East Africa's Capital, Nairobi City : photo gallery

East Africa's Capital, Nairobi City : photo gallery

Safi tena umeongea vyema,mkijipanga mnaweza....sauti soul wako vizur sana sijui punit imefia wapi?akina frasha nonini, wyre tatizo nn? Prezzo?
Angalia bongo watu wanawekeza kwenye mziki mziki wetu upo mbele sana sahivi
sauti sol wako serious kimuziki wanajaribu sana....kina prezzo wachana na wao...they entered music to get famous...where are they now? lakini kama vile nilivyosema Tanzania, kina Platnumz, Kiba na wengine wanachukulia muziki seriously...kama vile daktari anachukulia medical practice....ata ukienda Gospel....I knew Rose Muhando, when I was like ten years....since then many others have come up...shusho na wengine...na hio ndio inawainua sana..nigeria na SA wanawatambua sana watanzania kwa muziki na pia sisi....hilo nalo lazma lisemwe
 
Safi tena umeongea vyema,mkijipanga mnaweza....sauti soul wako vizur sana sijui punit imefia wapi?akina frasha nonini, wyre tatizo nn? Prezzo?
Angalia bongo watu wanawekeza kwenye mziki mziki wetu upo mbele sana sahivi
wengine waliokuja na potential mingi ni Camp Mulla although after the chic left, it dealt a big blow to the group.
 
wengine waliokuja na potential mingi ni Camp Mulla although after the chic left, it dealt a big blow to the group.
I don't know him...
we like avrill song tumekuja chokoza like for real...where is wahu ? Nameless nasinzia those are the finest guys you kenyan yu got but ar no longer on game
 
Tanzania musicians are regional[emoji23] [emoji23] [emoji23]
mnabip moto watoto

Hii ni MTV televition ya Denmark na Finland
a0a5c3180d62f2a64bb60c2627d91c51.jpg

Usije kurudia
uwe unaficha upumbavu wako sawa!!
0a6d7267dcaab25668ea218fdc6f9cde.jpg

Hii ni Muscat Oman
338d6a94744e93bf7e8b226a338bc1d4.jpg

Hapa sijui hata kama utaiweza Lugha hii
hapa ni Kuleee kwa Vasco... Ngome ya Yesu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
e8671a99b3e1a971837ad0af5eeedf01.jpg

70da793bbb4af72c232117ee83ae1b3b.jpg

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hapa wanabip
 
Mtaweza ya wale nyangau wajanja wanjanjez kweli nyie wa slum slum Dar is slum?
 
Safi tena umeongea vyema,mkijipanga mnaweza....sauti soul wako vizur sana sijui punit imefia wapi?akina frasha nonini, wyre tatizo nn? Prezzo?
Angalia bongo watu wanawekeza kwenye mziki mziki wetu upo mbele sana sahivi

Hapo mmekosea, ukiona wale huwakilisha Afrika kwenye miziki jukwaa la kimataifa huwa ni wakenya, kama sahi Afrobeat Las Vegas live ni nani anawakilisha kama sio Akothee??

Hivyo ukalulu huo huo hutupeleka mbali, we unadhani Tanzania waweza toa wimbo kama huu??
Kenya has international touch in its music!! Yaani hakuna tofauti na kina Sean Paul

What about this???

Yes i agree Bongo music is good, but it is music for a region, that is East Africa, Kenya music as much as it has no originality, i.e it is more westernised, it is more international than you guys think. remember Wyre has won international artist of the year, i think 2014.

Look at Willy Paul, his music is good, but it is more Kenyan or East Africa, it doesn't have the international feel. EVEn the one he has done with Alaine the beat is more of "Kapuka" Alaine factor can make it go international but the beat will not really support it! Just like the Bongo Music
 
I value your opinion but its not all about the facts
 
Kenya mnamziki gani? Hehehe tena uyo akothee bila collabo n daiamond hamna kitu apo
Ukifuatilia Nyimbo zake
hata zile alizo shirikiana na wasanii wakubwa bado views hazifiki 4ml!!!

d58e2d0c932a86b8fd3fd1a2ce0a34f0.jpg
b71a739b4370c27aff32b0f567b29e75.jpg
d4fd15e5207621282b4685aa6bb7807d.jpg

Msanii mmoja mdogo tu huyu
wa Bongo cheki nyimbo zake 3

27a61443fd28561d2b8c3b9af27f5022.jpg
dce8f9c40c5e5002c1c0edc8f9c9b883.jpg
0673eb50004e238f464a5f4062b942c4.jpg

Ndio maana mkenya mmoja katimkia kwa ma DJ[emoji23] [emoji23] [emoji23]
e26eaa7667c7ee7d9d675ece5b113a27.jpg
 
Bongo flava imepaa mpaka Denmark!!![emoji112] [emoji112]
 
Ukifuatilia Nyimbo zake
hata zile alizo shirikiana na wasanii wakubwa bado views hazifiki 4ml!!!

d58e2d0c932a86b8fd3fd1a2ce0a34f0.jpg
b71a739b4370c27aff32b0f567b29e75.jpg
d4fd15e5207621282b4685aa6bb7807d.jpg

Msanii mmoja mdogo tu huyu
wa Bongo cheki nyimbo zake 3

27a61443fd28561d2b8c3b9af27f5022.jpg
dce8f9c40c5e5002c1c0edc8f9c9b883.jpg
0673eb50004e238f464a5f4062b942c4.jpg

Ndio maana mkenya mmoja katimkia kwa ma DJ[emoji23] [emoji23] [emoji23]
e26eaa7667c7ee7d9d675ece5b113a27.jpg

I said it, Tz has good music for East Africa, let me tell you, here in Kenya, people listen to Bongo Music so much, i can assure you out of that 5 million likes, you cant lack 2.5 million Kenyan likes. But the issue is your music cant go really beyond East Africa, it is a regional genre, just like Genge or Kapuka in Kenya.

And those likes you are posting, it depends with how long the song has been in the market, you need to put same timelines. Look at Willy Paul and Alain, the song (I Do) it is out for a week or so and the views are 370000 already, give it a year and it will get the 6m mark
 
Unachekesha wewe!!!

Angalia post hapo juu au nirudie!!
Unakataa Denmark
Njoo hii ni Spain sasa tena Leo tar 03/03/2017
soma vizuri kama unakijua kispania hapa
4940b3781b0cff165800d1510169ae52.jpg
[emoji112] [emoji112] [emoji112]
Mpe huyo
 
Back
Top Bottom