Zuwenna
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 2,133
- 3,758
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona hana ham
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hawa jamaa hawataki kukubari wao ni watoto kwenye music[emoji112] [emoji112] [emoji112]
Mpe huyo
Da! We mtu wewe [emoji87] [emoji87]Hawa jamaa hawataki kukubari wao ni watoto kwenye music
Hivi sasa Trace tupo namba moja song toka Bongo
![]()
Akizingua tena Nakuja kumpa kali zaidi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona hana ham
Hehehe Najua kakuelewa da!!Akizingua tena Nakuja kumpa kali zaidi
Wamependa tuichafue wenyeweHehehe Najua kakuelewa da!!
Tuache thread yao naona tunaichafua
Yani we mtu music upoWamependa tuichafue wenyewe
kwanini hakupost bila kuitaja Tanzania!! Tena kwa Dharau
Alitegemea nini
Akumbuke kuwa Youtube Kenya imejaa na Bongo flava
Hahaha ndio habari ya Mujini
bila hii kenya Hawana Furaha![]()
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Naona ndugu yetu wanjala kakoma[emoji23] [emoji23] [emoji23]Fimbo ina chapa, ukileta nyenyenye fimbo chapa, [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] wakenya ni jipu tena jipu uchungu
Eti umesema MTV ni ya wapi?? Man MTV is an American cable TV, which Music and Artists are guided by Video Jockeys (Like influencers) The owners are Viacom. Any artist can feature on MTV, in specific countries it depends.Hapa wanabip
Wanjala reply kwa MOTOCHINIEti umesema MTV ni ya wapi?? Man MTV is an American cable TV, which Music and Artists are guided by Video Jockeys (Like influencers) The owners are Viacom. Any artist can feature on MTV, in specific countries it depends.
Hhhhhhhh! We Zuwenna uchokozi uwache. Mimi nipo tu nawasikiziaNaona ndugu yetu wanjala kakoma[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja ni mwite aniwekee wimbo mpya wa susumilaNaona ndugu yetu wanjala kakoma[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanjala hivi Willy Paul na bahati ni wanamuziki wa injili au na wazee wa genge?Moto chini, huyu rafikiyo, muongo sana huyu, aweza kudanganya ukapotea kwenu, shauri yako, mfate kwa hatari yako mwenyewe! 😉
MOTOCHINI njoo ujibu huku
Hilo sijui mimi, bado halieleweka, lakini mi husikia kwamba ni injili. Kwani wewe lazima ujue wimbo ni Injili ama si injili ndio usikize?? Juzi Willy Paul ameimba na Alaini wimbo, twasuburi kutoka kwake, tujue kama ni injili ama sio.Wanjala hivi Willy Paul na bahati ni wanamuziki wa injili au na wazee wa genge?
Wamuona anavyo weka foleni ya Nyimbo za kibongo hapa kenya?? Nani hajui wakenya hupenda bongo flavor?? Kwanza Zuwenna mi naweza kutajia watu wewe mwenyewe hujawasikia kule Bongo, Wewe unajua kina Soggy Doggy?
Muongo !!Moto chini, huyu rafikiyo, muongo sana huyu, aweza kudanganya ukapotea kwenu, shauri yako, mfate kwa hatari yako mwenyewe! 😉