Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ngoma fulan ya mwana F.A naitafuta siipati sikumbuki jina lake ila beat yake kama mapigo fulani ya dufu hivi
Kuna ngoma fulan ya mwana F.A naitafuta siipati sikumbuki jina lake ila beat yake kama mapigo fulani ya dufu hivi
Sina hakika kama ndilo jina sahihi la ngoma ila chorus yake inai lyrics hizi
Ni dirisha la misukosuko
Kiza kinapotanda wakati siku imekwisha
Wakati umelala, wengine wanafikiri
Wrngine wanawaza shari mwana FA anatafakari.
Sina hakika hata kama lyrics nimepatia ila ilikuwa kwenye album yake ambayo ina wimbo unaitwa fagio aliomshirikisha dudubaya
Haya fagio tunaelewana
Wangapi wanajua wangapi wanakana
Haya fagio ukielewa mwambie mwenzio...
Hiyo ngoma inaitwa wakati umelala ipo kwenye album yake ya pili ya Wakati ujao
Huo aliimba na Iman Abass
Asante sana mkuu hivi alimshirikisha nani kwenye hiyo track
Snea kapotea mpaka jina linasahaulika
Wimbo unaitwa Hitimisho la misukosukovile
Toleo lijaloHiyo ngoma inaitwa wakati umelala ipo kwenye album yake ya pili ya Wakati ujao
Mangustino na Imam AbassAsante sana mkuu hivi alimshirikisha nani kwenye hiyo track
Haina ufagio hakushirikishwa DudubayaSina hakika kama ndilo jina sahihi la ngoma ila chorus yake inai lyrics hizi