East Air Force - Sukhoi and Mikoyan

East Air Force - Sukhoi and Mikoyan

This is Kenya Airforce current inventory

Fighter
Northrop F-5 fighter F-5E - 17

Reconnaissance
Cessna 208 surveillance / light transport - 1

Transport
Harbin Y-12 transport - 11
Antonov An-28 - 2 on order
DHC-5 Buffalo - 4
C-27J Spartan - 2 on order
Bombardier Dash 8 - 3

Helicopters
Bell UH-1 utility UH-1H - 8
Bell AH-1 attack AH-1F - 2
Mil Mi-17 utility / transport Mi-171 - 2
Harbin Z-9 utility - 6
Airbus H125M utility - 4
SA 330 Puma France utility / transport - 14
MD 500 Defender United States light attack 530F - 40 in service - 12 on order

Trainer Aircraft
Northrop F-5 conversion trainer F-5F - 4
Short Tucano trainer Tucano 51 - 12
Grob G 120 Germany trainer 120A - 6
Bulldog T1 United Kingdom basic trainer - 11

This is Tanzania Airforce
Shenyang F-7 fighter - 11
Shenyang J-6 China fighter FT-6 - 1
Reconnaissance
Seabird Seeker Jordan surveillance - 1
Transport
Antonov An-28 Poland transport - 1
Shaanxi Y-8 China transport - 2
Harbin Y-12 China transport - 2
Helicopters
Bell 412 United States utility - 2
Airbus H155 France utility - 2
Airbus H215 France utility - 2
Airbus H225 France utility - 2
Airbus H125M France utility Unknown number
Trainer Aircraft
Hongdu JL-8 China jet trainer K-8 - 5
Chengdu J-7 People's Republic of China conversion trainer FT-7 - 2
Shenyang J-6 People's Republic of China conversion trainer FT-6 - 1

These are just numbers on the Air force strength - they show which country is more equipped.
- key points - check - quality and size of fighter jets, attack air-craft and transport craft...then be honest not just shouting like Kinjikitile Ngwale

Summary
Kenya
Fighters - 17
Transport fixed wing - 22
Attack n Utility helicopter - 88
Trainer - 33
Tanzania

Fighters - 12
Transport fixed wing - 5
Attack n Utility helicopter - 8
Trainer - 8
 
Ukisoma kwa makini maelezo yangu utaelewa nilikuwa ninamaanisha nini.
Su-35 hiyo inakuwa kwaajili ya kuangamiza. Lakini likija suala la interception Mikoyan zinafaa.
Hapo nilikuwa ninaongelea ikiwa kenya wataweza kufanya upgrade ya Air force yao na kupata F-22 basi sisi tutaenda kwenye Mig-35 au J-20.

Kwanini kwa upande wa A-100 MRL imewezekana? Maana ni nchi tatu tu zinazomilk hizi silaha (China, Pakistan na Tanzania)
Mkuu kwa huu mstsri wako kwamba A
-100 MRL zinamilikiwa na nchi tatu tu na tanzani akiwa ni miongoni mwao je unahisi silaha inayomilikiwa na Tanzania south ama morroco wanashindwa kuinunua ama ni swala la priority tu
 
Hello wana East.
Leo nakuja na ulinzi wa anga katika nchi za East Africa hususani nchi zinazotumia Ndege vita generation za kutoka Russia.
Kuna makampuni haya mawili ya Russia ambayo yanatengeneza ndege.

UTANGULIZI
Baada ya USSR kuvunjika, utengenezaji na uuzaji wa slaha kutoka katika makampuni ya ndege nchini Russia uli[ungua kwa kasi. Ndipo 20 February 2006 raisi wa Russia Vladimir Putin alisaini Presidential Decree No. 140 kwamba Ilyushin, Irkut, Mikoyan, Sukhoi, Tupolev na Yakovlev kwamba yatakuwa makampuni ya United Aircraft Corporation (joint-stock company) ili kuwezesha uzalishaji kuongezeka.

Bila kupoteza muda kabisa tunakuja hapa EAC. Utagundua kwamba Uganda wamenunu ndege vita kutoka Sukhoi ambayo inakwenda kwa jina Su-30. Huku kwa upande mwingine Tanzania ikiendelea na ndege kutoka Mikoyan. Kenya yenyewe imejitenga kabisa katika hili suala yenyewe ikitumia ndege vita kutoka USA(Steal Technology). Tanzania imekuwa ikitumia series mbalimbali za Mikoyan. Kulingana na website ya TPDF inaonesha kwamba Kwa sasa Tanzania inatumia Ndege vita aina ya Mig-29.
Mig-29 inayotumiaka Tanzania ipo upgrated kuweza kufiti 4.5 Generation of Fighter Jets.
Tembelea hapa: Mwanzo-Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania
View attachment 897740
Mig-29
View attachment 897750
Su-30

Tofauti ya Sukhoi Generation na Mikoyan generation
Sukhoi zimetengenezwa kwa ajili ya long range fighting lakini Mikoyan zimetengenezwa kwaajili ya short range fighting. Kwa upange wa ndege za USA hizi ndege mbili unaweza ukafananisha kidogo na F-15 and F-16. Japo Su-30 na Mig-29 zipo na uwezo mkubwa dhidi ya F-15 and F-16.

Kwa upande wa anga utagundua Uganda na Tanzania wananunua silaha kwa kushirikiana. Ikumbukwe ndege hizi Su-30 na Mig-29 zilitengenezwa katika nyakati tofauti, ikumbukwe kuwa mig-29 zilitengenezwa wakati mmoja na Su-27. Lakini kumekuwa na upgrade kutoka Su-27 mpaka Su-30 wakati huo huo jina la mig-29 limebakia pale.

Mpaka kwa sasa Mig-35 na Su-35 zimetengenezwa na lengo ni lile lile tu.
Ikumbukwe kwamba Mikoyan zimetengeneza kwaajili ya kuwa na speed kubwa wakati Sukhoi zimetengenezwa kwaajili ya kwenda mbali. Wataalamu wa mambo ya kivita wanasema Mikoyan zinafaa sana kwaajili ya interception kutokana na speed zake kuwa kubwa. Wakati Sukhoi zenyewe zimetengenezwa kwa lengo la air superior.

Kama tunataka fast interceptor Mig-29 ni bora zaidi inazizidi F-15/16/18, Su-27/30/35, Rafale, Eurofighter etc. Inazidiwa kidogo na F-22.
Tofauti ya Su-30 na Mig-29 ni kwamba Su-30 inaweza ikaonekana kiurahisi kwenye radar kutokana na umbo lake kuwa kubwa na kwamba inabeba siraha nzito nzito. Huku Mig-29 ni vigumu kuiona kwenye radar na kwamba speed yake ni kubwa.

Conclusion
Kama itatokea vita kati ya Uganda na Kenya. Kenya itapigwa hand down kutokana na ubora wa fighter jets za Uganda.
Kama itatokea Vita Kati ya Tanzania na Kenya. Kenya itapigwa hand down kutokana na ubora wa fighter jets za Tanzania.
Kama itatokea Vita na tayari ilishawahi kutokea kati ya Tanzania na Uganda kwa sasa. Uganda hawezi kutumia ndege yake Su-30 kutokana na kwamba itaangushwa na SAM zilizopo TZ. Vita ikitokea kati ya Tanzania na Uganda Fighter Jets zilizopo zitakuwa siyo primary. Hata hivyo wanajeshi wa Uganda wote wamepata mafunzo toka TZ. Kwahiyo TZ itashinda Hand down.

Mwisho kabisa: Strategies za kila nchi zinatofautiana. Kwa upande wa Kenya tunaona kuwa wanatumia pesa nyingi sana kununua zana ambazo hazina uwezo kwenye medani. Kenya inatumia F-5 ambazo ni second generation. Hata kama Kenya itatumia F-15 au F-16 bado katika haitaweza kufua dafu.
Ushauri kama kenya inataka kweli kuimaridha Air base wanatakiwa wanunue F-22. Na ikitokea hivyo basi nchi jirani kama Uganda na Tanzania watanunua Su-35 na J-20. Upande wa strategy kenya imezidiwa kidogo.

Karibuni sasa tujadili kwa undani zaidi.
We mtu kweli ni mwenda wazimu, yaani unaishi fantacy world kabisa!!!!!!!
Uganda iliponunua Su-30MK ilikua ni breaking news Africa nzima manake ilikua ni unprecedented nchi kama ugandakununua ndege advanced kama hio, ukiskia pesa walizotoa kupata hizo ndege ulikua utaelewa kwanini....

As for Tanzania kuuziwa Mig-29 sita na urusi haikuwa breaking news, unajua kwanini??? Mig29B iliyotengezewa miaka ya 90's moja inauzwa $11Million. Upgraded Mig29s,m zilizo anza kutengenezwa 2013 zinauzwa $22Million per unit.

Tanzania itapewa six Mig 29 for a total price of $50m, Which translates to about $8million a piece

RSK MiG will deliver six MiG-29 fighters to Tanzania for a total of nearly 50 million dollars. Up to now, the Tanzanian air force has been satisfied with aging MiGs of Chinese manufacture. MiG Flies to Africa

Hii inamanisha hizo mig fighter zenu ni zile za kitambo ,tena second hand!!!!!

-------------

Alafu wacha ni kujulishe secret moja, Ndege za russia ziko na very good design, Kwa aero dynamics na airframe hakuna nchi inawaweza, ukiangalia ndege kama Su-35,Hilo lidege lime designiwa na airframe kali mpaka hata ukizima engine mabawa yake yanaweza kuisaidia ku glide kwa hewa hadi itue. Yaani ndege za russia zikienda head to head na ndege za marekani kwa dog-fight bila kutumia missile -wakitumia cannon pekee kama vile ndege za WW2,, ndege za marekani zita denguliwa zote kutoka angani.
Lakini pale mmarekani imemuezea mrusia ni kwa technologia ya mordern avionic systems na air-to-air Missile systems, kwa mfano technologia ya AAM ya marekani AMRAAM na ASRAAM iko miaka mingi sana mbele ya technologia za russia. Hizi technologia zinaondoa the need for dog fight, Ndege ya russia itakua na radar inaiona ndege ya mmarekani lakini hawezi kumrushia makombora hadi afike karibu, wakati ndege za mmarekani zinaweza kuachilia kombora the moment unaonekana kwa radar tena kombora litakuandama hadi likulipue.Hii ndo sababu kuu russia ime consantrate kuweka Surface to Air missile defence system kule Syria manake hata wakiwaachia syra hizo Mig na Su wanajua zitaaibishwa zikijaribu ku intercept ndege za israel na marekani ambazo ziko na superio avionics na AAM
 
US needs a space force because Russia is ahead on it, Trump says
 
We are talking the realty boy. Kenya using Second Generation Fighter Jest. While Uganda and Tanzania use 4th Generation.
Mambo hayo ni magumu sana. Hata hivyo hizo F Series za Lockheed Martins usizichukulie kiuwepesi sana.
Ama tukijikita kwenye Uwezo kwa ndege vita, kati ya US na Russia,ni debate kali sana,hasa 5th Generation kama F22 Raptor na F35 Stealth(US) Vs Su-35 (Russia)! Hapo ndipo kuna mpambano mkali sana.
 
We mtu kweli ni mwenda wazimu, yaani unaishi fantacy world kabisa!!!!!!!
Uganda iliponunua Su-30MK ilikua ni breaking news Africa nzima manake ilikua ni unprecedented nchi kama ugandakununua ndege advanced kama hio, ukiskia pesa walizotoa kupata hizo ndege ulikua utaelewa kwanini....

As for Tanzania kuuziwa Mig-29 sita na urusi haikuwa breaking news, unajua kwanini??? Mig29B iliyotengezewa miaka ya 90's moja inauzwa $11Million. Upgraded Mig29s,m zilizo anza kutengenezwa 2013 zinauzwa $22Million per unit.

Tanzania itapewa six Mig 29 for a total price of $50m, Which translates to about $8million a piece

RSK MiG will deliver six MiG-29 fighters to Tanzania for a total of nearly 50 million dollars. Up to now, the Tanzanian air force has been satisfied with aging MiGs of Chinese manufacture. MiG Flies to Africa

Hii inamanisha hizo mig fighter zenu ni zile za kitambo ,tena second hand!!!!!

-------------

Alafu wacha ni kujulishe secret moja, Ndege za russia ziko na very good design, Kwa aero dynamics na airframe hakuna nchi inawaweza, ukiangalia ndege kama Su-35,Hilo lidege lime designiwa na airframe kali mpaka hata ukizima engine mabawa yake yanaweza kuisaidia ku glide kwa hewa hadi itue. Yaani ndege za russia zikienda head to head na ndege za marekani kwa dog-fight bila kutumia missile -wakitumia cannon pekee kama vile ndege za WW2,, ndege za marekani zita denguliwa zote kutoka angani.
Lakini pale mmarekani imemuezea mrusia ni kwa technologia ya mordern avionic systems na air-to-air Missile systems, kwa mfano technologia ya AAM ya marekani AMRAAM na ASRAAM iko miaka mingi sana mbele ya technologia za russia. Hizi technologia zinaondoa the need for dog fight, Ndege ya russia itakua na radar inaiona ndege ya mmarekani lakini hawezi kumrushia makombora hadi afike karibu, wakati ndege za mmarekani zinaweza kuachilia kombora the moment unaonekana kwa radar tena kombora litakuandama hadi likulipue.Hii ndo sababu kuu russia ime consantrate kuweka Surface to Air missile defence system kule Syria manake hata wakiwaachia syra hizo Mig na Su wanajua zitaaibishwa zikijaribu ku intercept ndege za israel na marekani ambazo ziko na superio avionics na AAM
Kwanza asante kwa kukubali kwamba TZ zipo mig-29 tena zilinunuliwa enzi za JK akiwa waziri wa mambo ya nje.
Hata hivyo F-5 ni mtoto mdogo sana kwa mig-29. Hata yule F-16 bado ni mtoto kwa mig-29.
Sasa unatakiwa uelewe Tanzania imefanyia upgrade ndege vita zake zote.
 
We mtu kweli ni mwenda wazimu, yaani unaishi fantacy world kabisa!!!!!!!
Uganda iliponunua Su-30MK ilikua ni breaking news Africa nzima manake ilikua ni unprecedented nchi kama ugandakununua ndege advanced kama hio, ukiskia pesa walizotoa kupata hizo ndege ulikua utaelewa kwanini....

As for Tanzania kuuziwa Mig-29 sita na urusi haikuwa breaking news, unajua kwanini??? Mig29B iliyotengezewa miaka ya 90's moja inauzwa $11Million. Upgraded Mig29s,m zilizo anza kutengenezwa 2013 zinauzwa $22Million per unit.

Tanzania itapewa six Mig 29 for a total price of $50m, Which translates to about $8million a piece

RSK MiG will deliver six MiG-29 fighters to Tanzania for a total of nearly 50 million dollars. Up to now, the Tanzanian air force has been satisfied with aging MiGs of Chinese manufacture. MiG Flies to Africa

Hii inamanisha hizo mig fighter zenu ni zile za kitambo ,tena second hand!!!!!

-------------

Alafu wacha ni kujulishe secret moja, Ndege za russia ziko na very good design, Kwa aero dynamics na airframe hakuna nchi inawaweza, ukiangalia ndege kama Su-35,Hilo lidege lime designiwa na airframe kali mpaka hata ukizima engine mabawa yake yanaweza kuisaidia ku glide kwa hewa hadi itue. Yaani ndege za russia zikienda head to head na ndege za marekani kwa dog-fight bila kutumia missile -wakitumia cannon pekee kama vile ndege za WW2,, ndege za marekani zita denguliwa zote kutoka angani.
Lakini pale mmarekani imemuezea mrusia ni kwa technologia ya mordern avionic systems na air-to-air Missile systems, kwa mfano technologia ya AAM ya marekani AMRAAM na ASRAAM iko miaka mingi sana mbele ya technologia za russia. Hizi technologia zinaondoa the need for dog fight, Ndege ya russia itakua na radar inaiona ndege ya mmarekani lakini hawezi kumrushia makombora hadi afike karibu, wakati ndege za mmarekani zinaweza kuachilia kombora the moment unaonekana kwa radar tena kombora litakuandama hadi likulipue.Hii ndo sababu kuu russia ime consantrate kuweka Surface to Air missile defence system kule Syria manake hata wakiwaachia syra hizo Mig na Su wanajua zitaaibishwa zikijaribu ku intercept ndege za israel na marekani ambazo ziko na superio avionics na AAM
Halafu hujui kuwa Marekani amezirudisha F-35 zake. Hujui kuwa amekataza zisitumike. Su-35 ni mnyama mwingine usiombe. Kwa upande wa Air to Air missiles and air to ground missiles usiombe. Su-35 is air superior. Halafu unatakiwa ujue strategies za Sukhoi na Mikoyan.
 
This is Kenya Airforce current inventory

Fighter
Northrop F-5 fighter F-5E - 17

Reconnaissance
Cessna 208 surveillance / light transport - 1

Transport
Harbin Y-12 transport - 11
Antonov An-28 - 2 on order
DHC-5 Buffalo - 4
C-27J Spartan - 2 on order
Bombardier Dash 8 - 3

Helicopters
Bell UH-1 utility UH-1H - 8
Bell AH-1 attack AH-1F - 2
Mil Mi-17 utility / transport Mi-171 - 2
Harbin Z-9 utility - 6
Airbus H125M utility - 4
SA 330 Puma France utility / transport - 14
MD 500 Defender United States light attack 530F - 40 in service - 12 on order

Trainer Aircraft
Northrop F-5 conversion trainer F-5F - 4
Short Tucano trainer Tucano 51 - 12
Grob G 120 Germany trainer 120A - 6
Bulldog T1 United Kingdom basic trainer - 11

This is Tanzania Airforce
Shenyang F-7 fighter - 11
Shenyang J-6 China fighter FT-6 - 1
Reconnaissance
Seabird Seeker Jordan surveillance - 1
Transport
Antonov An-28 Poland transport - 1
Shaanxi Y-8 China transport - 2
Harbin Y-12 China transport - 2
Helicopters
Bell 412 United States utility - 2
Airbus H155 France utility - 2
Airbus H215 France utility - 2
Airbus H225 France utility - 2
Airbus H125M France utility Unknown number
Trainer Aircraft
Hongdu JL-8 China jet trainer K-8 - 5
Chengdu J-7 People's Republic of China conversion trainer FT-7 - 2
Shenyang J-6 People's Republic of China conversion trainer FT-6 - 1

These are just numbers on the Air force strength - they show which country is more equipped.
- key points - check - quality and size of fighter jets, attack air-craft and transport craft...then be honest not just shouting like Kinjikitile Ngwale
Where does this information come from!?
 
Hakuna anaejua. Ila ujue F-22 na F-35 haziuzwi na hakuna export version. Only huwa zinatolewa kwa washirika wamerakani tena kwa idhini ya bunge la congress na white house ndio ziende. Uingereza na israeli tu ndio wamepata, na tena F-35 tu. F- 22 haijauzwa kwa nxhi yoyote ile.

Unaposemea upgrade jua ni gharama. Currently nchi zetu hizi hazina uwezo wa kuoperate stealth. Ni very expensive 10 times kuliko hata ndege tulizonazo.
That why hata russia walifunga project ya T-50 moja ya chanzo ni gharama kubwa kupita kiasi.

To me ni bado sana sana, na mpaka nchi husika waruhusu. Na itachukua muda sana
Hili nakubaliana na wewe,ni baada ya kusoma sana hasa hizo F22 na F35. F22 zina gharama sana,hadi wenyewe US na jeuri yao wamesitisha. Na Unit zote walizotengeneza hazizidi 200(roughly 190+)! Hata hizo F35 nazo zina bei kubwa sana halafu running cost ikiwa ni kubwa. Lakini hata hizo Sukhoi Su-35 nazo bei kubwa. Kwa nchi zetu hizi inakua vigumu hasa running Cost.
 
ha ha ha , this analysis is just mediocre. Kenya has been spending more than Uganda, Tz and Rwanda combined in the military for the last 9yrs and you want to tell us a small assumed advantage in jets will make all the difference.

Just a few jets will not win a war, so many factors are involved.
-Air defense systems
how sure are we that the only 6 jets that uganda have will even get to their targets in Kenya ??
-Training quality of pilots
Ugandan pilots could not even fly helicopters in a friendly territory towards somalia, they all crashed in the Mt Kenya slopes.
Our pilots are simply the best trained in our region and have clocked more flight hours than any of these neighbors
-Logistics
We have the most equipped military transport facilities in this part of Africa, if you can't transport soldiers and support material to the battle scene you are well cooked.

-Attack helicopters - we are way ahead in this, just check the numbers...

In the next 10yrs , with the upgrades in equipment and training of KDF, even Ethiopia will be no match.

And please Tanzania people, parading some few truck mounted artillery year in-year-out is not a strength, just scare tactics..tunawajua

LET ME SUMMARIZE THIS ONCE AND FOR ALL, NO EAST AFRICAN NATION CAN BEAT KENYA IN A CONVECTIONAL WAR.Unless you try guerrilla tactics, but we have had a 7yr experience in Somali also in that area.
Unajua kujipa maujiko,vita siyo maneno mkuu, na uzuri wake kila kitu ambacho kila nchi imekiweka public ni sehemu ndogo tu ya Uwezo wake. Mambo mengi ni CLASSIFIED! Kwa sababu data nyingi ni za google tu,ambao nina uhakika wana baadhi ya Data lakini siyo perfect and purely Genuine
 
Dude, if Tz has classified military capabilities, what of Kenya ?? I have stated Kenyas strengths in terms of equipment and current experience, nyinyi ni payuka tu..accept and move on.
 
mtafute Charles Njonjo ndo atakwambia kuhusu uwezo wa kivita wa Tanzania. Tulikuwa tuchape Jomo yeye ndoalimwambia apunguze mdomo. Tulikuwa tumefika boda ya Kenya
 
ha ha ha The day TZ decides to invade Kenya is the day they will know what Kenyans are made of, we are tribal and divided on internal issues, but when the FLAG CALLS, we are solid. That day will forever be in your memories.

If your nation has never forgotten or recovered from the war that you fought against Iddi Amin?? If you ever engage Kenya, the stories will be told for a thousand years.
 
Yes wamekosea. And Nikwambie upgrade zilizofanyika india ni kwa ajili ya jeshi la anga la india tu. Mig-29K na Mig -29KUB.

India ndio walioupgrade hizo mig-29 iliziweze kufit kwenye under license. Sasa nikuulize TPDF ni waongo kuweka hiyo picha?
 
Sio source ya kutegemea but more acurate.
Wikipedia is very reliable when there is no official record because it's collaborated from many sources and editable, not like some single sourced blogs managed by romour mongers.
 
Nimerudi kaka. Kwani kunatatizo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Akiludi atakuwa na roho ngumu kama ya paka[emoji23][emoji23][emoji23] Maelezo mengi kumbe source Wikipedia[emoji23][emoji23][emoji23]
 
vulcan wewe unaweza ku-edit Kwenye Wikipedia?
Kajaribu halafu utupe mrejesho.

Back
Top Bottom