[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] So you want to lie to us Hizo weapons mko nazo na in the 1st place Militarisation haikuwa Africa before colonization? Apart from Ethiopia, No other African Nation had a military. Tanzania mlikuwa na Majimaji rebellion. Mzungu ndiye alileta Militarism in Africa na hadi sasa tunatumia Masilaha alizo zitengeneza! There are strict rules of Military purchasing power in every nation in the world. Huwezi amka na kutudanganya Tz inaweza jismamia kwa vita for even 3 days without external support!
*Economy hamna.
*Experience hamna.
*Infrastructure hamna.
*Industry hamna
Msitudanganye hapa ati mnaeza pigana vita kivyenyu. Hata KDF inapigana Somalia Under AMISOM ambapo Uganda,Ethiopia,Burundi,USA,Britain,Russia na Somalia wameungana Kupigana na Al shabaab. Tz ndio kina nani sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]