East Africa's Capital, Nairobi City : photo gallery

Nairobi ndio kuchafu zaidi mnaishi kwenye mabanda ya bati full suit ....sewage tu tz hukuti mabati ndio nyumba
Wacha uongo. Hebu tafuta Dar es Salaam suburbs kwenye google images uone vile mitaa zinakaa.

Tafuta pi na "world's poorest cities" na "world's filthiest cities" ujionee hiyo list mnavyowakilisha bara la Africa vyema.
 
Tafuta muda uje uone. ..mnadhani Nairobi pekee ndio mjini...njoo ujionee iache kuongea na Google
 
Nawe njoo Nairobi uone. Hata wengi wa watz wenzako ambao wamewahi kuzuru humu wamkiri ya kuwa Nai ndilo jiji ambalo limeendelea zaidi kwenye kanda hili. Dar, hata vile nimewahi kuarifiwa na baadhi ya watz na wengine ambao wamewahi kufika humo ni kwamba ni katikati ya jiji tu ambako kumejengeka, lakini maeneo ya mitaa bado sana. Na hilo ndilo ukweli ambao umedhihirika wazi kupitia kwa picha kadhaa za angani za Dar.
 
Nadhani kama ilivyo miji mingi Africa kuna cbd kuna mitaa ya matajiri na ya walalahoi ...kiukweli kwa hapa Dar kila mahali kuna jengeka kwa sasa...nikutaarifu tu nilitoka kidogo apa town Nilikua mkoa mwingine nmerudi nimekuta changes lukuki...sitaki kumini kwa bado huelewi kwamba Dar sio posta kariakoo na upanga pekee yani hata apa kijitonyama now kuna boom la majumba makubwa mengi sana
7619d3dc154d494b43dcfd6dc32213d4.jpg
e553f86c9639c52c7985b122e97ca151.jpg

Izo ni picha za kijitonyama ambapo miaka minne nyuma hapakua hivi
 
Pazuri sana.

Lakini ukisoma reporti hii ndio utaelewa ya kuwa kwa kweli Nai iko mbali saaana na Dar kwenye hili minzani ya real estate.
Five African countries that offer the greatest investment opportunities in real estate - Ventures Africa
 
Ipo cool ila labda nikufahamishe kitu ambacho nadhani kwa Tanzania kipo, wapangaji wengi hua wa muda mfupi wakishapata kiwanja kizur wanajenga ...apa mjini ukiona mtu kapanga kwenye nyumba ya dollar 200 kwa mwezi basi ujue anajenga mahali jengo likikaribia kuisha tu anasepa. ...so unaweza kuja kukuta apartment nyingi zipo tupu Au nzuri kwa bei ya chini kwasababu wapangaji ni watu wa muda mfupi then huwaoni tena....ila kwa watu wakufikia tu hua zawafaa sana
 
Nairobi ndio kuchafu zaidi mnaishi kwenye mabanda ya bati full suit ....sewage tu tz hukuti mabati ndio nyumba

Tuusan, Nilikuambia mawazo ya Kibera ya toe akili, Kibera ilianzishwa na wakoloni kitambo sana!!
Na nikakueleza, Kibera is going to be a thing of the past, Kibera inabadilishwa kwa haraka.
Nina hakika, hiyo Kibera miaka tano ijayo itakuwa kama Dar nzima!!!

Hivi utashangaa, wakenya ni jamaa wakuchapa job!! Real Hustlers!! Cheki out Kibera changing

dsc01483.jpg

DSC01389.JPG

DSC01390.JPG
C3qtt22WQAA0rm2.jpg
C3qttfCWIAEYAjJ.jpg
C3wcWGVWQAQ_Ynm.jpg
C3wWkG_WEAASaI1.jpg
C3wfx_TXAAABniJ.jpg
C3wcXTNWcAE8nLR.jpg
C3wWbqhWYAAUguq.jpg

Kenya2.jpg
dscn4255a.jpg
Kenya2.jpg

url
300px-Kibera,_Nairobi_May_2007.jpg
 
Tuusan, Nilikuambia mawazo ya Kibera ya toe akili, Kibera ilianzishwa na wakoloni kitambo sana!!
Na nikakueleza, Kibera is going to be a thing of the past, Kibera inabadilishwa kwa haraka.
Nina hakika, hiyo Kibera miaka tano ijayo itakuwa kama Dar nzima!!!

Hivi utashangaa, wakenya ni jamaa wakuchapa job!! Real Hustlers!! Cheki out Kibera changing

dsc01483.jpg

DSC01389.JPG

DSC01390.JPG
View attachment 466878 View attachment 466879 View attachment 466881 View attachment 466882 View attachment 466883 View attachment 466884 View attachment 466885
Kenya2.jpg
dscn4255a.jpg
Kenya2.jpg

url
300px-Kibera,_Nairobi_May_2007.jpg
Mahali mnapoleta ujinga ni hapo sasa kwamba kibera itakuja kua kama Dar wtf wanjala???
Ilo ni tusi na let me tell you kwamba Dar is beta than Nairobi na sehemu zote as slums combined. ...ilikua zamani sana ambapo nairobi iliizidi Dar sio leo 2017.....tandale inaenda kubadilishwa mwaka huu nyumba zitavunjwa update utazipata ....kuna mtaa mwingine mbovu hapa town zaidi ya nyumba 5000 zitavunjwa zijengwe nyumba zakisasa. ...my friend Tanzania tunaishi apo Kenya mnasindikizana maisha .....huwezi fananisha maisha ya dar na nairobi forget abt your currency pesa hihiii ya kibongo isio na thaman yatupa maisha mazuri sana!!!
Utafika wakati mtakosa mada kabisa tutakua tunachekeshana tu siku ipite, dharau za kulipuuz huo muda ulishapita zaman sio leo tena....hua nasikia mkisema uperhill maviiii uperhill ndio nn? Just upanga tu ndio uperhill lazima mtanyooka tu mliokosa adabu nyie
 
jamaa ametoka povu kweli but ukweli no kua huezi compare dar is slum na Nairobi.....dar uchafu mtupu.mji hauna mpangilio
 
tuusan! Kuwa mpole, hizo nyumba tangu lini mtavunja? Kibera ndio hizo za vunjwa tayari, Barabara zinaundwa, lini mtavunja???

Haya, hivyo ni sawa, lakini kwa Nairobi usifananishe na vitu vya kishenzi
11856809_1659876237558048_72676572_n.jpg
12142472_1072556062763871_874694084_n.jpg
3486221019_69b795ddbd_b.jpg
12132871_200467566951436_619334936_n.jpg
12106137_1667539923490145_699217291_n.jpg
dee021924cbd97fdb0865eb94107a829.jpg
 
jamaa ametoka povu kweli but ukweli no kua huezi compare dar is slum na Nairobi.....dar uchafu mtupu.mji hauna mpangilio
Ishii muone huyu boga. ..
kwani hufaham 55% ya nairobi ni slums?? Au huoni ndio nyani haoni kundule? Tena skins zenu hazipo popote duniani ni hell
 
Nairobi Tour! Giving you pictures of Nairobi from All angles as far as your can see!! Then tell me if you spot your 55% slums in your heads
Upper hill
16299936_683672565138804_2662354774753501644_o.jpg

Westlands
Africaforediting371.jpg

CBD
nairobi%202.jpg

Kilimani
Kilimani%201.jpg

Thika
photo-3.jpg

Runda
images

Lovington
1-nairobi.jpg

Langata
cropped-nairobi.jpg

Karen
mamba_villagenairobi.jpg

Hurlingham
1814-728.jpg

Muthaiga from Kiambu
windsor-golf-hotel-country-club_036511_full.jpg

Ridgeways
wpid-20131026_150933.jpg

Kasarani
85491920.jpg

Kariobangi
cimg9046.jpg
 
Was going clock wise but nimechoka!!!
Other over 20 metro regions, i will post them here one by one!!
 
Kibera
130802_kenya_ap_328.jpg

Random
image4.jpg

IMG_3588.jpg

real-estate-development-on-the-outskirts-of-nairobi-kenya-aerial-view-C433C1.jpg

South B
aerial-view-of-new-modern-housing-developments-suburb-of-south-b-the-AYP4DK.jpg

South C

aerial-view-of-part-of-suburb-of-south-c-with-nairobi-city-skyline-AYT0YG.jpg

Kasarani
maxresdefault.jpg

From Mombasa Road
south2.jpg

Eastlands
465760.png

Kilimani
13724595_1745767822305317_694932956_n.jpg

Nyayo and Industrial Area
NYAYO%2BSTADIUM%2BIN%2BNAIROBI%2B2.jpg
 
Dar subarb
8560e1d6a9bb481f9f8d887244943eb8.jpg
Yes mimi nimetoa picha za Nairobi kutoka sehemu tufautitofauti aerial shots!!! kuna sehemu ishini bado sijaweka, Nairobi ya sahi inatoka Kitengela hadi Limuru 60km long, Ngong had Thika 80 Km long, Thika side is growing so fast!!

Back
Top Bottom