyu jamaa hapa chini...Igunduliwe kuwa 70% ya wananchi wa EG ni maskini...kichekesho kikubwa ni kuwa mwana wa rais ndiye makamu wake pia.
6192640967_731de6b5a5_o-large.jpg
Teodorin-Obiang-ca_2612619b.jpg
Teodoro-Nguema-Obiang-Mangue-Porsha-Williams-pics.jpg
Teodorin-Obiang-Nguema-15.jpg
image.jpg
00191059:fc1ee2a1e7b1f8a2c54b9e220d659835:arc614x376:w614:us1.jpg

2.Robert Mugabe (rais wa Zimbabwe)
Huyu jamaa sidhani kama kuna mtu asiyemjua. Ndiye rais mzee kabisa duniani na ametawala nchi yake toka 1987. watoto wake wamezoea kutumia pesa za nchi vibaya mpaka hawakubaliwi kule Zimbabwe. Instead wanaishi maisha ya kifahari Sandton South Africa. magari wanazo miliki watoto wa Mugabe ni Rolls Royce, Mercedes S class n.k..Wazimbabwe wengi wanaishi ktk maisha ya umaskini.
3.Kagame (rais wa Rwanda)
4. Museveni
5. Kabila
6. Bashir
7. Kiir

kwa mtazamo wangu, naona hata afadhali Rais Magu...jamaa anajaribu kuipigania nchi yake dhidi ya ufisadi na umaskini...tukija Kenya, Odinga na Kenyatta wanafanya mambo kana kwamba nchi ni yao..watu wanakufa, biashara zinapoteza pesa eti kwa sababu ya hawa jamaa. African presidents are all idiots with the exception of a few..
Magufuli ndio hatari zaidi basi kama hujui.kwasababu kwa kipindi kifupi ameiangamiza nchi kwa kiwango kikubwa mno.ni kipindi cha magufuli mahakama zinadharauliwa.ni kipindi cha magufuli RAIA wanapigwa risasi.ni kipindi cha magufuli maiti zinaokotwa baharini.ni kipindi chake magazeti yanafungiwa.ni yeye watu hawaruhusiwi kuhoji.haikubaliki.muhim kwetu ni freedom of speech.kusema unapigania wanyonge sio ticket ya kugandamiza wengine.sio kibali cha kunyang'anya watu Mali zao wanazomiliki kihalali.huo ni upuuzi.
 
Hahahahaha[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hakuna hata rais mmoja hapa duniani ambaye hajawahi kukiuka kipengele hata kimoja cha katiba, hata Adam na Hawa walikiuka maagizo ya Mungu, ndiyo sababu tukaweka sheria za kumpeleka mahakamani rais pale anapokiuka katiba, kwani maada ya dikteta ni kukiuka kipengele kimoja cha katiba?, kama ni hivyo basi marais wote duniani ni madikteta, Trump kila uchao anajaribu kuzuia wageni wasiingie US kinyume na katiba, lakini anapingwa mahakamani na anashindwa, kamwe haitwi dikteta kwa sababu tu amekiuka baadhi ya vipengele

Nitajie sifa za mtu kuwa dikteta ili tuone kama Magufuli anafit au hapana, mimi ninaona kama rais anafuata katiba kea zaidi ya 75% haifai kuitwa dikteta, na kama wewe unaona yeyote anayevunja katiba hata kipengele kimoja ni dikteta, basi marais wote duniani ni dictators

joto la jiwe,
Inaonekana ubongo wako ni sawa na wa kidege kinaitwa kurumbizi!! Its brain is tiny and small....hivyo IQ yake ni ndogo sana. Huo uwiano wa asilimia umeuleta mwenyewe ilikuwa ni katika kukuelewesha tu. Ukweli unabaki palepale kwamba kipengele kimoja cha Katiba kinatosha kumfanya Rais awe Dictator!! Ngoja nikupeleke darasa kidogo kwa kusoma hii extraction from Wikipedia:

The term "dictator" is generally used to describe a leader who holds and/or abuses an extraordinary amount of personal power, especially the power to make laws without effective restraint by a legislative assembly[not verified in body]. Dictatorships are often characterised by some of the following traits:
  1. Suspension of elections and civil liberties.
  2. Proclamation of state of emergency.
  3. Rule by decree;
  4. Repression of political opponents without abiding by the rule of law procedures; these include one party state and cult personality.
Bila shaka baada ya maelezo haya unaweza kupata mwanga wa nini maana ya DIKTETA au utawala wa Kidikteta na tabia zake. Kumbe utakuta kwamba hata Utawala wa chama kimoja(kama CCM ilivyokuwa kabla ya 1992) ni Udikteta!!Kumbe hata kuzuia mikutano na maandamano ya Wapinzani ni udikteta, kumbe hata kufuta au kuahirisha Uchaguzi ni udikteta, kumbe hata kutunga sheria za nchi bila kupitia taratibu halali za Bunge(legislative assembly) ni udikteta!! Kumbe hata Utawala wa matamko ni udikteta au kutumia propaganda kwenye media hasa za Serikali na kuminya uhuru wa media binafsi ni UDIKTETA. Ni mtu kipofu tu anayeweza kukanusha haya kama sasa hayatokei Tanzania.....!!
 
Sikujua kwamba ninajadiliana na mtu mwenye akili ndogo kiasi hiki, na kama hutobadilika nitaachana na wewe kwa sababu unanipotezea muda wangu bure, unaelewa maana ya kusema "It is characterised" ni tofauti na "it is confirmed when..". Ngoja nikupe shule kidogo...AIDS is chatacterised by 1)Prolonged fever
2)loss of weight
3)Chronic diarrhoea
4)Chronic cough
5)skin rashes

But is only confirmed through laboratory tests

Ni mtu mjinga na mpumbavu wa kiwango cha lami kama wewe ndiye anayeweza kusema na kufikia conclusion kwamba, prolonged feve=AIDS, Loss of Weight =AIDS, Chronic diarrhoea=AIDS, Chronic cough=AIDS

Kama nilivyosema, sina mpango wa kuendelea na huu mjadala na wewe kwa sababu ninahisi level zetu za kufikiri ni tofauti sana.
 
Naona umekuwa jiwe la baridi. Ni kweli level zetu haziko sawa hata kidogo...!!!Nilijua TU utaingia mitini maana huna hoja. Kama hiyo shule ya maana ya Dikteta umeshindwa kuelewa basi wewe ni Bashite Daraja 0 ambaye upo upo tu wala hujitambui. Nilichogundua ni kuwa lugha ya malkia inakupa shida. Kutuletea mfano wa AIDS hapa ndo imeniacha hoi kabisa.....!!! Tunazungumzia Udikteta wewe unaleta mifano ya AIDS...!!Inaonyesha jinsi ulivyo mzito wa kuelewa mambo.....!!!Rubbish and non-sense!!!!

Pole sana rafiki!
 
joto la jiwe,
Naona umekuwa jiwe la baridi. Ni kweli level zetu haziko sawa hata kidogo...!!!Nilijua TU utaingia mitini maana huna hoja. Kama hiyo shule ya maana ya Dikteta umeshindwa kuelewa basi wewe ni Bashite Daraja 0 ambaye upo upo tu wala hujitambui. Nilichogundua ni kuwa lugha ya malkia inakupa shida. Kutuletea mfano wa AIDS hapa ndo imeniacha hoi kabisa.....!!! Tunazungumzia Dikteta wewe unaleta mfano wa HIV.....!!!Rubbish and non-sense!!!!
Huna akili wewe, shuleni mwalimu wako alikuwa hatumii mifano mbali mbali ili kukufanya uelewe somo?, nimekuambia akili yako ni ndogo sana utanisumbua bure
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Huna akili wewe, shuleni mwalimu wako alikuwa hatumii mifano mbali mbali ili kukufanya uelewe somo?, nimekuambia akili yako ni ndogo sana utanisumbua bure

A good teacher, lecturer or Prof. must always give a relevant example to the topic....!! Otherwise you had never been to school....!! Stop these non-sense arguments. Mannerless!
 
You are mentally dwarf, I think your APGAR score during your delivery was very low due to birth asiphixia, my be you swallowed meconium or you were strangulated by umbilical cord, your IQ is of fade three baby, you can't make any wise discussion, please find other people of your level, am too hot for you to handle.
 
I never argue with fools......!!!!!!
 
samaki mkunje angali mbichi, Magu hamwamini mtu mwingine zaidi yake na si rafiki wa demokrasia. usishangae akiomba kuongezewa muda ili aendelee kunyoosha nchi
 
The Elephant,
Tanzania bado kuna ujinga mwiingi sana pengine kwa Watz kukaa kwene mfumo chama kimoja for almost 30 years!!!!lMtu ukiimwambia kuna udikteta anakwambia mchochezi....!
JPM ana exercise purely dictatorship kwa kuminya upinzani na freedom of speech watu wanasifiia kunyooshwa nchi......!!
Ameshaanza kubeep kidogodogo kupitia kina Ngamia na Prof.Majimarefu..ili kuona reaction na kadri muda unavosonga.....!!!!
 
Waafrika haya mambo ndiyo muda wote yapo akili kwetu. Nani dikteta,nani kakaa muda mrefu madarakani mara nani anaminya demokrasia.

Yani unaweza kusema hivyo ndiyo vitu vinavyozui maendeleo afrika.
 
joto la jiwe,

A lot of words to which 99.99% are self contradictions! How can someone be 15% a Dictator and 85% a good Leader? How can a President violate the Nation Constitution by 15% and call him a good President? You can't be in two places at a time..! You're either a DICTATOR or you're NOT...!!!

Magufuli aliapa kuilinda Katiba ya JMT kwa 100% na si vinginevo. Kitendo cha kuvunja Katiba hata kwa kifungu kimoja inatosha kumwondolea mbali. Usifikiri Marais wanaojiuzulu au kupigiwa kura za kutokuwa na imani nao huwa wamekiuka Katiba kwa 100%...!! Huwezi kusema unapambana na Rushwa wakti huohuo kuna Viongozi uliowateua wanatoa Rushwa kununua WAPINZANI wahamie CCM......!!!Huu ni usanii ulioptiliza. Period!
Kifupi ndugu Joto la Jiwe huna hoja. Jaribu kufikirisha ubongo wako kidogo ili nikuelewe. Vinginevo ninacho kiona na kusoma between the lines, to me you're just pro-magufuli..!!!
Pro Magufuli tupo wengi sana, orodhesha nchi iliyoendelea bila dictatorial elements, USA wameshakuwa na raisi aliyekaa mihula mitatu sababu ya kazi yake kubwa, nenda Singapore, Malaysia, China, Russia, Germany, Rwanda, Italy, Libya, Egypt, Saudi Arabia etc. Kote huko kulikuwa na kiongozi mkono wa chuma alieachiwa kuinyoosha nchi. We unasema nini.
wa tz bado hatujakutana na a real dictator. Ni jamii ya walalamikaji kulialia na kupendwa kudekezwa. Magufuli is a tip on an iceberg of real dictators. Tembea duniani ushuhudie na ushukuru Mungu upo Tz. Don't take things for granted
 
Back
Top Bottom