kwa kwa east and central africa,watanzania ndio watu pekee tunaosifika kwa opole na unyenyekevu ila hatupendi dharau.tulijiweka kando na hii hii thread "yenyu" ili muwe huru nayo.
ila maneno "yenyu" ya dharau,yametufanye tuje tupangue ujinga "wenyu" wa maneno CC @NDINDA Geza Ulole Askari Kanzu Kimweri Bulldog et al
Dar es salaam City.
If you are not a fool,who are you?
Admitting failure is not being foolish.
HAIYAA!!! yaani umesoma hayo yote kwa kuangalia picha? I love u already. Mie najiangalilia tu bila kuchambua picha yeyote lkn ukinipa hesabu ntakuchambulia :rockon::rockon: weweee!!
Yaani mjikubadirika halichukui muda, dar ya miaka ya 90 si yaleo, naamini ndani ya miaka 10 ijayo dharau za manya'au hazitakuwapo tuombe uzima tuendelee kuwapo hum
MOTOCHINI Tofauti ipo kubwa sana baina ya Watanzania na Wakenya, nyi mmetushindia kitu kinaitwa potential, mnacho kila kitu kinachofaa kuwafikisha dunia nyingine, madini, nchi kubwa yenye rotuba, vivutio bora vya utalii, amani...yaani orodha ndefu. Lakini sisi tuna nchi ndogo yenye nusu yake ni kame tupu, mabomu na kila aina ya majanga ila tofauti yetu na nyie ni kwamba ninyi ni wavivu wakati sisi tunajituma.MK254 Kwanza nikushukuru kwa kunipa pole, pili tuache mengineyote hebu ndugu tuwe wawazi, mnacho tushindia sisi nini? naamini kuwa kila mlicho nacho kenya tunacho tz tena zaid ya huko, hivyo naamin tupatapo kiongozi mtata mwenye uchungu na tz, mwenye kuamini uwezo anao,mali anayo Kenya si lolote. ila nakuhakikishia dharau zenu kwetu naona mnatupa akili na Watanzania tunabadirika punde wakenya mtatambua hilo
Unadhani kenya itakuwa inalala kwa hiyo miaka kumi, kwanza kwa miaka kumi tutakuwa tumejenga mji mapya ya konza,, tatu city na machakos city , na bado sijataja resort cities za lamu, diani, kilifi ,isiolo na turkana ambayo zitajengwa kwa miaka tano zijazo. Endelea kungoja hiyo miaka kumi, utashangaa sanaYaani mjikubadirika halichukui muda, dar ya miaka ya 90 si yaleo, naamini ndani ya miaka 10 ijayo dharau za manya'au hazitakuwapo tuombe uzima tuendelee kuwapo hum
MOTOCHINI
Kwanza natumai ulipokea pole zangu kule kwenye ule uzi ulioelezea yaliyokupata.
Sasa huu wimbo wa kwamba mtatupita uliimbwa na mababu zenu, wakaimba baba zenu sasa na nyie vizazi vya sasa mnaimba. Mwaka wa 2006 tulikua mbele yenu kwa $4 billions miaka kumi baadaye tumepiga hatua na kuwa mbele yenu kwa zaidi ya $10 billions, bado mpo mpo tu mnaimba jinsi iko siku moja mtatushinda.
Hehehe!! ieleweke kwamba mmeshindwa kutupita sasa hivi Alshabaab wanatuzingua usiku na mchana mabomu, kiangazi kila mahali, yaani majanga nchi yote, sasa tukifaulu kuyatuliza haya ndio mtusahau.
its time we had such a thread in jamii as our fellow tanzanians (in this forum) seem to think that kenya is slowing down, the guys even get to the point of insults.... lets show em our best so that they can calm down
MOTOCHINI Tofauti ipo kubwa sana baina ya Watanzania na Wakenya, nyi mmetushindia kitu kinaitwa potential, mnacho kila kitu kinachofaa kuwafikisha dunia nyingine, madini, nchi kubwa yenye rotuba, vivutio bora vya utalii, amani...yaani orodha ndefu. Lakini sisi tuna nchi ndogo yenye nusu yake ni kame tupu, mabomu na kila aina ya majanga ila tofauti yetu na nyie ni kwamba ninyi ni wavivu wakati sisi tunajituma.
Mumekaa eti mnasubiri aje mkombozi, wakati sisi tulianza kujituma hata wakati wa utawala wa kiimla. Kama dharau zetu zitafanya muamuke, basi na iwe hivyo.
Unadhani kenya itakuwa inalala kwa hiyo miaka kumi, kwanza kwa miaka kumi tutakuwa tumejenga mji mapya ya konza,, tatu city na machakos city , na bado sijataja resort cities za lamu, diani, kilifi ,isiolo na turkana ambayo zitajengwa kwa miaka tano zijazo. Endelea kungoja hiyo miaka kumi, utashangaa sana
Unadhani kenya itakuwa inalala kwa hiyo miaka kumi, kwanza kwa miaka kumi tutakuwa tumejenga mji mapya ya konza,, tatu city na machakos city , na bado sijataja resort cities za lamu, diani, kilifi ,isiolo na turkana ambayo zitajengwa kwa miaka tano zijazo. Endelea kungoja hiyo miaka kumi, utashangaa sana
ndg yaonekana upo ktk usingizi mzito kuhusu maendeleo ya tz,hata tz kuna project kama hizo,na zingine zimeshaanza.project ambayo ni gumzo EA nzima ni ya kigamboni city.mikakati tayari imeshaanza.Tanzania: Firm Launches Kigamboni Town Project.
kwasasa tupo katika hatua za mwisho za kukamilisha daraja linalounganisha dsm na kigamboni.daraja litakabidhiwa mwezi june 2015.
ndg yaonekana upo ktk usingizi mzito kuhusu maendeleo ya tz,hata tz kuna project kama hizo,na zingine zimeshaanza.project ambayo ni gumzo EA nzima ni ya kigamboni city.mikakati tayari imeshaanza.Tanzania: Firm Launches Kigamboni Town Project.
kwasasa tupo katika hatua za mwisho za kukamilisha daraja linalounganisha dsm na kigamboni.daraja litakabidhiwa mwezi june 2015.
Kenya hamna jipya la kutuonyesha bali kujisifia mipango-miji aliyoacha mkoloni mkaongeza vijighorofa, ndo maana tunasema ku-design mipango-miji Tanzania inaweza kujisifia hata nje ya jiji letu la Dar-es-Salaam kuna mambo makubwa msiyoyahamu mfano pia Mji mpya makao makuu Dodoma ni kazi iliyosimamiwa na wazalendo wa-Tanzania baada ya uhuru.