Shuleless
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 4,957
- 6,221
Hamna lolote huku zaidi ya kutumia ujinga wa watanzania kujinufaisha wao na familia zao. Tanzania imejaa unafiki na ignorance.Aje! Unaufahamu wa mambo hayo? Si nilisikia huko ni kazi tu? Ama ilikuwa ni kutuenjoy?