East Coast Team

East Coast Team

Kuna ngoma fulan ya mwana F.A naitafuta siipati sikumbuki jina lake ila beat yake kama mapigo fulani ya dufu hivi
 
Kweli kabisa,mziki wa zamani ulikua una uhalisia na maisha yetu.Hata ujumbe ulikua mzito!Sio hizi nyimbo za "Wakata Mauno"na skin jeans zilizotobokatoboka...!Wananiudhi mpaka basi.
 
Duly sykes nae siku hizi anaimbaa upuuzii tuu. Sio dully wa Salome akiwa na Mika Mwamba
 
Kuna ngoma fulan ya mwana F.A naitafuta siipati sikumbuki jina lake ila beat yake kama mapigo fulani ya dufu hivi

Hiyo ni ile amefanya na Banana zorro lyrics zake........
Kama anakupenda basi aje
Kama anakutaka basi asogee
Kama anakuhitaji basi aje (akulezee×2)
 
Sina hakika kama ndilo jina sahihi la ngoma ila chorus yake inai lyrics hizi

Ni dirisha la misukosuko
Kiza kinapotanda wakati siku imekwisha
Wakati umelala, wengine wanafikiri
Wrngine wanawaza shari mwana FA anatafakari.

Sina hakika hata kama lyrics nimepatia ila ilikuwa kwenye album yake ambayo ina wimbo unaitwa fagio aliomshirikisha dudubaya

Haya fagio tunaelewana
Wangapi wanajua wangapi wanakana
Haya fagio ukielewa mwambie mwenzio...

Hiyo ngoma inaitwa wakati umelala ipo kwenye album yake ya pili ya Wakati ujao
 
Sina hakika kama ndilo jina sahihi la ngoma ila chorus yake inai lyrics hizi

Ni dirisha la misukosuko
Kiza kinapotanda wakati siku imekwisha
Wakati umelala, wengine wanafikiri
Wrngine wanawaza shari mwana FA anatafakari.

Sina hakika hata kama lyrics nimepatia ila ilikuwa kwenye album yake ambayo ina wimbo unaitwa fagio aliomshirikisha dudubaya

Haya fagio tunaelewana
Wangapi wanajua wangapi wanakana
Haya fagio ukielewa mwambie mwenzio...
Haina ufagio hakushirikishwa Dudubaya
Dudubaya alishirikishwa kwenye Verse moja
 
mmesahau wimbo mmoja konki sana ulikuwa unaitwa 'Safi hiyo' ambako ndani yake yupo AY, FA, Ray C na Banana Zorro dah ule ndio mziki kweli. Nyimbo za zamani zilikuwa poa sana.

aim for the stars
 
Back
Top Bottom