East Air Force - Sukhoi and Mikoyan

Seriously, nani hajui kwenye army Kenya tuna army strong? Equipment kutoka U.S.A, combat training kutoka U.S.A na Britain, mtawezana?
Equipment zipi hizo sasa. Wote tunajua kwenya have F-5E
 
God forbid!!! Singetaka vita vyoyote vitokee hapa afrika mashariki maana vitaleta hasara nyingi mno ikiwamo uchumi wa nchi husika kudorora. Tuendelee kudumisha amani. Mungu ibariki afrika
Tunahitaji vita itokee Afrika Mashariki angalau within the next decade, ili tunyooshane na kuheshimiana, tofauti na hali ilivyo sasa Kiuchumi kijamii na kisisasa . A couple of rounds of "friendly wars" in East Africa will do!
 
Naona hili dude linafyatua mabom na zile risasi nene, nzito, zile zinakata kabisa kiwiliwili zikipiga mtu kwa tumbo.
 
Hata kama tutakuja kwenye war aggressiveness kenya hawana. Only 3 Alshabab waliwatoa jasho kenya nzima na kuondoka.
Ukabila utawafanya mtaanza kuchapana ninyi kwa ninyi.
Vp vijana wa mapang congo
 
Kawauliza jwtz tz walifanyiwa nn na vijana wa mapang..yani unavamiwa na vijana wa mapana aisee...
 
Kwenye air mko sawa. Ngoja nizame nitarudi kupost Kenya army equipment. Wacha kwanza nitazame mechi Kenya vs Ethiopia
 
Kwenye ground wala usiseme kabisa watakucheka watu. TZ investment yake kubwa ni kwenye Ground.
 
Sijakuelewa hapa. Hebu jaribu kufafanua kidogo, ili mjadala uwe mpana zaidi. Mimi nitakuja na nondo nyingi tu za kuelezea.
wewe huwa ni mzalendo kupitiliza uko kama mtangazaji wa mpira wa Kenya wa kipindi kilee, so kukuamini ni shida
 
Soma historia..wakati Moja idi amin alitaka kutumia hayo majet y Russia kubomb NRB..Israel n USA wakarespond ilibidi a acheze chini
Hahahaha!!! Yaani nchi huru mpaka leo bado inalilia wakoloni!!? Kwahiyo pasipo British & US nyie hamuwezi kujisimamia?
Hebu tuambie strategy mtakayoitumia wakati Su-30 na Mig-29 zikitia timu?
 
Hovyo kabisa.. Unategemea wazungu wakulilinde.... What if wakiamua kuondoka
 
Soma historia..wakati Moja idi amin alitaka kutumia hayo majet y Russia kubomb NRB..Israel n USA wakarespond ilibidi a acheze chini
Hahahaha!!! Yaani nchi huru mpaka leo bado inalilia wakoloni!!? Kwahiyo pasipo British & US nyie hamuwezi kujisimamia?
Hebu tuambie strategy mtakayoitumia wakati Su-30 na Mig-29 zikitia timu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…