East Air Force - Sukhoi and Mikoyan

Hahahaha!!! Yaani nchi huru mpaka leo bado inalilia wakoloni!!? Kwahiyo pasipo British & US nyie hamuwezi kujisimamia?
Hebu tuambie strategy mtakayoitumia wakati Su-30 na Mig-29 zikitia timu?
 
Hata kama tutakuja kwenye war aggressiveness kenya hawana. Only 3 Alshabab waliwatoa jasho kenya nzima na kuondoka.
Ukabila utawafanya mtaanza kuchapana ninyi kwa ninyi.
 
Hahahaha!!! Yaani nchi huru mpaka leo bado inalilia wakoloni!!? Kwahiyo pasipo British & US nyie hamuwezi kujisimamia?
Hebu tuambie strategy mtakayoitumia wakati Su-30 na Mig-29 zikitia timu?
Hovyo kabisa..
 
Hahahaha!!! Yaani nchi huru mpaka leo bado inalilia wakoloni!!? Kwahiyo pasipo British & US nyie hamuwezi kujisimamia?
Hebu tuambie strategy mtakayoitumia wakati Su-30 na Mig-29 zikitia timu?
Hebu niambie mbona Russia na Syrian Airforce wako na Mig na Sukhoi huko Syria kwa miaka zaidi ya saba sasa lakini terrorists akina ISIS na Al qaida wanawahemesha hadi sasa. Kama unadhani airforce ndio itashinda vita fikiria mara mbili. Army ndio kila kitu, ground battle ndio inaamua nani atashinda vita. Assad ilibidi atumie ground battle kumaliza ISIS. Ndege haiwezi shinda vita. Marekani wako Afghanistan baada ya miaka kumi na saba na vita bado inaendelea huku Taliban wako na AK-47 na RPG Pekee. Vita sio silaha, uliza Marekani ambao wako Afghanistan kutoka mwaka wa 2001. Walidhani vita ni silaha, waliwadharau Taliban wakidhani watawamaliza baada ya miezi michache tu. Vita sio silaha ninarudia. Marekani Somalia 1993 walitandikwa vita hawajawahi ona. Apana cheza na Farah Idid, Farah Idid aliangusha black hawks mbili na kuuwa soldiers kumi na nane wa Marekani kwa siku moja tu. Waria walikuwa na AK-47 na RPG pekee huku Marekani wakiwa na chopper, mashine gun, M-16, bazooka, grenade, smoke grenade, stun grenade na kadhalika. Vita sio silaha.
 
Unamanisha kwamba mtatuweza kwenye ground au sijakuelewa..
 
Katika uzoefu wa Vita, Tanzania haina wa kulinganisha na nchi yoyote hapa Africa kusini mwa jangwa la Sahara. Uzoefu wa Vita unapatikana kwa kushiriki vita vingi na kushinda, TPDF wamepigana na kushinda Vita vingi kuliko nchi yoyote hapa Africa.
 
Kwanza kabisa ukiongelea suala ya Syria jua kabisa ni maslahi mengi pale yanaguswa.
Kwanza biashara ya mafuta, huku mahasimu wawili wakishindana.
Huko acha kabisa kuongelea. Hapata nataka tuongee hivi nyie kenya ikitokea mkavamiwa na TZ au Uganda mtajitetea vipi?
 
Nishakuambia tutawanajisi kwenye ground na husikii. Vita hupiganwa kwenye ground
 
No wonder somewhere in Kenya this happens.
 
Seriously, nani hajui kwenye army Kenya tuna army strong? Equipment kutoka U.S.A, combat training kutoka U.S.A na Britain, mtawezana?
Vinasura nzuri but kwenye medani ya vita ni hovyo kabisa
 
Nishakuambia tutawanajisi kwenye ground na husikii. Vita hupiganwa kwenye ground
Kha!! Huu ni utani sasa. Yaani kenya ishindane na Tanzania kwenye ground!!?.
Kwahiyo tukubaliane kuwa kwenye Air tunawapiga kipigo cha mbwa koko.
Sasa hebu niambie silaha gani mnaweza kutumia kwenye ground?
Kwenye ground tunaanza na hii

Type-59G tanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…