East Air Force - Sukhoi and Mikoyan

East Air Force - Sukhoi and Mikoyan

nimekwambia mtafute Charles Njonjo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wewe nikijana mdogo sana kujua hayo mambo. Au tafuta mwajeshi wakipindi cha Jomo atakwambia. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ tutawapiga kipigo cha mbwa koko
Kenya na Tanzania hazijawahi kupigana, wacha uongo wewe Mcongo
 
Somalia mmeshindwa mtaiweza TZ?? Bila Uganda kuja kuwasaidia Somalia sijui ingekuwa vipi. Tena nikundi tu lina waenyesha
Can you get your facts right, we went to somalia in 2011, Uganda was in somalia from 2007, so who went there to help the other.
For now there is some stability in Somalia because of Kenya in the Southern sector, other-wise before that Uganda was holed in Mogadishu while al-shabab roamed all over.

Tanzania soldiers were chased by gum-boot wearing,machete carrying militia in DRC, in somalia you will be eaten like cookies.

The kind of war we are fighting in somalia is more complicated, war with TZ will be cake. Stop exaggerating your self-worth, if Tz had the guts, you would be in Somalia "winning".
 
Sorry unaweza Ukaedit article Kwenye Wikipedia? Naomba ufanye hivyo na iweke hiyo article before/after editing.

Naona unaichukulia Wikipedia kama Kichekesho flani hivi.
Punguza maneno kaedit uweke screenshot tuone.
it can never be accurate. Annel amekuonyesha how it can be edited[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi unafikiri Wikipedia ni kitu kidogo sana kiasi kwamba yeyote kwa wakati wowote anaweza Akaedit article kienyeji enyeji tu.
Naomba Ukaedit article ulete Ushahidi wa Screenshot huku.
Imgekua rahisi kama unavyosema Wikipedia hakuna ambaye angeifuatilia.
[emoji23][emoji23][emoji23] eti wikipedia[emoji23][emoji23][emoji23]you are real from a Donkeys Penis Tower
 
Can you get your facts right, we went to somalia in 2011, Uganda was in somalia from 2007, so who went there to help the other.
For now there is some stability in Somalia because of Kenya in the Southern sector, other-wise before that Uganda was holed in Mogadishu while al-shabab roamed all over.

Tanzania soldiers were chased by gum-boot wearing,machete carrying militia in DRC, in somalia you will be eaten like cookies.

The kind of war we are fighting in somalia is more complicated, war with TZ will be cake. Stop exaggerating your self-worth, if Tz had the guts, you would be in Somalia "winning".
twende somalia kwa maslahi gani??๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ au unazani vita nikuingia tu. waganda wali wasaidia. mlikuwa mnapewa kipigo cha mbwa koko.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kenya vita hamuwezi kabisa. ground mko zero. We will chop your heads like a snake.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Tukimaliza nchi tunampatia Odinga.
 
Dude you should learn how to write a proper english sentence.
Yes i am tanzanian, born and raised , unlike you i dont put my patriotism on lies and fake allegations, i put my patriotism on the truth.
Ill stand with the truth and the country.
the other thing dont pretend your a Tanzania. Defend your country with peace of mind.
 
Hajaonyesha chochote. Maybe wewe ndie unaejua kuedit contents za wikipedia.

No body ana access ya wikipedia database. No body ana edit contets ispokuwa wikipedia wenyewe. Individuals from outsides hawana hiyo access.
it can never be accurate. Annel amekuonyesha how it can be edited[emoji23][emoji23][emoji23]
 
twende somalia kwa maslahi gani??๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ au unazani vita nikuingia tu. waganda wali wasaidia. mlikuwa mnapewa kipigo cha mbwa koko.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kenya vita hamuwezi kabisa. ground mko zero. We will chop your heads like a snake.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Tukimaliza nchi tunampatia Odinga.

We are in somalia to defend our territory,
Dude am not here to shout like kids, facts cannot be changed by your opinions.
Our military capabilities, training, operations ,acquisitions have started being being made public.
Tz cannot hold ground against Kenya, live with it.
 
nakuona house maid mtaturiwa malinda na wachina๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚you really suck. Lazima um copy mwenzio kadada? Huwezi tafuta jina la kuniita? Yaani we' mvivu wa kufikiria kiasi hicho? Lazy bones
 
Asante kwa kutufuta tongotongo kwenye huu upande wa Kivita kumbe watz sio wa mchezomchezo
 
Can you get your facts right, we went to somalia in 2011, Uganda was in somalia from 2007, so who went there to help the other.
For now there is some stability in Somalia because of Kenya in the Southern sector, other-wise before that Uganda was holed in Mogadishu while al-shabab roamed all over.

Tanzania soldiers were chased by gum-boot wearing,machete carrying militia in DRC, in somalia you will be eaten like cookies.

The kind of war we are fighting in somalia is more complicated, war with TZ will be cake. Stop exaggerating your self-worth, if Tz had the guts, you would be in Somalia "winning".
Dude, if Tz has classified military capabilities, what of Kenya ?? I have stated Kenyas strengths in terms of equipment and current experience, nyinyi ni payuka tu..accept and move on.
Infact only kenya airforce is carrying out long range airstrikes in somalia.The entry of kenya into somalia was a game changer. our intelligence have even penetrated the ranks of alshabab such that their are now fighting each other something many countries have failed to do before .
In terms of military classified capabilities we are only second to the Israeli mossad . ๐Ÿ˜Ž
 
Sorry unaweza Ukaedit article Kwenye Wikipedia? Naomba ufanye hivyo na iweke hiyo article before/after editing.

Naona unaichukulia Wikipedia kama Kichekesho flani hivi.
Punguza maneno kaedit uweke screenshot tuone.
Give me which article you want me to edit then I will edit and share screen shot
 
Kumtegemea mtu akulinde is the myopic point of thinking...what if siku wakiamua kuhamisha base yao.. Au mkataka wasepe..
Ina maana jeuri yote ya wakenya ni kwa kutegemea US?
Watapata hasara sana maana na kumbuka issue ya uvamizi wa kuwait. Serikali ya US ilifahamu kuwa syria inataka kuivamia kanchi hako na imethibitika kupitia diplomatic channels kuwa response ya US kuhusu hili iliwaambia unofficially maafisa wa syra kuwa hawana interest na ka-nchi hako na hilo ndilo lililompa jeuri saddam kuivamia. Lakini baada tukio hilo uongozi wa kuwait uliwaomba wawasaidie kumuondoa saddam kwa gharama yoyote ile na US wakafanya hivyo . Mwisho wa siku kuwait ilibidi igharimie ukombozi wa nchi yake kwa kuilipa US gharama zote za vita na pia ahadi ya kuwapa tenda zote za ujenzi wa nchi hiyo baada ya ukombozi.
Hadi le kuwait wanaendelea kulipa. Unapaswa vijana wa kenya waelewe kuwa kwa US, vita ni biashara.
 
Back
Top Bottom