East Coast Team

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,261
Reaction score
9,733
Leo nilikuwa nasikiliza ngoma za early 2000's
Hawa eastcoast team walikuwa wanajua ngoma zao zina hisia flani ambayo naimiss kwenye ngoma za siku hizi mfano
1. Hii leo- Gk ft F.a na AY
2. Kosa langu - Gk ft Pauline Zongo
3. Nitakufaje - GK ft Pauline Zongo
4. Tutakukumbuka - Gk ft TID ( hii ngoma kali kuanzia beat verse mpaka chorus)
5. Mchanga wa macho - AY ft Gk na Complex (RIP)
6. Mabinti damu damu - F.a
7. Tuliza boli - F.a
8. Dirisha la misuko suko - F.a
9. Machoni kama watu - AY ft Lady jaydee
10. Alikufa kwa ngoma - F.a ft Lady jaydee

Mziki wa zaman mtamu sana sio kama wa siku hizi wa shikorobo
 
Piga manati
Komaaa nao
Itikadi
Wamejichanganya and the list goes on siwezi taja sana

Na yule dogo stanboy....mademu watafutaj ni sheedah

Hakuna kundi ninalolihusudu hadi leo kama ECT
 
Dirisha la misuko suko ya F.A ni ipi iyo mkuu kama nimeisahau vile
 
Dirisha la misuko suko ya F.A ni ipi iyo mkuu kama nimeisahau vile

Sina hakika kama ndilo jina sahihi la ngoma ila chorus yake inai lyrics hizi

Ni dirisha la misukosuko
Kiza kinapotanda wakati siku imekwisha
Wakati umelala, wengine wanafikiri
Wrngine wanawaza shari mwana FA anatafakari.

Sina hakika hata kama lyrics nimepatia ila ilikuwa kwenye album yake ambayo ina wimbo unaitwa fagio aliomshirikisha dudubaya

Haya fagio tunaelewana
Wangapi wanajua wangapi wanakana
Haya fagio ukielewa mwambie mwenzio...
 

Nadhani unaitwa haina ufagio.
 

Huo aliimba na Iman Abass
 
Na nicheki Oten
Sifa kumi za demu oten
Walikuwa Nouma
 
Na nicheki Oten
Sifa kumi za demu oten
Walikuwa Nouma

Hii ngoma ilisumbua sana enzi hizo kurekodi issue kwenda redio ukisha rekodi rahisi.
Siku hizi kurekodi rahisi redion utata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…