East Africans it's the high time now that we have a recognition, musically, a sound, beat, why do we fail!?

East Africans it's the high time now that we have a recognition, musically, a sound, beat, why do we fail!?

Baada ya mmoja wao kujulikana ni shoga ,mzuka wa kuwasikiliza ulikata kabisa nyimbo pekee niliyobaki naipenda ni ile disco matanga na sho madjozi basi
Unaishi wapi!? Elton John was once though as u do ...
He died with the highest respect ...
 
Melody ni natural, ni matokeo ya kuishi origin zako, kuwa authentic na culture yako. Haipangwi tu na kina mpoto hapo. Sasa bongo kila mtu anataka kuwa wa nchi zingine utapata wapi sound? Mnaigeria popote alipo utamjua tu, hapindishi lafudhi Wala nini. Ila kutana na diamond au kiba, kingereza kibovuuu, alafu anataka kuweka accent ya kimarekani. Fake life. Huwezi pata original sound.
 
Back
Top Bottom