Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Wacha uongo. Hebu tafuta Dar es Salaam suburbs kwenye google images uone vile mitaa zinakaa.Nairobi ndio kuchafu zaidi mnaishi kwenye mabanda ya bati full suit ....sewage tu tz hukuti mabati ndio nyumba
Tafuta muda uje uone. ..mnadhani Nairobi pekee ndio mjini...njoo ujionee iache kuongea na GoogleWacha uongo. Hebu tafuta Dar es Salaam suburbs kwenye google images uone vile mitaa zinakaa.
Tafuta pi na "world's poorest cities" na "world's filthiest cities" ujionee hiyo list mnavyowakilisha bara la Africa vyema.
Nawe njoo Nairobi uone. Hata wengi wa watz wenzako ambao wamewahi kuzuru humu wamkiri ya kuwa Nai ndilo jiji ambalo limeendelea zaidi kwenye kanda hili. Dar, hata vile nimewahi kuarifiwa na baadhi ya watz na wengine ambao wamewahi kufika humo ni kwamba ni katikati ya jiji tu ambako kumejengeka, lakini maeneo ya mitaa bado sana. Na hilo ndilo ukweli ambao umedhihirika wazi kupitia kwa picha kadhaa za angani za Dar.Tafuta muda uje uone. ..mnadhani Nairobi pekee ndio mjini...njoo ujionee iache kuongea na Google
Nadhani kama ilivyo miji mingi Africa kuna cbd kuna mitaa ya matajiri na ya walalahoi ...kiukweli kwa hapa Dar kila mahali kuna jengeka kwa sasa...nikutaarifu tu nilitoka kidogo apa town Nilikua mkoa mwingine nmerudi nimekuta changes lukuki...sitaki kumini kwa bado huelewi kwamba Dar sio posta kariakoo na upanga pekee yani hata apa kijitonyama now kuna boom la majumba makubwa mengi sanaNawe njoo Nairobi uone. Hata wengi wa watz wenzako ambao wamewahi kuzuru humu wamkiri ya kuwa Nai ndilo jiji ambalo limeendelea zaidi kwenye kanda hili. Dar, hata vile nimewahi kuarifiwa na baadhi ya watz na wengine ambao wamewahi kufika humo ni kwamba ni katikati ya jiji tu ambako kumejengeka, lakini maeneo ya mitaa bado sana. Na hilo ndilo ukweli ambao umedhihirika wazi kupitia kwa picha kadhaa za angani za Dar.
Nadhani kama ilivyo miji mingi Africa kuna cbd kuna mitaa ya matajiri na ya walalahoi ...kiukweli kwa hapa Dar kila mahali kuna jengeka kwa sasa...nikutaarifu tu nilitoka kidogo apa town Nilikua mkoa mwingine nmerudi nimekuta changes lukuki...sitaki kumini kwa bado huelewi kwamba Dar sio posta kariakoo na upanga pekee yani hata apa kijitonyama now kuna boom la majumba makubwa mengi sana
Izo ni picha za kijitonyama ambapo miaka minne nyuma hapakua hivi
Ipo cool ila labda nikufahamishe kitu ambacho nadhani kwa Tanzania kipo, wapangaji wengi hua wa muda mfupi wakishapata kiwanja kizur wanajenga ...apa mjini ukiona mtu kapanga kwenye nyumba ya dollar 200 kwa mwezi basi ujue anajenga mahali jengo likikaribia kuisha tu anasepa. ...so unaweza kuja kukuta apartment nyingi zipo tupu Au nzuri kwa bei ya chini kwasababu wapangaji ni watu wa muda mfupi then huwaoni tena....ila kwa watu wakufikia tu hua zawafaa sanaPazuri sana.
Lakini ukisoma reporti hii ndio utaelewa ya kuwa kwa kweli Nai iko mbali saaana na Dar kwenye hili minzani ya real estate.
Five African countries that offer the greatest investment opportunities in real estate - Ventures Africa
Nairobi ndio kuchafu zaidi mnaishi kwenye mabanda ya bati full suit ....sewage tu tz hukuti mabati ndio nyumba
Mahali mnapoleta ujinga ni hapo sasa kwamba kibera itakuja kua kama Dar wtf wanjala???Tuusan, Nilikuambia mawazo ya Kibera ya toe akili, Kibera ilianzishwa na wakoloni kitambo sana!!
Na nikakueleza, Kibera is going to be a thing of the past, Kibera inabadilishwa kwa haraka.
Nina hakika, hiyo Kibera miaka tano ijayo itakuwa kama Dar nzima!!!
Hivi utashangaa, wakenya ni jamaa wakuchapa job!! Real Hustlers!! Cheki out Kibera changing
View attachment 466878 View attachment 466879 View attachment 466881 View attachment 466882 View attachment 466883 View attachment 466884 View attachment 466885
tuusan! Kuwa mpole, hizo nyumba tangu lini mtavunja? Kibera ndio hizo za vunjwa tayari, Barabara zinaundwa, lini mtavunja???Mahali mnapoleta ujinga ni hapo sasa kwamba kibera itakuja kua kama Dar wtf wanjala???
Ilo ni tusi na let me tell you kwamba Dar is beta than Nairobi na sehemu zote as slums combined. ...ilikua zamani sana ambapo nairobi iliizidi Dar sio leo 2017.....tandale inaenda kubadilishwa mwaka huu nyumba zitavunjwa update utazipata ....kuna mtaa mwingine mbovu hapa town zaidi ya nyumba 5000 zitavunjwa zijengwe nyumba zakisasa. ...my friend Tanzania tunaishi apo Kenya mnasindikizana maisha .....huwezi fananisha maisha ya dar na nairobi forget abt your currency pesa hihiii ya kibongo isio na thaman yatupa maisha mazuri sana!!!
Utafika wakati mtakosa mada kabisa tutakua tunachekeshana tu siku ipite, dharau za kulipuuz huo muda ulishapita zaman sio leo tena....hua nasikia mkisema uperhill maviiii uperhill ndio nn? Just upanga tu ndio uperhill lazima mtanyooka tu mliokosa adabu nyie
Ishii muone huyu boga. ..jamaa ametoka povu kweli but ukweli no kua huezi compare dar is slum na Nairobi.....dar uchafu mtupu.mji hauna mpangilio
Ishii muone huyu boga. ..
kwani hufaham 55% ya nairobi ni slums?? Au huoni ndio nyani haoni kundule? Tena skins zenu hazipo popote duniani ni hell
Yani wewe huwezi badili chochote lia utavolia huna cha kubadiliWas going clock wise but nimechoka!!!
Other over 20 metro regions, i will post them here one by one!!
Yes mimi nimetoa picha za Nairobi kutoka sehemu tufautitofauti aerial shots!!! kuna sehemu ishini bado sijaweka, Nairobi ya sahi inatoka Kitengela hadi Limuru 60km long, Ngong had Thika 80 Km long, Thika side is growing so fast!!Dar subarb