Wacha kukurupuka, Umeona wapi nimesema kenya itashidwa? Nimekwambia kwamba, vita si silaha na jeshi pekee, umoja wa wananchi ndio nguzo kubwa..
Leo Magufuli akisema anataka kuchukua maeneo ya ziwa victoria, Narok, kajiado, taita taveta, kwale na waswahili wa mombasa hakuna chochote uhuru atafanya. Maana wao wenyewe, wajaluo, wakuria, wamaasai, wataveta na waswahili wameteswa na serikali tangu 1963, hata ardhi si yao ni ya kenyatta. Hao hao ndio wata piga majeshi ya uhuru hata kabla magufuli ametuma JWTZ.
Bora Tu JPM awaahidi kwamba shamba zao watarudishiwa kutoka kwa katili kenyatta