East Air Force - Sukhoi and Mikoyan

East Air Force - Sukhoi and Mikoyan

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na kama kuna Vita kenya itajiandaa vilivyo na kununua heavy weaponary kutoka US. Thats why Israel hiwezi pigwa na enemies wake ambao hutumia Russian weapons. In an event of any war The US & Britain will always protect and fight alongside their allies! I think by now unajua The British & US have their Military base in Kenya! Kuanzisha vita na kenya ni Kuchokoza the Capitalist allies directly & you will be met with fire & Fury never seen in this world!
Hahahaha!!! Yaani nchi huru mpaka leo bado inalilia wakoloni!!? Kwahiyo pasipo British & US nyie hamuwezi kujisimamia?
Hebu tuambie strategy mtakayoitumia wakati Su-30 na Mig-29 zikitia timu?
 
Sasa tuseme ni kweli kwamba nyinyi watu mna jet kali kutushinda, hio haimaanishi mnaeza tushinda vita. Vita inahusisha mambo mengi sana, ndio maana Marekani hawakuweza kushinda North Vietnam. Ilibidi Marekani waondoke baada ya 'Tet offensive' wakawaacha marafiki zao wa south Vietnam matatani, kisha North Vietnam ikaingia South Vietnam na kushinda vita na kuunganisha nchi nzima, ikawa inaitwa Vietnam. Marekani walikuwa na silaha nzuri tu bali hawakuweza kuwashinda vietcongs. Unajua maana ya vita kweli?
Hata kama tutakuja kwenye war aggressiveness kenya hawana. Only 3 Alshabab waliwatoa jasho kenya nzima na kuondoka.
Ukabila utawafanya mtaanza kuchapana ninyi kwa ninyi.
 
Hahahaha!!! Yaani nchi huru mpaka leo bado inalilia wakoloni!!? Kwahiyo pasipo British & US nyie hamuwezi kujisimamia?
Hebu tuambie strategy mtakayoitumia wakati Su-30 na Mig-29 zikitia timu?
Hovyo kabisa..
 
Hebu niambie mbona Russia na Syrian Airforce wako na Mig na Sukhoi huko Syria kwa miaka zaidi ya saba sasa lakini terrorists akina ISIS na Al qaida wanawahemesha hadi sasa. Kama unadhani airforce ndio itashinda vita fikiria mara mbili. Army ndio kila kitu, ground battle ndio inaamua nani atashinda vita. Assad ilibidi atumie ground battle kumaliza ISIS. Ndege haiwezi shinda vita. Marekani wako Afghanistan baada ya miaka kumi na saba na vita bado inaendelea huku Taliban wako na AK-47 na RPG Pekee. Vita sio silaha, uliza Marekani ambao wako Afghanistan kutoka mwaka wa 2001. Walidhani vita ni silaha, waliwadharau Taliban wakidhani watawamaliza baada ya miezi michache tu. Vita sio silaha ninarudia. Marekani Somalia 1993 walitandikwa vita hawajawahi ona. Apana cheza na Farah Idid, Farah Idid aliangusha black hawks mbili na kuuwa soldiers kumi na nane wa Marekani kwa siku moja tu. Waria walikuwa na AK-47 na RPG pekee huku Marekani wakiwa na chopper, mashine gun, M-16, bazooka, grenade, smoke grenade, stun grenade na kadhalika. Vita sio silaha.
 
Unamanisha kwamba mtatuweza kwenye ground au sijakuelewa..
 
Sasa tuseme ni kweli kwamba nyinyi watu mna jet kali kutushinda, hio haimaanishi mnaeza tushinda vita. Vita inahusisha mambo mengi sana, ndio maana Marekani hawakuweza kushinda North Vietnam. Ilibidi Marekani waondoke baada ya 'Tet offensive' wakawaacha marafiki zao wa south Vietnam matatani, kisha North Vietnam ikaingia South Vietnam na kushinda vita na kuunganisha nchi nzima, ikawa inaitwa Vietnam. Marekani walikuwa na silaha nzuri tu bali hawakuweza kuwashinda vietcongs. Unajua maana ya vita kweli?
Katika uzoefu wa Vita, Tanzania haina wa kulinganisha na nchi yoyote hapa Africa kusini mwa jangwa la Sahara. Uzoefu wa Vita unapatikana kwa kushiriki vita vingi na kushinda, TPDF wamepigana na kushinda Vita vingi kuliko nchi yoyote hapa Africa.
 
Hebu niambie mbona Russia na Syrian Airforce wako na Mig na Sukhoi huko Syria kwa miaka zaidi ya saba sasa lakini terrorists akina ISIS na Al qaida wanawahemesha hadi sasa. Kama unadhani airforce ndio itashinda vita fikiria mara mbili. Army ndio kila kitu, ground battle ndio inaamua nani atashinda vita. Assad ilibidi atumie ground battle kumaliza ISIS. Ndege haiwezi shinda vita. Marekani wako Afghanistan baada ya miaka kumi na saba na vita bado inaendelea huku Taliban wako na AK-47 na RPG Pekee. Vita sio silaha, uliza Marekani ambao wako Afghanistan kutoka mwaka wa 2001. Walidhani vita ni silaha, waliwadharau Taliban wakidhani watawamaliza baada ya miezi michache tu. Vita sio silaha ninarudia. Marekani Somalia 1993 walitandikwa vita hawajawahi ona. Apana cheza na Farah Idid, Farah Idid aliangusha black hawks mbili na kuuwa soldiers kumi na nane wa Marekani kwa siku moja tu. Waria walikuwa na AK-47 na RPG pekee huku Marekani wakiwa na chopper, mashine gun, M-16, bazooka, grenade, smoke grenade, stun grenade na kadhalika. Vita sio silaha.
Kwanza kabisa ukiongelea suala ya Syria jua kabisa ni maslahi mengi pale yanaguswa.
Kwanza biashara ya mafuta, huku mahasimu wawili wakishindana.
Huko acha kabisa kuongelea. Hapata nataka tuongee hivi nyie kenya ikitokea mkavamiwa na TZ au Uganda mtajitetea vipi?
 
1539515330392.png

1539515398765.png
 
Kwanza kabisa ukiongelea suala ya Syria jua kabisa ni maslahi mengi pale yanaguswa.
Kwanza biashara ya mafuta, huku mahasimu wawili wakishindana.
Huko acha kabisa kuongelea. Hapata nataka tuongee hivi nyie kenya ikitokea mkavamiwa na TZ au Uganda mtajitetea vipi?
Nishakuambia tutawanajisi kwenye ground na husikii. Vita hupiganwa kwenye ground
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na kama kuna Vita kenya itajiandaa vilivyo na kununua heavy weaponary kutoka US. Thats why Israel hiwezi pigwa na enemies wake ambao hutumia Russian weapons. In an event of any war The US & Britain will always protect and fight alongside their allies! I think by now unajua The British & US have their Military base in Kenya! Kuanzisha vita na kenya ni Kuchokoza the Capitalist allies directly & you will be met with fire & Fury never seen in this world!
No wonder somewhere in Kenya this happens.
FB_IMG_1539516784405.jpg
 
Seriously, nani hajui kwenye army Kenya tuna army strong? Equipment kutoka U.S.A, combat training kutoka U.S.A na Britain, mtawezana?
Vinasura nzuri but kwenye medani ya vita ni hovyo kabisa
 
Nishakuambia tutawanajisi kwenye ground na husikii. Vita hupiganwa kwenye ground
Kha!! Huu ni utani sasa. Yaani kenya ishindane na Tanzania kwenye ground!!?.
Kwahiyo tukubaliane kuwa kwenye Air tunawapiga kipigo cha mbwa koko.
Sasa hebu niambie silaha gani mnaweza kutumia kwenye ground?
Kwenye ground tunaanza na hii

Type-59G tanks
1539518489462.png
 
Back
Top Bottom