East Africa's Capital, Nairobi City : photo gallery

East Africa's Capital, Nairobi City : photo gallery

kwa kwa east and central africa,watanzania ndio watu pekee tunaosifika kwa opole na unyenyekevu ila hatupendi dharau.tulijiweka kando na hii hii thread "yenyu" ili muwe huru nayo.
ila maneno "yenyu" ya dharau,yametufanye tuje tupangue ujinga "wenyu" wa maneno CC
@NDINDA Geza Ulole Askari Kanzu Kimweri Bulldog et al

Dar es salaam City.
11072929_973192732693476_528415294285941282_n.jpg
10950676_973192716026811_6735545334102873806_n.jpg
11102865_973192739360142_6103201329463068735_n.jpg
11079634_973192802693469_8766260719926577329_n.jpg
11125233_973192826026800_3060712757916709118_n.jpg
11130287_973192809360135_9194636567102243436_n.jpg
13422_973192892693460_7725706203654158693_n.jpg
11091328_973192879360128_1388939242872205656_n.jpg
10983576_973192959360120_2113853669822526863_n.jpg
11060990_973192976026785_5326099963056883395_n.jpg
11130156_973192992693450_5053869799525627208_n.jpg
10436678_973193016026781_4483943007801184486_n.jpg
11072124_973193056026777_2549227994551438567_n.jpg
11074360_973193069360109_7220579223006087948_n.jpg
10891817_973193082693441_5011068963978337618_n.jpg
10394810_973193096026773_4947290927104885703_n.jpg
11115743_973193142693435_7151615995820700853_n.jpg
11130083_973193176026765_3788653340840628860_n.jpg
10606205_973193182693431_5906460411231212727_n.jpg
11082542_973193202693429_1355742840752781624_n.jpg
11073905_973193236026759_4685516357666637541_n.jpg
11096427_973193242693425_9046577743778549107_n.jpg

11081019_973193306026752_2215717503236523242_n.jpg

11130210_973193339360082_7610829668015507677_n.jpg

10384060_973193322693417_6147042930922460238_n.jpg

11074444_973193392693410_1337201005703877876_n.jpg
11054854_973193376026745_7921911930134271161_n.jpg
19319_973193386026744_1494632054405213542_n.jpg
11111962_973193429360073_5488608363106294917_n.jpg
11115763_973193426026740_132182150439535080_n.jpg
1743642_973193449360071_5214783170672788881_n.jpg
11112304_973193539360062_7312710493046105220_n.jpg
11083640_973193519360064_4219800231681732394_n.jpg
11130235_973193559360060_9080297827590149706_n.jpg
11130295_973193736026709_6887487961181275822_n.jpg
11129916_973193586026724_4224034579210079891_n.jpg
11082673_973193609360055_8499481155974419147_n.jpg
11068158_973193642693385_6044618206837196301_n.jpg
11081113_973193679360048_5385422610424737934_n.jpg
11013309_973193719360044_2713762493901180137_n.jpg
11059736_973193746026708_1252180273947437619_n.jpg
10622936_973193766026706_1931995342475993722_n.jpg

dude. this pics have not done you any favour
 
Even the Tanzanian established company Techno brain ltd had to move its headquarters from Dar es salaam to nairobi. East african capital indeed.
 
Admitting failure is not being foolish.

These are people like namwakalima with small mind who are not capable of coming up with solutions to the problems facing the people of our country. Those type of namwakalima, everything to them is to defend those small mind stupid politicians, but they forget that their destroy out country
 
HAIYAA!!! yaani umesoma hayo yote kwa kuangalia picha? I love u already. Mie najiangalilia tu bila kuchambua picha yeyote lkn ukinipa hesabu ntakuchambulia :rockon::rockon: weweee!!

haha thanks, mi niko na tendency ya ku notice vitu ndogo ndogo..

ntakua niki kuita nikishindwa kuchambua hesabu hapa
 
Nice photos. I however think that CBD photos are too much in the public domain. How about more photos of developments westlands, buruburu, kahawa sukari, M-Road, jacaranda, spring valley, parklands, rongai... etc? That would provide a better perspective to the city's growth.

TZ also has some very good estates. Maybe Dar guys could also capture the growth in places like Mbezi Beach (my personal favourite), SalaSala, Mikocheni, regent, Tegeta, Ada, Masaki, kimara etc.
 
Yaani mjikubadirika halichukui muda, dar ya miaka ya 90 si yaleo, naamini ndani ya miaka 10 ijayo dharau za manya'au hazitakuwapo tuombe uzima tuendelee kuwapo hum
 
Yaani mjikubadirika halichukui muda, dar ya miaka ya 90 si yaleo, naamini ndani ya miaka 10 ijayo dharau za manya'au hazitakuwapo tuombe uzima tuendelee kuwapo hum

MOTOCHINI
Kwanza natumai ulipokea pole zangu kule kwenye ule uzi ulioelezea yaliyokupata.

Sasa huu wimbo wa kwamba mtatupita uliimbwa na mababu zenu, wakaimba baba zenu sasa na nyie vizazi vya sasa mnaimba. Mwaka wa 2006 tulikua mbele yenu kwa $4 billions miaka kumi baadaye tumepiga hatua na kuwa mbele yenu kwa zaidi ya $10 billions, bado mpo mpo tu mnaimba jinsi iko siku moja mtatushinda.

Hehehe!! ieleweke kwamba mmeshindwa kutupita sasa hivi Alshabaab wanatuzingua usiku na mchana mabomu, kiangazi kila mahali, yaani majanga nchi yote, sasa tukifaulu kuyatuliza haya ndio mtusahau.
 
Last edited by a moderator:
MK254 Kwanza nikushukuru kwa kunipa pole, pili tuache mengineyote hebu ndugu tuwe wawazi, mnacho tushindia sisi nini? naamini kuwa kila mlicho nacho kenya tunacho tz tena zaid ya huko, hivyo naamin tupatapo kiongozi mtata mwenye uchungu na tz, mwenye kuamini uwezo anao,mali anayo Kenya si lolote. ila nakuhakikishia dharau zenu kwetu naona mnatupa akili na Watanzania tunabadirika punde wakenya mtatambua hilo
 
MOTOCHINI Tofauti ipo kubwa sana baina ya Watanzania na Wakenya, nyi mmetushindia kitu kinaitwa potential, mnacho kila kitu kinachofaa kuwafikisha dunia nyingine, madini, nchi kubwa yenye rotuba, vivutio bora vya utalii, amani...yaani orodha ndefu. Lakini sisi tuna nchi ndogo yenye nusu yake ni kame tupu, mabomu na kila aina ya majanga ila tofauti yetu na nyie ni kwamba ninyi ni wavivu wakati sisi tunajituma.

Mumekaa eti mnasubiri aje mkombozi, wakati sisi tulianza kujituma hata wakati wa utawala wa kiimla. Kama dharau zetu zitafanya muamuke, basi na iwe hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Yaani mjikubadirika halichukui muda, dar ya miaka ya 90 si yaleo, naamini ndani ya miaka 10 ijayo dharau za manya'au hazitakuwapo tuombe uzima tuendelee kuwapo hum
Unadhani kenya itakuwa inalala kwa hiyo miaka kumi, kwanza kwa miaka kumi tutakuwa tumejenga mji mapya ya konza,, tatu city na machakos city , na bado sijataja resort cities za lamu, diani, kilifi ,isiolo na turkana ambayo zitajengwa kwa miaka tano zijazo. Endelea kungoja hiyo miaka kumi, utashangaa sana
 
MOTOCHINI
Kwanza natumai ulipokea pole zangu kule kwenye ule uzi ulioelezea yaliyokupata.

Sasa huu wimbo wa kwamba mtatupita uliimbwa na mababu zenu, wakaimba baba zenu sasa na nyie vizazi vya sasa mnaimba. Mwaka wa 2006 tulikua mbele yenu kwa $4 billions miaka kumi baadaye tumepiga hatua na kuwa mbele yenu kwa zaidi ya $10 billions, bado mpo mpo tu mnaimba jinsi iko siku moja mtatushinda.

Hehehe!! ieleweke kwamba mmeshindwa kutupita sasa hivi Alshabaab wanatuzingua usiku na mchana mabomu, kiangazi kila mahali, yaani majanga nchi yote, sasa tukifaulu kuyatuliza haya ndio mtusahau.

maina nadhani umesoma ktk somo la history ulipo kuwa secondary kwamba hatua ya kimaendeleo ya mwanadamu/taifa ni "gradual process".maendeleo hayaji tu ghafla kwa mtindo wa abracadabra,juhudi na maarifa hutumika na vyote vinachukua mda kukamilika.

swala la watz kuwapita wakenya kimaendeleo ni process ambayo ilianza toka 90s na sasa kuna kila dalili kwamba inaelekea kukamilika.
 
its time we had such a thread in jamii as our fellow tanzanians (in this forum) seem to think that kenya is slowing down, the guys even get to the point of insults.... lets show em our best so that they can calm down

mbona picha nyingi hapo juu ni za mtaa/mitaa ile ile katika angle tofauti tu? hilo jengo la I&M limejirudia katika picha ngapi ukiangalia hapo juu?
nilichoona ni labda mitaa miwili au mitatu imepigwa picha katika angle tofauti tofauti.
 
MOTOCHINI Tofauti ipo kubwa sana baina ya Watanzania na Wakenya, nyi mmetushindia kitu kinaitwa potential, mnacho kila kitu kinachofaa kuwafikisha dunia nyingine, madini, nchi kubwa yenye rotuba, vivutio bora vya utalii, amani...yaani orodha ndefu. Lakini sisi tuna nchi ndogo yenye nusu yake ni kame tupu, mabomu na kila aina ya majanga ila tofauti yetu na nyie ni kwamba ninyi ni wavivu wakati sisi tunajituma.

Mumekaa eti mnasubiri aje mkombozi, wakati sisi tulianza kujituma hata wakati wa utawala wa kiimla. Kama dharau zetu zitafanya muamuke, basi na iwe hivyo.

Haya ndugu ila minawaomba mkazane na dharau japo itakuja kuwa ibu kubwa hapo baadae. MUNGU IBARIKI TZ
 
Last edited by a moderator:
Unadhani kenya itakuwa inalala kwa hiyo miaka kumi, kwanza kwa miaka kumi tutakuwa tumejenga mji mapya ya konza,, tatu city na machakos city , na bado sijataja resort cities za lamu, diani, kilifi ,isiolo na turkana ambayo zitajengwa kwa miaka tano zijazo. Endelea kungoja hiyo miaka kumi, utashangaa sana

ndg yaonekana upo ktk usingizi mzito kuhusu maendeleo ya tz,hata tz kuna project kama hizo,na zingine zimeshaanza.project ambayo ni gumzo EA nzima ni ya kigamboni city.mikakati tayari imeshaanza.Tanzania: Firm Launches Kigamboni Town Project.

kwasasa tupo katika hatua za mwisho za kukamilisha daraja linalounganisha dsm na kigamboni.daraja litakabidhiwa mwezi june 2015.

133775334_14154933944491n.jpg
 
Sikatai hayo ila nilikua nazungumzia uchumi kuwa mmetuacha mbari, nikasema uongozi ndiyo tatizo kwani tuna kilakitu zaid yenu, tutakapo jitambua nirahisi kuwa fiti kiuchumi tofauti na nyie.
 
ndg yaonekana upo ktk usingizi mzito kuhusu maendeleo ya tz,hata tz kuna project kama hizo,na zingine zimeshaanza.project ambayo ni gumzo EA nzima ni ya kigamboni city.mikakati tayari imeshaanza.Tanzania: Firm Launches Kigamboni Town Project.

kwasasa tupo katika hatua za mwisho za kukamilisha daraja linalounganisha dsm na kigamboni.daraja litakabidhiwa mwezi june 2015.

133775334_14154933944491n.jpg

Wao wanadhani watanzania wa miaka 90 ndie wasasa
 
Last edited by a moderator:
Kenya hamna jipya la kutuonyesha bali kujisifia mipango-miji aliyoacha mkoloni mkaongeza vijighorofa, ndo maana tunasema ku-design mipango-miji Tanzania inaweza kujisifia hata nje ya jiji letu la Dar-es-Salaam kuna mambo makubwa msiyoyahamu mfano pia Mji mpya makao makuu Dodoma ni kazi iliyosimamiwa na wazalendo wa-Tanzania baada ya uhuru.
 
ndg yaonekana upo ktk usingizi mzito kuhusu maendeleo ya tz,hata tz kuna project kama hizo,na zingine zimeshaanza.project ambayo ni gumzo EA nzima ni ya kigamboni city.mikakati tayari imeshaanza.Tanzania: Firm Launches Kigamboni Town Project.

kwasasa tupo katika hatua za mwisho za kukamilisha daraja linalounganisha dsm na kigamboni.daraja litakabidhiwa mwezi june 2015.

133775334_14154933944491n.jpg

Aisei! hili daraja tangu nianze kusikia kulihusu nikiwa huko Bongo ni muda, nilidhani kufikia sasa litakua linatumika. Je na ile barabara ya BRT vipi, hiyo nayo ndio kabisa nilianza kuisikia zamani sana. Huu mradi ulianza kutajwa kipindi cha Thika road ikianza kujengwa.
 
Last edited by a moderator:
Kenya hamna jipya la kutuonyesha bali kujisifia mipango-miji aliyoacha mkoloni mkaongeza vijighorofa, ndo maana tunasema ku-design mipango-miji Tanzania inaweza kujisifia hata nje ya jiji letu la Dar-es-Salaam kuna mambo makubwa msiyoyahamu mfano pia Mji mpya makao makuu Dodoma ni kazi iliyosimamiwa na wazalendo wa-Tanzania baada ya uhuru.

Wasnt Tanzania also colonized? or they demolished all the buildings when they left?

Visit the following places and compare with the below photos.

Parliament

ParliamentX.jpg

Moi avenue

GovtroadY.jpg

Kencom

NBIx_NairobiX.jpg

JKIA(formerly embakasi airport)

embasignX.jpg

1. KICC was built by the Kenyan govt after independence
2. Times tower was built by the Kenyan govt after independence
3. Nyayo house was built by the Kenyan govt after independence
4. Post towers was built by Kenyan govt after independence
5. All govt offices in upperhill were built by the kenyan govt after independence
6.Cooperative house was built by the cooperative movement in Kenya after independence
7.Upperhillis being built by the private sector in the last and current decade namely, KCB,UAP, Equity,Coke,BRITAM,Blue shield etc

What you do not know is that the cooperative movement, SACCO and government were responsible for the development of Nairobi CBD.Most of the buildings in CBD are owned by either Govt, SACCOs,pension funds and cooperative societies which were built post independence
 
Back
Top Bottom