brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Lile kundi lililotikisa miaka ya nyuma ambalo lilikuwa na wakali kama AY, king crazy GK, Mwana FA lipo mbioni kurejea kwenye gemu
Akizungumza na E newz rapper machachali ambaye pia ni hitmaker wa songi la Zigo Abwene Yessaya au AY amesema kuwa wanasubiri kauli ya mwisho kutoka kwa GK ambaye yeye ndiye Amiri jeshi mkuu wa kundi
Ay pia hakusita kutoa pongezi kedekede kwa ujio mpya wa King Crazzy GK A.K.A baba Manka
Yapi maoni yako mdau unahisi wanaweza kurejea kwenye chat kama miaka hiyoooo??
Haya ngoja niwaachie uwanja mtililike